Ndoto ya mwendawazimu. Pamoja na kwamba CCM nilikuwa nawapinga tangu JF ilipoanza, siwezi kukubali jinsi Mbowe alivyotuuzia Jambazi Sugu kwenye gunia. Huwezi kuvunja cardinal principal ya u-responsibility just for a day na kujichukulia peremende ambazo matokeo yake yatakuwa kuwakandamiza walipa kodi wa nchi hii. Jayari Jambazi Sugu linawakamua walipa kodi kwa hali iliyo chafu zaidi, hakuna democracy bali ni kuonesha vidole tu, No Way bora CCM irudi tena madarakani na huu uwe mfano kwa vyama vya upinzani, sisi hatuoti tu kama uyoga.