hawana akili wewe badala ya kuwaridhisha wapiga kura kwa kuwahakikishia usalama unaanza kutoa vitisho kuanzia raisi waziri IGP,rpc, katibu mkuu ccm , mpambe wa kampeni bulembo nani atakuja kwa sababu vijana wa ukawa wao wako kwenye maandalizi ya kupambana na dhuluma ndio watakao baki vituoni