Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

moderators imekuwaje mbona kama tulisoma kuwa Jaji Mkuu Othmani Chande ni ndugu wa damu wa Rashid Othman Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa taifa, lakini muda mfupi hatuoni maneno hayo?. Muhimili wa Mahakama nao sasa tutautilia shaka

Ni kweli Kabisa Rashid Othman Mkuu wa Usalama wa taifa, ni ndugu wa damu na jaji mkuu Othmani Chande ... Na jua MOD wameiondoa hiyo post wa makusidu yao binafsi, sijui nao wanafisha ukweli usijulikane!
 
Kuna kila dalili za ukweli kuhusu hili.
Kuna jamaa wa TISS kanitonya hiyo issue ipo na Usalama wa taifa walikuwa wanatafuta namna ya kuificha sana tangu Lissu alipoanza kufumua uozo wa baadhi ya majaji.
Hiyo Idara ya TISS ni janga kwa Taifa. Ni afadhali isingekuwepo kabisa. Ila siku hizi kuna vijana wazalendo na ndio maana mambo mengi siku hizi yanavuja mapema
 
Jee kuna mchangiaji yeyote katika thread hii amesema kuwa jaji Othman anaandamwa kwa kuwa yeye ni Muisilamu?
 
Kama angezaliwa kizazi hilki cha dot com inawezekana kabisa. But miaka hiyo hili halikuwezekama kabisa. Hahahaha madaraka mazuri sana jamani. Nani asiyependa?
asungwilemwaifunga, tunapoleta mjadala kwenye JF, tunategemea wewe kama unatoka Kijiji alichosoma Jaji Mkuu, au kama upo mahalai alipozaliwa unasaidiwa watanzania wengine kujua.

Huu utaratibu wa kufikiri kuwa mpaka mtu aende kila mahali unakuwa hauna maana, nimeenda UDSMA, HAKUNA, WEWE ULIYEKO KIJIJI ALIKOZALIWA, AU WEWE ULIYESOMA NAYE AMBAYE HABARI ZENU SASA NI SIRI, NJO jamvini waambie watanzania Jins Jaji Mkuu alivyoanza darasa la kwanza akiwa na miaka 4, je kwa nyakat zile iliwezekana.
 
Last edited by a moderator:
Madoro inaonekana wewe ni Hakimu sasa una hasira cheo hakipandi na umehamishiwa Tandahimba!!! Pole sana kaka ndio kazi hizo

Hili ndilo tatizo la watanzania wengi, jambo linalo hitaji serious discussion mnaleta majibu ya mizaha. Ebu jiulize kwakufanya hili huyo judge atakuwa impartial vipi katika hukumu zake? Anacha legacy gani kwenye taasisi yake ya sheria ambayo ndiyo mhimili tegemewa katika kujenga amani upendo na mshikamano? Hivi watanzania nchi hii tunaipenda kweli ama tupo kama safarini na kituo chetu hakijulikani? Let us be serious na mambo nyeti ya nchi yetu kwa faida ya kila mmoja wetu.
 
CURRICULUM VITAE

CHIEF JUSTICE MOHAMED CHANDE OTHMAN

ACADEMIC QUALIFICATION
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]LL B (Hon), University of Dar Es salaam, 1974.
M. A (International Relations) Webster University, Geneva, 1982.
Certificate, The Hague Academy of international law, the Netherlands (Summer
Sessions, 1983).
[/FONT]
[/FONT]LANGUAGES :
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]English, French, Kiswahili
[/FONT]
[/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri][/FONT][/FONT]PROFESSIONAL COMPETENCES
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]International Criminal Prosecutions, International Humanitarian Law, Human
Rights and Judicial

[/FONT]
[/FONT]PROFESSIONAL EXPERIENCE
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]28.12.2010
[/FONT]
[/FONT]Chief Justice of Tanzania
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Head of the Judiciary
07.02.2008 - 26.12.2010
[/FONT]
[/FONT]Justice of Appeal Court of Appeal of Tanzania
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Justice of Appeal at Tanzania's Apex Court
16.08.2004 - 6.02.2008.
[/FONT]
[/FONT]Judge, High Court of Tanzania
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Presided over criminal trials (murder, human trafficking), Constitutional petitions, and appeals (sexual and gender based crimes, armed gang robbery, corruption.
Dec. 2003 – Oct. 2004
[/FONT]
[/FONT]Senior Legal and Justice Sector Reform Adviser, UNDP, Cambodia
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Principal legal adviser on legal and judicial reform in Cambodia.
1.08.2000 – 16 .10. 2001
[/FONT]
[/FONT]Prosecutor General, (UNTAET) Timor Leste
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Principal prosecution authority; overall direction of prosecutions, including of serious International Humanitarian violations; secured State Cooperation in investigations on the killing of UN Peacekeepers; advised on establishment of Independent, post-Independent P.G.'s Office.
1 June 1999-31 July 2000
[/FONT]
[/FONT]Chief of Prosecutions International Criminal Tribunal for Rwanda
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Directed investigations and prosecutions; lead Trial Attorneys and Legal Advisers; enhanced State cooperation in arrest and surrender of accused.
20 Oct.98 –31 May 99
[/FONT]
[/FONT]Acting Chief of Prosecutions International Criminal Tribunal for Rwanda
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Directed investigations and prosecutions; prosecuting counsel in R. v.
[/FONT]
[/FONT][FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]G. Ruggiu P.v. Omar Serushago; P. v. B. Ntuyahaga. [/FONT][/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri][/FONT][/FONT][FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri][/FONT][/FONT][FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]11.07. 1996 –20.10.1998
[/FONT]
[/FONT]Senior Legal Adviser to the Prosecutor International Criminal Tribunal for Rwanda
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Head of Prosecutor's legal Advisory team, advised on Prosecution strategy, supervised Indictment drafting; drafted legal briefs on International Humanitarian law, Human Rights Law, and Comparative Criminal law and procedure.
- 1994
[/FONT]
[/FONT]Head of Delegation International Federation of Red Cross & Red Crescent (IFRC), Hanoi, Vietnam
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]6.1.92 – 15 .03.93
[/FONT]
[/FONT]Head of Delegation International Federation of Red Cross & Red Crescent, (IFRC), Conakry, Guinea
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]1989 –90
[/FONT]
[/FONT]Deputy Chief of Mission, the Coordinator for Afghanistan (UNOCA), Teheran, Iran
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]1977-1989
[/FONT]
[/FONT]Desk/Regional Officer, International Federation of Red Cross & Red Crescent, (IFRC), Geneva.
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Dissemination of International Humanitarian Law.
4.1975- 1977
[/FONT]
[/FONT]Public Prosecutor, Bank of Tanzania
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]3.1974 – 3.1975
[/FONT]
[/FONT]Assistant State Attorney Attorney General's Office, Tanzania
HIGH LEVEL HUMAN RIGHTS ASSIGNMENTS
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]U.N. Human Rights Council
[/FONT]
[/FONT]Independent Expert on the Human Rights situation in the Sudan
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri], UNHRC Res. 11/10 & 15/27, Sept 2009 – To date. [/FONT][/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri][/FONT][/FONT]Commissioner, High-Level Commission of Inquiry on Lebanon
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri], UN Human Rights Council resolution S-2/1, 2006. [/FONT][/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]ICTR/ICTY
[/FONT]
[/FONT]Member
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri], [/FONT][/FONT]Advisory Committee on the Archives of the International Criminal Tribunal for Rwanda and the Former Yugoslavia[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri], 2008-2009. [/FONT][/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Govt of Tanzania
[/FONT]
[/FONT]Chairman, Presidential Commission on Inquiry on the Relocation of Pastoralists
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri], Ihefu, 2007, [/FONT][/FONT]
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Appointed by H.E. President of the United Republic of Tanzania.
[/FONT]
[/FONT]SELECTED LEGAL PUBLICATIONS
BOOKS
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]Accountability for International Humanitarian law Violations: The Case of Rwanda and East Timor, Springer Publishers, Heidelberg, Germany, 2005.
New Approaches in International Criminal Justice: Kosovo, East Timor, Sierra Leone, Cambodia, (Eds. Ambos, K, and Othman, M), Max Planck Institute of Foreign and International Criminal Law, Freiburg, Germany, 2003.PUBLICATIONS
[/FONT]
[/FONT]Published numerous scholarly articles on International Law, International Humanitarian Law, Refugee Law and Justice, e.g.
[FONT=Calibri,Calibri][FONT=Calibri,Calibri]"Defense Practices and the Khmer Rouge Tribunal", in Bohlander, M, Boed, R, Wilsn, R.J, (Eds.) Defense in International Criminal Proceedings, Transitional Publishers Inc., N.Y, 2006.
The Protection of Refugee Witnesses by the International Criminal Tribunal for Rwanda, International Journal of Refugee Law, Volume 14, No.4, May 2003.
The Gulf Wars and Termination of Captivity for Prisoners of War, Revue de Droit International des Sciences Diplomatiques et Politiques (The International Law Review) Jan-Mars 1993, 11-36, Geneva, 1993.
[/FONT]
[/FONT]
 
Nilipoleta Uzi kuhusu Utata wa Umri wa Jaji Mkuu, sikuwa na shaka kuwa sheria inasema ajiuzulu akiwa na miaka 65. Tatizo kubwa katika mjadala wote tangu jana, ni baadhi ya wachunguzi wakiwemo wa Idara yake kusema kuwa alizaliwa 4/9/1949, lakini kutokana sababu ambazo bado hazijawa wazi, wakati jaji Mkuu Augustino Ramadhani anastaafu, kuna Jaji Mwingine aliarifiwa kuwa angekuwa Jaji Mkuu. Haikujulikana ni kwa sababu zipi, kwa ushauri wa ndugu yake, Rashid Othman, Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, ilibadilishwa ghafla, akateuliwa Jaji Mohamed Othman Chande, na tarehe ikawa 1/1/1952. Utata ulianzia hapa, kama alizaliwa mwaka 1952, na kusoma hadi kumaliza Chuo Kikuu akiwa na miaka 22 mwaka 1974, ukikokotoa vema ikaonena kuwa jaji Mkuu alianza shule akiwa na miaka minne. hofu ikaongezeka baada ya kuonekana kuwa Wenakae wote waliosoma naye darasa moja wanastaafu 2013, iweje sasa kustaafu kwake kuwe 2017? Iweje taarifa zake zikawa siri kuna nini kinafichwa? Je Ndugu yake ambaye ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa haionekani kuwa kulikuwa na Mgongano wa kimaslahi katika kumteua mdogo wake baada ya kumshauri Rais kama katiba inavyoelekeza. Huu ndio Mjadala, watu wajitokeze ili tusiingize nchi katika Historia ya Kughushi hadi Umri wa jaji Mkuu. Na kama amedanganya Umri ni kwa ajili ya nini?.......... mwaga jamvini.............

Napendekeza ili kuondoa utata wa umri wake Jaji Mkuu akubali afanyiwe vipimo vya "Carbon dating"
 
Ha ha haaa! Kuna watu wanadanganya umri mpaka utakuta alimaliza darasa la saba mwaka mmoja kabla ya kuzaliwa. Watanzania wengi huwa hawapendi kusoma hivyo mtu anajua hata kukiwa na mkanganyiko kwenye CV ni vigumu kugundua.
 
- KATIKA KUHAKIKISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WANAKUWA HURU BILA KUTISHIWA NA BUNGE AU EXECUTIVE BRANCH, WENZETU USA MAJAJI WAO NI WA KUDUMU MPAKA WAKICHOKA WENYEWE AU WAKIFA!!

- MATOKEO YAKE NI HAKI MAHAKAMANI HAKUNA CHA SERIKALI WALA TAJIRI, HAKI KWANZA!!, SISI BADALA YA KULILIA QUALITY TUNALILIA UMRI WA JAJI?

Le Mutuz!!
 
Napendekeza ili kuondoa utata wa umri wake Jaji Mkuu akubali afanyiwe vipimo vya "Carbon dating"

Carbon dating haifanyi kazi kama unavyofikiria wewe! Vyeti vyake vya shule ya msingi na secondary vina kumbukumbu nzuri tu. Ila najua atasema vilishaliwa na panya.
 
Nilipoleta Uzi kuhusu Utata wa Umri wa Jaji Mkuu, sikuwa na shaka kuwa sheria inasema ajiuzulu akiwa na miaka 65. Tatizo kubwa katika mjadala wote tangu jana, ni baadhi ya wachunguzi wakiwemo wa Idara yake kusema kuwa alizaliwa 4/9/1949, lakini kutokana sababu ambazo bado hazijawa wazi, wakati jaji Mkuu Augustino Ramadhani anastaafu, kuna Jaji Mwingine aliarifiwa kuwa angekuwa Jaji Mkuu. Haikujulikana ni kwa sababu zipi, kwa ushauri wa ndugu yake, Rashid Othman, Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, ilibadilishwa ghafla, akateuliwa Jaji Mohamed Othman Chande, na tarehe ikawa 1/1/1952. Utata ulianzia hapa, kama alizaliwa mwaka 1952, na kusoma hadi kumaliza Chuo Kikuu akiwa na miaka 22 mwaka 1974, ukikokotoa vema ikaonena kuwa jaji Mkuu alianza shule akiwa na miaka minne. hofu ikaongezeka baada ya kuonekana kuwa Wenakae wote waliosoma naye darasa moja wanastaafu 2013, iweje sasa kustaafu kwake kuwe 2017? Iweje taarifa zake zikawa siri kuna nini kinafichwa? Je Ndugu yake ambaye ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa haionekani kuwa kulikuwa na Mgongano wa kimaslahi katika kumteua mdogo wake baada ya kumshauri Rais kama katiba inavyoelekeza. Huu ndio Mjadala, watu wajitokeze ili tusiingize nchi katika Historia ya Kughushi hadi Umri wa jaji Mkuu. Na kama amedanganya Umri ni kwa ajili ya nini?.......... mwaga jamvini.............

Wakati Augustino Ramadhani anamaliza muda wake, kitivo cha sheria kilifanya hafla ya kumwaga kama ilivyo desturi kwa majaji wote waliopitia pale kitivo. Nilikuwepo katika hafla ile. Jambo lililoshangaza na kumshangaza mwenyewe ni kwamba huwa ni desturi kwa Jaji mkuu anayemaliza mda wake kumfahamu mrithi wake. Tena mara nyingi katika jumuiya ya Madola, jaji mkuu huwa anateuliwa on seniority basis. Siku tatu kabla ya uteuzi, Ramadhani hakumjua mrithi wake. Na kama ilivyotegemewa, seniority haikufwata. Akateuliwa aliyeonekana anafaa na raisi. Sasa naelewa!
 
CURRICULUM VITAE

CHIEF JUSTICE MOHAMED CHANDE OTHMAN

ACADEMIC QUALIFICATION
LL B (Hon), University of Dar Es salaam, 1974.
M. A (International Relations) Webster University, Geneva, 1982.
Certificate, The Hague Academy of international law, the Netherlands (Summer
Sessions, 1983).
LANGUAGES :
English, French, Kiswahili

PROFESSIONAL COMPETENCES
International Criminal Prosecutions, International Humanitarian Law, Human
Rights and Judicial

PROFESSIONAL EXPERIENCE
28.12.2010
Chief Justice of Tanzania
Head of the Judiciary
07.02.2008 - 26.12.2010
Justice of Appeal Court of Appeal of Tanzania
Justice of Appeal at Tanzania's Apex Court
16.08.2004 - 6.02.2008.
Judge, High Court of Tanzania
Presided over criminal trials (murder, human trafficking), Constitutional petitions, and appeals (sexual and gender based crimes, armed gang robbery, corruption.
Dec. 2003 – Oct. 2004
Senior Legal and Justice Sector Reform Adviser, UNDP, Cambodia
Principal legal adviser on legal and judicial reform in Cambodia.
1.08.2000 – 16 .10. 2001
Prosecutor General, (UNTAET) Timor Leste
Principal prosecution authority; overall direction of prosecutions, including of serious International Humanitarian violations; secured State Cooperation in investigations on the killing of UN Peacekeepers; advised on establishment of Independent, post-Independent P.G.'s Office.
1 June 1999-31 July 2000
Chief of Prosecutions International Criminal Tribunal for Rwanda
Directed investigations and prosecutions; lead Trial Attorneys and Legal Advisers; enhanced State cooperation in arrest and surrender of accused.
20 Oct.98 –31 May 99
Acting Chief of Prosecutions International Criminal Tribunal for Rwanda
Directed investigations and prosecutions; prosecuting counsel in R. v.
G. Ruggiu P.v. Omar Serushago; P. v. B. Ntuyahaga.
11.07. 1996 –20.10.1998
Senior Legal Adviser to the Prosecutor International Criminal Tribunal for Rwanda
Head of Prosecutor's legal Advisory team, advised on Prosecution strategy, supervised Indictment drafting; drafted legal briefs on International Humanitarian law, Human Rights Law, and Comparative Criminal law and procedure.
- 1994
Head of Delegation International Federation of Red Cross & Red Crescent (IFRC), Hanoi, Vietnam
6.1.92 – 15 .03.93
Head of Delegation International Federation of Red Cross & Red Crescent, (IFRC), Conakry, Guinea
1989 –90
Deputy Chief of Mission, the Coordinator for Afghanistan (UNOCA), Teheran, Iran
1977-1989
Desk/Regional Officer, International Federation of Red Cross & Red Crescent, (IFRC), Geneva.
Dissemination of International Humanitarian Law.
4.1975- 1977
Public Prosecutor, Bank of Tanzania
3.1974 – 3.1975
Assistant State Attorney Attorney General's Office, Tanzania
HIGH LEVEL HUMAN RIGHTS ASSIGNMENTS
U.N. Human Rights Council
Independent Expert on the Human Rights situation in the Sudan
, UNHRC Res. 11/10 & 15/27, Sept 2009 – To date.
Commissioner, High-Level Commission of Inquiry on Lebanon
, UN Human Rights Council resolution S-2/1, 2006.
ICTR/ICTY
Member
, Advisory Committee on the Archives of the International Criminal Tribunal for Rwanda and the Former Yugoslavia, 2008-2009.
Govt of Tanzania
Chairman, Presidential Commission on Inquiry on the Relocation of Pastoralists
, Ihefu, 2007,
Appointed by H.E. President of the United Republic of Tanzania.
SELECTED LEGAL PUBLICATIONS
BOOKS
Accountability for International Humanitarian law Violations: The Case of Rwanda and East Timor, Springer Publishers, Heidelberg, Germany, 2005.
New Approaches in International Criminal Justice: Kosovo, East Timor, Sierra Leone, Cambodia, (Eds. Ambos, K, and Othman, M), Max Planck Institute of Foreign and International Criminal Law, Freiburg, Germany, 2003.PUBLICATIONS
Published numerous scholarly articles on International Law, International Humanitarian Law, Refugee Law and Justice, e.g.
"Defense Practices and the Khmer Rouge Tribunal", in Bohlander, M, Boed, R, Wilsn, R.J, (Eds.) Defense in International Criminal Proceedings, Transitional Publishers Inc., N.Y, 2006.
The Protection of Refugee Witnesses by the International Criminal Tribunal for Rwanda, International Journal of Refugee Law, Volume 14, No.4, May 2003.
The Gulf Wars and Termination of Captivity for Prisoners of War, Revue de Droit International des Sciences Diplomatiques et Politiques (The International Law Review) Jan-Mars 1993, 11-36, Geneva, 1993.

Duh! Hii CV ina-miss very vital information hasa katika kutafuta jibu la thread hii. Hailezi mwaka alikozaliwa na shule za awali alizosoma nk, nk.

Kwa nini hili linafichwa?
 
Ngoja na mimi nikawaulize Kitivo cha Sheria juu ya taarifa za graduates wa 1974 nione kama watanipa

Mkuu hata hiyo Tandahimba, wengine tunaitaka kwa udi na uvumba

Duh! Hii CV ina-miss very vital information hasa katika kutafuta jibu la thread hii. Hailezi mwaka aliozaliwa na shule za awali alizosoma nk, nk.

Kwa nini hili linafichwa?
 
Napata shida kwanini mjadala kuhusu hili jambo uletwe sasa hivi miaka miwili baada ya uteuzi wa huyu Jaji Mkuu Chande, isije ikawa ni haya mambo ya mgongano wa maslahi mnayaleta humu
 
- KATIKA KUHAKIKISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WANAKUWA HURU BILA KUTISHIWA NA BUNGE AU EXECUTIVE BRANCH, WENZETU USA MAJAJI WAO NI WA KUDUMU MPAKA WAKICHOKA WENYEWE AU WAKIFA!!

- MATOKEO YAKE NI HAKI MAHAKAMANI HAKUNA CHA SERIKALI WALA TAJIRI, HAKI KWANZA!!, SISI BADALA YA KULILIA QUALITY TUNALILIA UMRI WA JAJI?

Le Mutuz!!

Le Mutuz, tatizo hapa si muda wa kustaafu. Tatizo ni mtu kofoji umri ili aongeze miaka ya kukaa madarakani. Hatuwezi, na mimi binafsi siwezi kujadili ubora wa jaji kama tuu kuwepo kwake ni illegal! Illegality can never produce anything legal. Ikifika wakati Tanzania tukapata mfumo mzuri na wawazi katika kuwapata majaji wetu, tunaweza kujadili ukomo na hata ubora wao!
 
- KATIKA KUHAKIKISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU WANAKUWA HURU BILA KUTISHIWA NA BUNGE AU EXECUTIVE BRANCH, WENZETU USA MAJAJI WAO NI WA KUDUMU MPAKA WAKICHOKA WENYEWE AU WAKIFA!!

- MATOKEO YAKE NI HAKI MAHAKAMANI HAKUNA CHA SERIKALI WALA TAJIRI, HAKI KWANZA!!, SISI BADALA YA KULILIA QUALITY TUNALILIA UMRI WA JAJI?

Le Mutuz!!
Quality inapotea pale muhusika anapofoji umri.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Madoro inaonekana wewe ni Hakimu sasa una hasira cheo hakipandi na umehamishiwa Tandahimba!!! Pole sana kaka ndio kazi hizo

Kwani Tandahimba hawafai kuwa na hakimu? tuache udarisalama bana yote ni maeneo ya Jamhuri ambapo wafanyakazi wa serikali sharti wawepo.

  • A%20S%20angry.gif

Wakati Augustino Ramadhani anamaliza muda wake, kitivo cha sheria kilifanya hafla ya kumwaga kama ilivyo desturi kwa majaji wote waliopitia pale kitivo. Nilikuwepo katika hafla ile. Jambo lililoshangaza na kumshangaza mwenyewe ni kwamba huwa ni desturi kwa Jaji mkuu anayemaliza mda wake kumfahamu mrithi wake. Tena mara nyingi katika jumuiya ya Madola, jaji mkuu huwa anateuliwa on seniority basis. Siku tatu kabla ya uteuzi, Ramadhani hakumjua mrithi wake. Na kama ilivyotegemewa, seniority haikufwata. Akateuliwa aliyeonekana anafaa na raisi. Sasa naelewa!

Nimeipenda hii!!
 
jaji anaonekana ni mtu wa bata, hajawahi kuzunguka kwenye thiki hizi, asa mbona anaonekaka mzee kuliko huo umri au mwaka unaotajwa! nawafahamu watu kibao waliozaliwa miaka hiyo, tena wengine hawana maisha bomba kama yeye lakini bado wanadai. huyo anafanana na watu wa arobaini na......bana
 
Back
Top Bottom