Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

Jaji Lubuva Asema Sheria Inawaruhusu Raia Mita 200

Kaeni hata mita 20,lkn kamwe ccm haitafanya makosa,Nchi haiwezi kupewa fisadi kama mnavyofikiria, tusubiri tuone bado cku 4tu,lkn kwenu nyinyi ukawa kuchukua ni ndoto za mchana, please nitafute jtatu nitakupa majibu yako.
 
wangekuwa wajanja wangesitisha ujinga wao .... Mwaka huu kila kitu kina kwenda mrama bado hawajiulizi ....
Tetesi ni kuwa kuna wanawake wameandaliwa karibu kila kituo kuingia na kura zenye tick tayari kwa Mr Magufuli kwa kuziweka na kuzificha kwenye sidiria au kwenye kile kuguo kidogo cha maeneo nyeti cha pembe tatu maarufu kama "chupi"

Jamaa karibu kwenye ofisi zao zote wanakutana usiku wa manane kupanga ufanikishaji wa goli la mkono na mpango wao ni piga ua garagaza, eti Magufuli (kwenye nafasi ya Urais) lazima CCM ishinde!!!

Na sisi tunasema, baadhi ya majimbo ya ubunge na kata za udiwani tutawaruhusu washinde tu. Lakini piga ua garagaza katika nafasi ya Urais Edward Ngoyai Lowassa na CHADEMA/UKAWA lazima ashinde kwa kura za kishindo kikuu!!
 
asili ya sheria ni kutoa makatazo na sio kutoa miongozo,sheria husema usifanye hiki na ukifanya utakabiliwa na adhabu hii na ile,sheria itakuambia usiue ukiua utakabiliwa na adhabu hii na hii!sheria haiwezi sasa kutoa miongozo kwamba ili usiue uwe hivi au vile au uishi hivi au vile....mavitabu ya sheria ni makubwa na yakianza kundikwa hivyo kwa kutoa miongozo yatakuwa makubwa kupindukia,hivyo usitarajie eti sheria ingesema nendeni mkakusanyike labda kilometa 2 toka kituo cha kura.

Sheria iliyoko sasa ndio inasema hivyo ikiwa na lengo la kuondoa msongamano eneo la kupiga kura,subirini miaka mingine mtunge sheria ya kuzuia mikusanyiko siku ya uchaguzi popote katika ardhi ya Tanzania!

Heshima yako mkuu.
 
Uwezekano wa CCM kutoboa unazidi kupotea kadri tunavyokaribia kibla.
 
Moderators saidieni kubadili heading. Aliyesema ni Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman. Si Jaji Lubuva,Mwenyekiti wa NEC
 
Moderators saidieni kubadili heading. Aliyesema ni Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman. Si Jaji Lubuva,Mwenyekiti wa NEC

Invisible
 
Last edited by a moderator:
Amesisitiza kua watu wakae mita 200 na sio pungufu ya hapo!hajasema watu walinde kura
Hahahaaa eti hajasema watu walinde kura,

Hivi wewe ukiona mtu anaiba kwa vile wewe siyo mlinzi hutomkamata?
 
Tatizo kura zinazowekwa kwenye themoc hotpot ndani ya nguo kwenye madirisha vyooni apa ndo pagum kupangua
 
asante jaji Osman, jahazi LA Fisiem Linazidi kuzama
 
CCM wanasahahu kuwa hii sheria ya uchaguzi haijaja leo. Waliipitisha wao wenyewe bungeni na majority votes zao za NDIOOOOOOO. Sasa leo shida iko wapi????? Kweli Lowasa amesisitiza elimu. Tunaihitaji kweli kweli
 
Huu uzi ulianza kwa heading ya Jaji Mkuu, muda huu umebadilishwa na kuwa Jaji Lubuva? Je yupi kasema hiyo ruksa?
 
KWAKWELI LEO NIMEGUNDUA JAMBO LA HUZUNI SANA KATIKA MAISHA YANGU YA TAREHE 25. 10. 2015.

Kituo changu cha kupigia kura kinaitwa Sabasaba..

Mita 200 mashariki ni kituo cha polisi cha kata

Mita 200 magharibi, kambi ndogo ya jeshi wilaya

Mita 200 kaskazini, ofisi za CCM mkoa

Mitaa 200 kusini, gereza la mkoa.

Mita 200 kusini magharibi ambapo ni jirani na nyumbani ndipo zilipo ofisi za FFU Mkoa...

Hivi hakuna utaratibu wa kubadili kituo wajameni?

Komaza uso wako hapo hapo mkuu hadi kieleweke.
 
Huu uzi ulianza kwa heading ya Jaji Mkuu, muda huu umebadilishwa na kuwa Jaji Lubuva? Je yupi kasema hiyo ruksa?

Ni Judge Lubuva mkuu, ndio kasema hayo maneno, nadhani typing error toka kwenye source ya habari East Africa TV though nao wameedit io heading yao
 
Sasa ubishi uishe, tunayo kazi moja tu watanzania kwa sasa nayo ni kuiondoa ccm madarakani, uwezo wa kuiondoà tunao, sababu ya kuindoa tunayo na nia ya kuindoa tunayo pipoooooooooooz

powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Back
Top Bottom