[/B][/I]
[/COLOR]Sheria ni msumeno. Mlijifanya kubana, sasa mnaumbuka kama wanga mchana kweupeeeeee!!!!!!!!!!! Nyambafu!!!! Mtabadilisha versions kwa sana mwaka huu.
Hii ndio shida ya kulewa madaraka kwakuwa yeye ni mkubwa alithani kila asemacho ni sahihi na inakuwa sheria hapo hapo?
Asante sana Chande ihi ndio kazi yako itangazie pia Uma wa watz.
Ndg/Bi piga kura bila kukosa usisababishe uvunjifu wa Amani popote ila chunga kura yako sana.
Hahahaaa eti hajasema watu walinde kura,
Hivi wewe ukiona mtu anaiba kwa vile wewe siyo mlinzi hutomkamata?
haya haya wajiandae kuondoka katika hekalu walilolizoea ccm bye bye karibuni upinzani.jaji othman amemua hiki kikombe cha the hague kimuepuke.
Hajasema mikusanyiko ya kisiasa ifanyike mita 200 kutoka vituoni
Wewe ndio ng'ombe! Unafikiri mwizi atasogea wakati akijua kuna watu wanamuona!!Amesisitiza kua watu wakae mita 200 na sio pungufu ya hapo!hajasema watu walinde kura