Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

UDSM - LLB 11th INTAKE 1971 – 74
1. Abubakar, A.A
2. Alizeti, M.N.
3. Ayany, E.A.
4. Bwana, J.S.M.
5. Bwesha, K.I.
6. Chakava, S.B.
7. Chamriho, S.M.
8. Gathenji, C.M.
9. Haule, L.G.
10. Ileti, K.F.
11. Kadiri, E.T.K.
12. Kajeri, M.G.C.
13. Kamanzi, J.
14. Kija, G.D.
15. Kilonzo, M.
16. Lyimo, V.K.D.
17. Mahalu, C.R.
18. Makalle, A.P.
19. Mallya, W.J.G.
20. Manento, A.R.
21. Mapundi, E.
22. Masese, G.J.M.
23. Massaba, K.S.
24. Matafu, S.I.M.
25. Matata, C.B.B.
26. Matui, G.B.
27. Mauggo, J.Z.J.
28. Mbinga, A.A.A.
29. Mihyo, P.B.
30. Mlanzi, M.A.
31. Mlawa, G.F.
32. Mlay, J.I.
33. Msakamari, J.M.
34. Muro, M.I.
35. Mpiluka, W.H.
36. Mututo, L.N.
37. Mwagiru, B.C.
38. Mwakilasa, T.H.M.
39. Mwakisu, B.H.K.
40. Nasser, S.
41. Ngibuini, C.K.
42. Odhiambo, O.R.O.
43. Okello, F.O.
44. Othman, M.C.
45. Rachier, A.D.O.
46. Oyoo, J.O.
47. Pinda, M.K.P.
48. Putika, A.S.A.
49. Rashidi, Y.M.K.
50. Shaidi, L.L.P.
51. Sheikh, R.H.
52. Teemba, A.A.M.
53. Wellington, J.O
Bwana bwana weeh! Nimejikuta nakutana na jina la mtu mmoja mwanafamilia na mmiliki wa kampuni fulani hapa nchini. Kumbe alisoma miaka hii.
 
Bwana bwana weeh! Nimejikuta nakutana na jina la mtu mmoja mwanafamilia na mmiliki wa kampuni fulani hapa nchini. Kumbe alisoma miaka hii.

..Udsm faculty of law darasa la 1974 limetoa watu wazito sana hapa Tz.

..yupo Waziri Mkuu.

..Jaji Mkuu.

..Jaji Kiongozi.

..Jaji Mkuu wa Seychelles [ mtanzania ].

..Jaji wa mahakama ya rufaa.

..Katibu mkuu wizara ya sheria.

..Mkurugenzi wa mashtaka.
 
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.

Jaji Chande Othman, alihitimu Shahada ya kwanza ya Sheria mwaka 1974, na kwa mujibu wa taarifa za sasa zinaonyesha kuwa alizaliwa mwaka Januari 1, Mwaka 1952. Kama Takwimu hiyo ni ya kweli, maana yake Jaji Mohamed Chande Othmani alianza darasa la kwanza mwaka 1956 akasoma darasa la nane mwaka 1963, Mwaka 1964 hadi 1967 alimaliza Sekondari (O'level), ambapo kwa hesabu za miaka ile, 1968 alianza kidato cha Tano na Sita na kumaliza mwaka 1970, na Mwaka 1971 akahudhuria Jeshi kwa mwaka mmoja (JKT). na 1972 hadi 1974 ndo akahitimu shahada ya sheria.

Tujiulize yafuatayo:
Je inawezekana Mtu akaanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne?.

Tumefuatilia habari zake Kitivo cha Sheria chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatujapata taarifa zozote za Darasa zima lililohitimu 1974, taarifa zote zimefichwa. Lakini baadhi ya majaji wenzake waliosoma nao darasa moja wanastaafu rasmi mwakani.

Tuwaulize wanadarasa wenzake tujue sakata hili, Prof Costa Rick Mahalu, sio jaji, ila Majaji wenzake ni Dr. Bwana ambaye atastaafu 2013, Jaji J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda, wote watastaafu mwaka 2013. Wengine ambao alisoma nao ambao wameshastaafu ni R. Sheikh, na V.K. Lyimu.

Lakini pia Utata unazidi kwanini habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 Zikawa hazipatikani
Kuna haja ya hili kuendelea kujadiliwa
 
Back
Top Bottom