MilioneaWaSasa
Member
- Jul 8, 2015
- 78
- 11
Huyo "jaji" anajulikana dini yake. Hawezi kumpinga muumini mwenzake.
Hajasema mikusanyiko ya kisiasa ifanyike mita 200 kutoka vituoni
Hayo ndiyo maneno am glad kuwa mwana sheria mkuu anajua kuisimamia sheria vizuri
Sasa ubishi uishe, tunayo kazi moja tu watanzania kwa sasa nayo ni kuiondoa ccm madarakani, uwezo wa kuiondoà tunao, sababu ya kuindoa tunayo na nia ya kuindoa tunayo pipoooooooooooz
Hajasema mikusanyiko ya kisiasa ifanyike mita 200 kutoka vituoni
Hajasema mikusanyiko ya kisiasa ifanyike mita 200 kutoka vituoni
Hahaaaa mkuu huyo mvumilie tu ni ile ile mijitu ambayo ubongo umenoki.We mtu sijui unatokea nchi gani?
Hivi uliwezaje kujua kusoma na kuandika? Yaani we ni ligumu kuelewa balaaa!! Hivi aliyekuambia anataka kufanya mikusanyiko ya kisiasa ni nani? Mijitu ya ccm mnakaririshwa nanyi mnameza bila hata kutafuna... vingine vinakuwa vya moto mtaungua mokooo eboo!!!
Hivi ccm ndo inatumia gharama kubwa mitandaoni kwa mtu kama wewe..!!!
BACK TANGANYIKA
Amesema mita 200 kulinda kura? Na kama hizo mita 200 zitaangukia katika nyumba yangu, nitakubali vipi kuruhusu makundi ya wanywa viroba nje ya nyumba yangu kiasi cha kuniwekea hofu ikiwa pamoja na kushindwa kuendelea kutekeleza majukumu yangu ya kifamilia ikizingatiwa siku hiyo itakuwa J2?Jaji mkuu wa Tanzania Othman Chande ameyasema hayo katika kongamano la majaji leo akiwa na Damian Lubuva wa NEC. Amesema sheria inaruhusu wananchi kukaa mita 200 kutoka kituo cha kura
Mkuu, katika mjadala wa jambo hili kuna kitu kimoja kina nishangaza sana. Napata mashaka kama hawa wanaokataza wanaijua nchi yao vizuri. Katika miji mikubwa karibu yote, ni nadra sana kuwa na kituo cha kupigia kura ambacho kipo mbali na makazi ya watu (kwa mita 200) au maeneo mengine ya kufanya shughuli za kijamii (kama biashara nk). Kwa mfano, nyumbani kwangu haizidi mita 50 kutoka kituo cha kupigia kura. Sasa kama mahakama itaamua kuwa sina haki ya kukaa karibu na kituo hata kwa mita 200, ni uamuzi ambao kiuhalisia hautekelezeki kwa sababu tume ndio imeweka kituo karibu na nyumbani kwangu.Hapo si anapre-empt uamuzi wa kesi iliyo Mahakamani? Kama amesema leo,atakuwa ameteleza
Hajasema mikusanyiko ya kisiasa ifanyike mita 200 kutoka vituoni
Ngoja magamba yazidi kupukutika