MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,370
Hata mimi nawaza, tukipiga kura tuondoke twende nyumbani, hayo matokeo watamtangazia nani???
Hayo ndiyo maneno am glad kuwa mwana sheria mkuu anajua kuisimamia sheria vizuri
tunatakiwa turudi nyumbani kwasababu matokeo ya uchaguzi yashajulikana tayari,kama vile tulifanya kwenye bunge la katiba baada ya miezi ya kutumia mapesa na wabunge kujadili mwisho wa habari matokeo ya katiba wametoa wao ccm,hii ndio sanaa inayofanywa nchi hii
na uchaguzi huu sisi tutajaza makundi makubwa ya watu wao wana matokeo ya uchaguzi
kama kuna uzi wenye update za mahakamani kuhusu hukumu ya mita mia mbili naomba kuelekezwa huko
cc invisble