Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Wanafunzi wenzangu pale Tambaza High School wanakumbuka ambaye sasa ni jaji mkuu Chande alivyokuwa anatumia jina lake. Ni kweli Mohamed ni jina lake. Pia Othman ni jina lake na alikuwa anatumia jina hilo mara nyingi. Hakuficha wala hakukana na kusema Mohamed siyo jina lake. Karibu nyakati zote tulikuwa tunamwita Chande tu, lakini pia alikuwa anaitwa Othman Chande mara nyingi kuliko Mohamed Chande.

Bila shaka wenzangu darasani na Chande pale Tambaza High School tulipokuwa pamoja Form V na Form VI (1969 - 1970), kwa mfano James Maugo ambaye alisomea sheria UDSM pamoja na Chande, wanakumbuka jambo hilo - kwamba darasani na nje, tulikuwa tunamwita na alikuwa anajiita mara nyingi Othman Chande.

Pia tulijua jina lake lingine ni Mohamed - yaani Mohamed Othman Chande; lakini karibu nyakati zote: Chande. Lakini ukisema Mohamed Chande au Othman Chande, tulijua unamzungumzia Chande classmate wetu ambaye pia tuliishi naye H.H. The Aga Khan Hostel. In fact, his room was next to mine on the upper floor. Chumba chetu, with cubicles (kila cubicle ilikuwa na wanafunzi wawili) was next to the room where Chande and some of the other students lived katika hostel hiyo. Karibu wanafunzi wote katika chumba hicho cha Chande in 1969 were Form Six students. They were ahead of Chande - one year. Nakumbuka pia kwamba ni katika chumba hicho cha Chande na wenzake where there was a record player that was used by the other students as well for entertainment. Wanafunzi wote katika chumba chetu tulikuwa darasani pamoja, Form V and Form VI Arts. There was also one Afro-American student at the hostel.

Wanafunzi wengine, kwa mfano George Mazula (RIP), Hamisi Kasanga, Suleiman Kazema, Omari Mangosongo, Rwiza, Jacob Msaki, Mukama na wengineo (most of whom were in Form V - VI Science, 1969 - 1970), pale H. H. The Aga Khan Hostel, lived on the ground floor next to the room where we used to read newspapers every morning after breakfast kabla ya kwenda darasani; and next to the room was the office of the hostel manager (mama wa Kihindi who was succeeded by a male, also a Tanzanian of Indian descent, who was also the boxing trainer for the national boxing team during those days).

Kulikuwa na mwanafunzi mmoja tu wa Kiafrika katika darasa letu, Patrick Bwimbo, ambaye alikuwa haishi nasi katika hostel hiyo. Alikuwa anaishi na ndugu yake aliyesema ni kaka yake, sehemu za Kurasini, ambaye alikuwa na kazi fulani muhimu sana serikalini.

Pia, licha ya utani wake (alikuwa ananitania mara nyingi pamoja na wanafunzi wengine), nakumbuka Chande was a very active member of the TANU Youth League (TYL) na alipenda kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi (TYL uniform) hata nyakati mbalimbali tulipokuwa tunakwenda kutembea mjini. Hata baada ya zaidi ya miaka arobaini tangu nyakati zile, bado namkumbuka sana Chande pamoja na wanafunzi wengine na sitasahau kwamba ingawa jina lake ni Mohamed, jina lake pia ni Othman, tulikuwa tunamwita Othman Chande au Chande tu, na yeye pia alikuwa anajitambulisha kwa jina hilo la Othman Chande bila kukana na kusema siyo Mohamed.

Kitu kingine ninachokumbuka miaka ile ni ajali iliyotokea mbele ya shule yetu, United Nations Road, 1970. Tulikuwa tunarudi hosteli, H.H. The Aga Khan, baada ya masomo mchana. Diplomat kutoka Yugoslavia alikuwa anaendesha gari lake, Peugeot 404, cream-colour, kutokea Oyster Bay. He had a head-on collision with a lorry lililojaa kokoto. Gari lake was totally wrecked na alibanwa katika wreckage hiyo. Dereva wa lori aliruka na kutoroka. Diplomat yule died before our eyes. Nakumbuka wanafunzi kutoka darasa letu waliojitahidi sana kumsaidia alipokuwa anavuja damu. Walikuwa ni Abdallah Yakuti na George Mazula. Their hands were smeared with blood. Nakumbuka Abdallah was hysterical. Wengine waliojaribu kumsaidia walikuwa ni Celestine Mwinula, Chande, na Msafiri, lakini hawakupata nafasi ya kuingiza mikono yao garini kama Abdallah Yakuti na George Mazula. Sote tulitaka kumsaidia lakini haikuwezekana. Tulingojea pale mpaka ambulance ilipokuja baada ya muda mrefu. It was too late by then. Lakini hata ambulance ingekuja mapema, labda wasingeweza kufanya chochote kumsaidia. Aliumia vibaya sana. He groaned, and bled, for a long time, then stopped groaning. Bila shaka alikata roho. Pia nadhani tulikuwa na ambulance moja tu, mji mzima, miaka ile. I remember it was blue.
 
Mkuu Madoro, mengine mimi sina mchango, lakini ninaomba nikujibu kuwa INAWEZEKANA KABISA MTU KUANZA darasa 1 akiwa na miaka 4. Dadangu alianza shule 1963 akiwa na miaka minne, na wanangu wote wameanza std 1 wakiwa na four years, hii si kitu cha ajabu. Labda kutafuta birth certificate kama ipo. Btwn, mbona ongezeko la miaka 2 its nothing, kama anadanganya...hawezi kucheza na wakati, time will come and he will not be able to perform!
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.
Tujiulize yafuatayo:
Je inawezekana Mtu akaanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne?.
 
Kama kaka yake ni Dr Othman yule wa UDSM pale Engineering,basi CJ ana mwil wa uzee sana, Dr anaonekana mtu wa miaka ya 1953 to 1957 kwa kukadiria
 
Mkuu Madoro, mengine mimi sina mchango, lakini ninaomba nikujibu kuwa INAWEZEKANA KABISA MTU KUANZA darasa 1 akiwa na miaka 4. Dadangu alianza shule 1963 akiwa na miaka minne, na wanangu wote wameanza std 1 wakiwa na four years, hii si kitu cha ajabu. Labda kutafuta birth certificate kama ipo. Btwn, mbona ongezeko la miaka 2 its nothing, kama anadanganya...hawezi kucheza na wakati, time will come and he will not be able to perform!

Kwa kuongezea tu. Kama alivyosema Gaijin katika posti moja sio lazima mtu aanze shule akiwa na umri mdogo. Anaweza kuwa na umri unaotakiwa na kurushwa madarasa.

Kwa mfano katika historia niyosoma mimi, Mwalimu Nyerere alianza shule akiwa na kama miaka 11 pale Mwisenge. Lakini primary school ya miaka 4 aliisoma kwa miaka mitatu.

Tukirudi nyuma, ni lazima tujiulize ni watanzania wangapi katika miaka ya nyuma waliokuwa wanaandika kumbukumbu za watoto wao kuzaliwa. Inawezekana Jasusi, Swari au Chande walizaliwa nyumbani na sio hospitalini. Na wazazi walikuwa na furaha ya kupata watoto na sio kuweka kumbukumbu ya watoto wao kuzaliwa.

Mpaka miaka ya sabini na mwanzoni mwa themanini, vijana wengi walianza shule kwa kupima mkono kichwani na sio kupeleka cheti za kuzaliwa mashuleni. Wengi wao sasa hivi wana tarehe za kuzaliwa za kuotea.

Hivyo kwa watanzania wengi wa miaka ya zamani ni lazima tuweke plus au minus ya miaka miwili mitatu.
 
Jasusi Mkuu nashukuru kwa majibu yako ambayo yameniongezea maarifa zaidi.
 
Last edited by a moderator:
- KATIKA KUHAKIKISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WANAKUWA HURU BILA KUTISHIWA NA BUNGE AU EXECUTIVE BRANCH, WENZETU USA MAJAJI WAO NI WA KUDUMU MPAKA WAKICHOKA WENYEWE AU WAKIFA!!

- MATOKEO YAKE NI HAKI MAHAKAMANI HAKUNA CHA SERIKALI WALA TAJIRI, HAKI KWANZA!!, SISI BADALA YA KULILIA QUALITY TUNALILIA UMRI WA JAJI?

Le Mutuz!!

Mkuu mijadala kama hii ni ya GTs, si saizi yako mtu wa Bongo Movies. Kama inavyoshauriwa kwa Othman Chande kustaafu, nakushauri na wewe ustaafu ''utoto'', unazeeka sasa
 
Kitu kingine kukumbuka kuhusu jina lake ni kwamba hakuna cha kushangaza yeye kutumia jina la Othman kama jina lake la kwanza au kaka yake kuitwa Othman Othman. Kutokana na asili yao, ambayo miongoni mwetu tulifikiri ni ya Uarabu ingawa tulimwona kama ni Mswahili tu wa pwani kama Waswahili wengine pamoja na Wazaramo na watu wa makabila mengine, wana utamaduni wao ambao wengi wetu hatuujui kwa undani. Kwa mfano, tuna kiongozi wetu hapa nchini Tanzania mwenye asili ya Kiarabu (na ya Kibantu - nadhani Kimanyema na Kinyamwezi) ambaye ni maarufu duniani, anayeitwa Salim Salim ukiondoa jina lake la kati, Ahmed. Lakini watu hawashangai kwa nini ana jina kama hilo ingawa mara nyingi tunamwita Salim Ahmed Salim. Hakuna tofauti kati ya jina lake la kwanza na la ukoo.

Kwahiyo hakuna kitu cha kushangaza ikiwa kaka ya Chande anaitwa Othman Othman na mdogo wake akiitwa Othman kama jina lake la kwanza.

Pia ukiangalia orodha ya wanafunzi katika faculty of law, darasa lake, alitumia jina la Othman kama jina lake la ukoo, kitu kinachothibitisha kama Jasusi alivyosema kwamba Othman pia ni jina lao la ukoo.

Halafu kuna Boutros Boutros Ghali kule Misri. Kwa nini anatumia jina kama hilo - Boutros Boutros? Ni utamaduni wao.

Pia kuhusu umri wa Chande, kama nilivyosema, kulikuwa na wanafunzi waliokuwa mbele yetu darasa moja, ambao walikuwa wadogo kiumri kuliko wanafunzi mbalimbali katika darasa letu na yeye pia kuna ambao waliomzidi umri katika darasa letu. Wanafunzi wa Kihindi were even younger katika madarasa hayo pamoja na letu. Halafu kuna ukweli wa kurushwa darasa. Everything has to be taken into account kabla ya kufikia uamuzi wowote na kusema amendanganya kuhusu hiki na kile.
 
Mkuu Madoro, mengine mimi sina mchango, lakini ninaomba nikujibu kuwa INAWEZEKANA KABISA MTU KUANZA darasa 1 akiwa na miaka 4. Dadangu alianza shule 1963 akiwa na miaka minne, na wanangu wote wameanza std 1 wakiwa na four years, hii si kitu cha ajabu. Labda kutafuta birth certificate kama ipo. Btwn, mbona ongezeko la miaka 2 its nothing, kama anadanganya...hawezi kucheza na wakati, time will come and he will not be able to perform!

Mkuu nakubaliana nawe - enzi zile watoto wa NAIZESHENI kama alivyokuwa baba yao Mohammed, pia na watoto wa Kiasia bila kusahau watoto wa Walimu walianza shule wakiwa wadogo wa umri huo. . Kuna mtu kazungumzia jina - Othman ni jina la Babu yao kwani kaka yao alipewa jina la Babu yao na akiitwa Othman Chande Othman ambae alikuwa Form I hapo Tambaza 1963 akitokea Tambaza Primary School. Othman akiiitwa wakati huo alikuwa Science Stream na aliendelea hadi Form VI hapo2 Agakhan.

Pamoja na hivyo wakati ule kuna baadhi ya maeneo nchini sheria zilikuwa kali mtoto kuanza shule kama hajafikisha miaka 7 - hivyo wazazi walio wengi wakitaka watoto wao waanze masomo katika umri mdogo walikuwa wanaongeza miaka ya umri kwa matumaini ya kurekebisha mbele ya safari. Katika hali hiyo vyanzo vingi vya ushahidi vinahitajika zaidi ya kumpigia mtu hesabu za umri wake. mie nina imani Mohammed ni mdogo.
 
Ame,
Naona umenishikilia miguu, kama wasemavyo wazungu, "holding my feet to the fire." Kaka yake Mohammed, Othman Othman yuko chuo kikuu. Katika familia yake walikuwa watoto watatu wa kiume. Yule Othman wa Usalama wa Taifa, ambaye ni mdogo kiumri kulinganishwa na Mohammed, si ndugu wa kuzaliwa. Nadhani ni jina tu, kama alivyosema Andrew, yule jamaa wa usalama ni mweusi ti wakati hawa akina Chande ni kama Waarabu/Waajemi/Wahindi. Kwa kweli sijui asili yao maana enzi hizo tulikuwa hatuulizani makabila au asili ya mtu. Kwa hiyo ninasema hapa, na niliwahi kusema hapa JF kuwa Othman wa usalama wa taifa hawana undugu wa kuzaliwa na Mohammed Othman, jaji mkuu wetu. Baada ya kusema hilo nadhani niongeze kuwa umri wa kustaafu utumishi serikalini umebadilishwa miaka ya karibuni. Zamani watu wakistaafu unapofikia 55, baadaye wakaongeza hadi 60. Having said that, Othman wa usalama wa taifa is much younger than Othman, chief justice. I hope nimejibu maswali yako yote.

Asante sana kaka yangu Mungu aku bariki kwa kuwa humble na kukubali kusaidia mmoja wa waliochoshwa na huu mfumo baguzi wa chama na serikali...Maana wengine tumeshafikia hatua ya kuona kila kitu in a negative way....Ogopa sana frustrated people maana they are capable of doing anything hata ku-destroy innocent people. Ni vizuri mambo kama haya yakapewa explanation ya haraka na ya wazi bila kusitasita otherwise ungesikia tulisha itisha maandamano kuiondoa serikali ambayo masikini kumbe at this particular issue iko innocent lol! Sasa changanya na damu yetu inayochemka kama maji ya moto sijui mngetu rushia vitu vinavyo ruka angani wangapi ili mtutulize lol!

Ni hatari sana kwa Taifa ku-take vitu for granted na hasa kama kumeshakuwa na irregularities nyingi huku ambao wamekuwa victimized in the process ni wengi. Wengi wa hawa watu hawana subira tena maana wako frustrated na wako tayari kwa jambo lolote maana wamesha loose hope; for this case ninaongea kwa niaba ya vijana wasomi walio wengi wenye ushawishi mkubwa ambao kwa uzembe wa wenye dhamana wameshindwa kuwapatia ajira stahili kwa elimu waliowapa. It is therefore important kwa serikali kuchukulia hivi vitu seriously maana vikilipuka none would remain safe.
 
Wanafunzi wenzangu pale Tambaza High School wanakumbuka ambaye sasa ni jaji mkuu Chande alivyokuwa anatumia jina lake. Ni kweli Mohamed ni jina lake. Pia Othman ni jina lake na alikuwa anatumia jina hilo mara nyingi. Hakuficha wala hakukana na kusema Mohamed siyo jina lake. Karibu nyakati zote tulikuwa tunamwita Chande tu, lakini pia alikuwa anaitwa Othman Chande mara nyingi kuliko Mohamed Chande.

Bila shaka wenzangu darasani na Chande pale Tambaza High School tulipokuwa pamoja Form V na Form VI (1969 - 1970), kwa mfano James Maugo ambaye alisomea sheria UDSM pamoja na Chande, wanakumbuka jambo hilo - kwamba darasani na nje, tulikuwa tunamwita na alikuwa anajiita mara nyingi Othman Chande.

Pia tulijua jina lake lingine ni Mohamed - yaani Mohamed Othman Chande; lakini karibu nyakati zote: Chande. Lakini ukisema Mohamed Chande au Othman Chande, tulijua unamzungumzia Chande classmate wetu ambaye pia tuliishi naye H.H. The Aga Khan Hostel. In fact, his room was next to mine on the upper floor. Chumba chetu, with cubicles (kila cubicle ilikuwa na wanafunzi wawili) was next to the room where Chande and some of the other students lived katika hostel hiyo. Karibu wanafunzi wote katika chumba hicho cha Chande in 1969 were Form Six students. They were ahead of Chande - one year. Nakumbuka pia kwamba ni katika chumba hicho cha Chande na wenzake where there was a record player that was used by the other students as well for entertainment. Wanafunzi wote katika chumba chetu tulikuwa darasani pamoja, Form V and Form VI Arts. There was also one Afro-American student at the hostel.

Wanafunzi wengine, kwa mfano George Mazula (RIP), Hamisi Kasanga, Suleiman Kazema, Rwiza, Msaki, Mukama na wengineo (most of whom were in Form V - VI Science, 1969 - 1970), pale H. H. The Aga Khan Hostel, lived on the ground floor next to the room where we used to read newspapers every morning after breakfast kabla ya kwenda darasani; and next to the room was the office of the hostel manager (mama wa Kihindi who was succeeded by a male, also a Tanzanian of Indian descent, who was also the boxing trainer for the national boxing team during those days).

Kulikuwa na mwanafunzi mmoja tu wa Kiafrika katika darasa letu, Patrick Bwimbo, ambaye alikuwa haishi nasi katika hostel hiyo. Alikuwa anaishi na ndugu yake aliyesema ni kama yake, sehemu za Kurasini, ambaye alikuwa na kazi fulani muhimu sana serikalini.

Pia, licha ya utani wake (alikuwa ananitania mara nyingi pamoja na wanafunzi wengine), nakumbuka Chande was a very active member of the TANU Youth League (TYL) na alipenda kuvaa shati ya kijani na kaptura nyeusi (TYL uniform) hata nyakati mbalimbali tulipokuwa tunakwenda kutembea mjini. Hata baada ya zaidi ya miaka arobaini tangu nyakati zile, bado namkumbuka sana Chande pamoja na wanafunzi wengine na sitasahau kwamba ingawa jina lake ni Mohamed, jina lake pia ni Othman, tulikuwa tunamwita Othman Chande au Chande tu, na yeye pia alikuwa anajitambulisha kwa jina hilo la Othman Chande bila kukana na kusema siyo Mohamed.

Shwari,
Umenikumbusha Patrick Bwimbo? Unafahamu yuko wapi? Una contacts zake?
 
Mkuu mijadala kama hii ni ya GTs, si saizi yako mtu wa Bongo Movies. Kama inavyoshauriwa kwa Othman Chande kustaafu, nakushauri na wewe ustaafu ''utoto'', unazeeka sasa

- Umri wa jaji unaweza kuwasadia nini jadili kesi alizokwisha humu tuone kama kuna haki au hakuna, kama ametumia sheria au hapana then hoja ya umri inaweza kuja in the play, lakini unakurupuka tu umri wa jaji wakati Chadema kuna Kiongozi kama Ndesamburo na Slaa ambao wana umri wa ajabu ni kuwa wanafiki na wambeya tu! no wonder mijadala kama hii haiwezi kupewa umaanani na wasomi maana ni nothing but unafiki at best!

- Kwama kweli una tatizo la umri na Viongozi, anzia huko Chadema na Slaa, halafu Ndesamburo, ama sivyo werevu tunaona ni majungu so tunawajibu kwa level ile ile yenu ya kimajungu manyoijua zaidi!!

Le Mutuz!1
 
mmmmhhh...kweli kweli aisee...........

- Umeona enheee!! Wanaacha kujadili kesi alizokwisha hukumu ili watuonyehse jinsi umri unavyo play katika maamuzi yake ya kesi, wao wanalatea majungu tu, kama una tatizo na umri wa viongozi uanze na Ndesamburo na Slaa kwanza!!

Le Mutuz!!
 
Hili ni changamoto la vetting. Kama kuna ukweli katika hili basi ni uzembe wa hali ya juu sana forgery ya namna hii ifanyike lakini ikatize katika mikono yote ya usalama wa Taifa wao wasijue. That said, sina uhakika katika hili lakini ukweli utajulikana. Ninachojua ni kuwa kuna watu nchini ambao wameongopa katika umri wao wa ukweli hasa pale zamani ambapo hata wengi hawakuwa na vyeyi vya kuzaliwa lakini ukweli ukitafutwa unapatikana toka Primary School, na pia wenzake waliokua nao au kusoma na vyuoni n.k.

Ni kosa kuongopa katika umri au elimu n.k na hasa kwa kiongozi mfano wa juu kiasi hiki. Wenye ukweli waumwage hapa tuuchambue maana hii bado ni tuhuma kwa kupiga mahesabu ya miaka. Vithibitisho vimwagwe hapa vyeti vya shule, vyuo, passport n.k
 
Shwari,
Umenikumbusha Patrick Bwimbo? Unafahamu yuko wapi? Una contacts zake?

Jasusi,

Sijui Patrick Bwimbo yuko wapi siku hizi. Tulikuwa pamoja Dar kwa muda mrefu. Baada ya kuondoka Tambaza, tulikuwa pamoja pia Ruvu National Service 1971, halafu tena Dar. Alikuwa na gari mara tu baada ya kumaliza Ruvu National Service na aliwahi kunialika nyumbani kwake Kurasini a few times ambako nilikutana na kaka yake wa serikalini, na pia aliyesema ni dada yake, na tuliendelea kuwa mitaani pamoja kwa muda mrefu. He had a light green Fiat and used to drive very fast. I was with him a number of times and we almost had a few accidents in Dar during those days. Halafu baada ya muda mrefu, sikumwona tena.

Kulikuwa na kijana mmoja USA (Berrien Springs, Michigan) ambaye labda bado yuko huko anayeweza kujibu swali hilo. Jina lake ni Denis Patrick Bwimbo. Kutokana na jina hilo, hasa la kati na la ukoo, nadhani ni mtoto wake lakini simfahamu na sijawahi kuwasiliana naye. Jaribu kumtafuta kwenye Internet na bila shaka atakuambia ambaye naamini ni baba yake yuko wapi.
 
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.

Jaji Chande Othman, alihitimu Shahada ya kwanza ya Sheria mwaka 1974, na kwa mujibu wa taarifa za sasa zinaonyesha kuwa alizaliwa mwaka Januari 1, Mwaka 1952. Kama Takwimu hiyo ni ya kweli, maana yake Jaji Mohamed Chande Othmani alianza darasa la kwanza mwaka 1956 akasoma darasa la nane mwaka 1963, Mwaka 1964 hadi 1967 alimaliza Sekondari (O'level), ambapo kwa hesabu za miaka ile, 1968 alianza kidato cha Tano na Sita na kumaliza mwaka 1970, na Mwaka 1971 akahudhuria Jeshi kwa mwaka mmoja (JKT). na 1972 hadi 1974 ndo akahitimu shahada ya sheria.

Tujiulize yafuatayo:
Je inawezekana Mtu akaanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne?.

Tumefuatilia habari zake Kitivo cha Sheria chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatujapata taarifa zozote za Darasa zima lililohitimu 1974, taarifa zote zimefichwa. Lakini baadhi ya majaji wenzake waliosoma nao darasa moja wanastaafu rasmi mwakani.

Tuwaulize wanadarasa wenzake tujue sakata hili, Prof Costa Rick Mahalu, sio jaji, ila Majaji wenzake ni Dr. Bwana ambaye atastaafu 2013, Jaji J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda, wote watastaafu mwaka 2013. Wengine ambao alisoma nao ambao wameshastaafu ni R. Sheikh, na V.K. Lyimu.

Lakini pia Utata unazidi kwanini habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 Zikawa hazipatikani

Kimsingi kabla ya maelezo ya judge mkuu kustaafu ninakushauri tu usome katiba yetu ya 1977 ibara ya 110 (4) inayotoa fyrsa kwa rais kumtaka judge aliyetimiza umri wa kustaafu anapoona yafaa aendelee kuwa judge na tena haisemi kwa muda gani na pia judge mkuu umri wake wa kustaafu siyo miaka sitini kama ilivyo kwa majudge wa kawaida.
 
Hili ni changamoto la vetting. Kama kuna ukweli katika hili basi ni uzembe wa hali ya juu sana forgery ya namna hii ifanyike lakini ikatize katika mikono yote ya usalama wa Taifa wao wasijue. That said, sina uhakika katika hili lakini ukweli utajulikana. Ninachojua ni kuwa kuna watu nchini ambao wameongopa katika umri wao wa ukweli hasa pale zamani ambapo hata wengi hawakuwa na vyeyi vya kuzaliwa lakini ukweli ukitafutwa unapatikana toka Primary School, na pia wenzake waliokua nao au kusoma na vyuoni n.k.

Wengine tumeamua kuua hilo lidude lilojifungamanisha na mafisadi ili tuonyeshe njia.....We have done our homework na tunatoa taarifa tu kwenu msiogope storm is over! Relax the salvation is nigh....

Ni kosa kuongopa katika umri au elimu n.k na hasa kwa kiongozi mfano wa juu kiasi hiki. Wenye ukweli waumwage hapa tuuchambue maana hii bado ni tuhuma kwa kupiga mahesabu ya miaka. Vithibitisho vimwagwe hapa vyeti vya shule, vyuo, passport n.k

I hope CJ ameshakuwa cleared na hii tuhuma kama niliowasoma wamesema ukweli...Naamini hawajadanganya. Lakini to be honest with you.....

Tatizo la hili jambo ni kubwa sana hasa kwa viongozi waliozaliwa kati ya 49-59 maana hawa walikuwa watumishi wa umma kipindi cha siasa kali ya ujamaa na kujitegemea ambapo mgawanyo wa kipato ulikuwa wa hali ya juu na jinsi Nyerere alivyokuwa strict basi wezi walikuwa hawaibi kiasi kikubwa sana na mishahara ilikuwa midogo sana. So tangu Nyerere alipo ng'atuka na CCM kutupilia baharini azimio la Arusha na kuleta lao la kifisadi...ndipo madirisha ya kafunguliwa kwenye gala la Taifa na kunguru wasiofugika wakapata nafasi ya kuchukua chao mapema maana waliona miaka yao ya utumishi inakaribia kuisha na maisha ndiyo kwanza yameanza kunoga. So kwa wale ambao wana moral authority kuiba ilikuwa msamiati mkubwa sana kwao ila na wao kwasababu walisha ona mifano ya kina marehemu Prof. Machunda, Makweta, Mzee Nauye and the like (Mungu awalaze mahala pema mbinguni) walio kunywa maji ya bendera badala ya yale ya kijani waliyo yanywa hawa successors wao wanavyo dhalilika wakaona kuiba hatuwezi basi angalau kujitengenezea afirmative measures ili angalau hii mishahara na miundo mbinu ya fedha yenye kutoa unafuu kwa elite group hasa chief executives (ambamo wengi ndiyo wamo) at the expense ya wakulima ambao ndiyo majority wanayo i-finance nchi kwa nguvu zao; tupunguze miaka yetu (nasikia kila moja kuna wkati aliambiwa akarekebishe miaka yake na walipewa nafasi ya kutamka walichokuwa wanahisi ni miaka yao maana hakuna record)....Wengi wamepunguza kati ya kuanzia 5-10. Mkipenda fanyeni utafiti mtagundua hili jambo. Na wengine hata baada ya kuipunguza miaka bado maisha yaka noga maana wao ndiyo waamuzi wa mambo mengi wakaendelea kuji boreshea maslahi na walipofanya hivyo wakajidai pia hakuna wakuwa succeed ndipo wakaamua kujipa ma-contract ku-justify kuendelea kwao kuwepo kwenye masufuria yenye nyama nono walizojitengea huko jikoni.

Well kwa mtu yeyote mwenye kuijali nchi yake badala ya kulaumu kwanza unapaswa kujiuliza what was the cause of this? Atleast their intension is not bad maana wao ni victim of circumstance lakini the way they are doing is wrong and not sustainable. It is even very dangerous maana wana sogeza tu uncertainty lakini hawaja solve problem hata kwa urefu wa inchi moja...nikama kulewa ili usahau matatizo pombe ikiisha matatizo yanarudi pale pale tena this time zaidi maana hata ile pesa kidogo badala ya ku-invest umeinywea pombe.

Jibu la haraka ni poor pension schemes na uncertain future ndiyo sababu kubwa ya hii problem ya kusogeza miaka nyuma na pia excutives kujipa maslahi manono na kuacha wengine wakiambulia patupu; maana uchumi wa nchi uko kwenye makaratasi tu lakini production function zake ziko ICU na zile za natural resources tulizopewa bure na Mungu ziko mikononi mwa miamba ya dunia na wafalme wachache walioshirikishwa kwenye hizo falme za kidunia....So hata wakitaka kuboresha pension haiwezekani na hasa wakati huu ambapo garama ya kununua nafasi ya uongozi imepanda mara dufu na huko kwenye magala ndiyo tegemeo pekee la kujichotea kwa wenye nafasi kulipia viti vya ufalme. Option iliyobaki ni nepotism ndiyo mkombozi so selectively kutokana na ukaribu wa wewe kwa mwenye maamuzi katika magala ya Taifa ndiyo anapewa shavu akapate pa kustaafia na pension nono....

Kitu ambacho wengi wameshindwa kuki fore see ni kuwa hicho walichojitengenezea ni very fragile maana walio aware ni wengi na by any means wote hawa ambao kwa sasa wanajipendelea hawana hata zaidi ya 10 years kuendelea kuwa active. Hapo ndipo kitendawili tega ni kutegue!

So mi nafikiri Taifa linatuhitaji watu ambao tutaweza tegua hivyo vitendawili....Lakini injili inasema watasikiaje wasipo hubiriwa na wata hubirije wasipo pelekwa? Tazama ni mizuri kama nini miguu yao wailetao habari njema.....Solution zipo ila wenye solution system haiwajui wako wapi maana wengi wanao onekana labda wataweza wameishia kufanya madudu and everybody is worried!
 
Kwenye red:

I beg your pardon -- nani ana mamlaka humu JF 'kum-clear'huyu Jaji? Kuna mchangaiji hapo juu katumia muda mwingi kujaribu ku-clear the air kuhusu majina yake -- lakin i yote hii naona ni kuta kumuondoa off the hook.

Kuna mwingine alijaribu kuweka CV yake hapo juu lakini ilikuwa ina mapungufu makubwa kuhusu umri -- CV hiyo haikueleza alizaliwa lini, na shule za awali hasa primary na secondary alisoma kuanzia mwaka gani hadi mwaka gani?

Hatukubali jitihada hizi eti za kumsafisha. Kuna huyo Le Mutuz kasema eti kujua umri wa CJ itasaidia nini? Nimecheka sana. Huyu CJ ni mtu mkubwa sana katika jamii na hivyo integrity yake lazima iwe beyond reproach -- yaani to the highest esteem. Kama alidanganya umri then that becomes a very serious matter. Anaweza pia kudanganya katika hukumu.
 
NBakubaliana nawe kabisa. Tuhuma hii ni very serious isimalizwe kwa maneno maneno tu. Kuna vitu bado vinafichwa, hasa kama usemavyo shule za awali alizosoma na miaka gani.

Halafu hiyo issue ya kuanza Std One katika umri wa miaka minne naona mnailazimisha sana ionekane ni kitu cha kweli. It could be possible, but highly improbable.

Nasisitiza kuna kitu kinafichwa.
 
Hatimaye ukweli umejulikana, hii ndio raha ya JF
 
Back
Top Bottom