Jaji Mkuu (Chande) amedanganya umri?

Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.

Jaji Chande Othman, alihitimu Shahada ya kwanza ya Sheria mwaka 1974, na kwa mujibu wa taarifa za sasa zinaonyesha kuwa alizaliwa mwaka Januari 1, Mwaka 1952. Kama Takwimu hiyo ni ya kweli, maana yake Jaji Mohamed Chande Othmani alianza darasa la kwanza mwaka 1956 akasoma darasa la nane mwaka 1963, Mwaka 1964 hadi 1967 alimaliza Sekondari (O'level), ambapo kwa hesabu za miaka ile, 1968 alianza kidato cha Tano na Sita na kumaliza mwaka 1970, na Mwaka 1971 akahudhuria Jeshi kwa mwaka mmoja (JKT). na 1972 hadi 1974 ndo akahitimu shahada ya sheria.

Tujiulize yafuatayo:
Je inawezekana Mtu akaanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne?.

Tumefuatilia habari zake Kitivo cha Sheria chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatujapata taarifa zozote za Darasa zima lililohitimu 1974, taarifa zote zimefichwa. Lakini baadhi ya majaji wenzake waliosoma nao darasa moja wanastaafu rasmi mwakani.

Tuwaulize wanadarasa wenzake tujue sakata hili, Prof Costa Rick Mahalu, sio jaji, ila Majaji wenzake ni Dr. Bwana ambaye atastaafu 2013, Jaji J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda, wote watastaafu mwaka 2013. Wengine ambao alisoma nao ambao wameshastaafu ni R. Sheikh, na V.K. Lyimu.

Lakini pia Utata unazidi kwanini habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 Zikawa hazipatikani
Hata muonekano wake kiukweli anaonekana kikongwe kabisa .
 
Inamaana wakaguzi wa vyeti fake kwa watumishi wa umma waliishia kwa dagaa peke yao?
Kama hii habari ni kweli huu mhimili wa serikali hana nguvu ya kujisimamia kwani ukileta tabu unatishiwa kutumbuliwa hivyo unabaki ndio mzee.
 
Katika Kile kinachoonekana kuwa Uadilifu katika Tanzania sasa ni msamiati katika kila Mhimili, Jaji Mkuu Chande Othmani ameghushi umri ili abaki katika ajira hadi mwaka 2016.

Jaji Chande Othman, alihitimu Shahada ya kwanza ya Sheria mwaka 1974, na kwa mujibu wa taarifa za sasa zinaonyesha kuwa alizaliwa mwaka Januari 1, Mwaka 1952. Kama Takwimu hiyo ni ya kweli, maana yake Jaji Mohamed Chande Othmani alianza darasa la kwanza mwaka 1956 akasoma darasa la nane mwaka 1963, Mwaka 1964 hadi 1967 alimaliza Sekondari (O'level), ambapo kwa hesabu za miaka ile, 1968 alianza kidato cha Tano na Sita na kumaliza mwaka 1970, na Mwaka 1971 akahudhuria Jeshi kwa mwaka mmoja (JKT). na 1972 hadi 1974 ndo akahitimu shahada ya sheria.

Tujiulize yafuatayo:
Je inawezekana Mtu akaanza darasa la kwanza akiwa na miaka minne?.

Tumefuatilia habari zake Kitivo cha Sheria chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatujapata taarifa zozote za Darasa zima lililohitimu 1974, taarifa zote zimefichwa. Lakini baadhi ya majaji wenzake waliosoma nao darasa moja wanastaafu rasmi mwakani.

Tuwaulize wanadarasa wenzake tujue sakata hili, Prof Costa Rick Mahalu, sio jaji, ila Majaji wenzake ni Dr. Bwana ambaye atastaafu 2013, Jaji J. Msofe, Jaji Masati, jaji B. Luanda, wote watastaafu mwaka 2013. Wengine ambao alisoma nao ambao wameshastaafu ni R. Sheikh, na V.K. Lyimu.

Lakini pia Utata unazidi kwanini habari za darasa zima Kitivo cha Sheria mwaka 1974 Zikawa hazipatikani
Kina Jdg Mkwawa, Jdg Sekela, Jdg Agustino Ramadhani ina maana hajasoma na mmoja wao ??
 
uhakiki umeisha au ni kwa waalimu na idara ya afya
 
kustaafu kwa wengine aliosoma nao kunakuja vipi?? mimi ningeshauri ungetafuta umri wa jaji mkuu aliyepita aliondoka na miaka mingapi? na pia siyo kila wakati kutafuta mambo ya watu
na kufanya ndiyo kaxi ya jamii forum siku nyingine leta mada yenye tija
 
Naona umempa za uso
 
Back
Top Bottom