jaji anaonekana ni mtu wa bata, hajawahi kuzunguka kwenye thiki hizi, asa mbona anaonekaka mzee kuliko huo umri au mwaka unaotajwa! nawafahamu watu kibao waliozaliwa miaka hiyo, tena wengine hawana maisha bomba kama yeye lakini bado wanadai. huyo anafanana na watu wa arobaini na......bana
Mkuu,
Nimependa observation yako maana wadau wengine wanasema CV ya Mh. Jaji Mkuu haiwezi kutusaidia kwa lolote ktk uzi huu juu ya 'utata' wa umri wa Jaji Mkuu.
Pia mie sikujua kuwa humu kuna wadau waliosoma Chuo Kikuu miaka hiyo ya 1970s kweli JamiiForums ni kijiwe cha kuheshimiwa kwa mijadala maana rika zote tumo humu na suala kuu hapa ni nguvu ya hoja yako ktk uzi na kuheshimiana.
JAMIIFORUMS idumu maana ni kisima cha elimu-endelevu kwa sisi sote.