Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,107
Wewe ndio ng'ombe! Unafikiri mwizi atasogea wakati akijua kuna watu wanamuona!!
Mkapa hakukosea alivyowaita wapumbavu na malofa!
Wewe ndio ng'ombe! Unafikiri mwizi atasogea wakati akijua kuna watu wanamuona!!
No huyu jaji aliwahi kupendekezwa kuwa jaji WA ICC Kama sikosei mwaka 2013 wakazi CAG office ilipoteuliwa kuwa mkaguzi WA hesabu za UN, so Jamaa bardo ana Mahope one day yes.so has to reserve his reputation.Huyu anaelewa jinsi safari ya The Hague zinavyoanza, akiangalia mvi zake na heshima naona kaamua 'kujitenga' na wenzie katika safari ya ICC.
Iwapo yakitokea machafuko Jk atakuwa wa kwanza kushtakiwa kwa kosa la kuamrisha mauaji kwa kauli yake ya kusema watakaokaa mita 200 watashugulikiwa wakifatiwa na makapuku wengine
Wa kushitakiwa ni Mbowe tu hapa sababu yeye ndo anapingana na serikali, pamoja na kwamba sheria itaruhusu watu wakae mita 200, kama kuepuka matatizo serikali inasema hawaruhusu na Mbowe analazimisha watu wakalinde kura wakati yeye atakuwa hom, sioni sisiemu eti wakirudi nyumbani wakati ukawa wanalinda kura. Na wao watabaki ndo kitakaponuka na kuanza kutafuta kiini ni nani aliyeamuru watu wakalinde kura wakati mwanzo walipewa angalizo.
Alafu watu mnazijua mita mia mbili au mnaongea tu? Kwa lugha nyingine muwe mbali na vituo vya kupigia kura urefu wa football pitch mbili. Ni umbali mkubwa sana kwamba mtu hautakuwa na effect yeyote pale na kwa jinsi vituo vyetu vya kupigia kura vilivyo mfano vya sinza, hamna hata kimoja kinachotoa mita 200 na mtu ukawa comfortable maana vituo vingi ndani ya mita 30-50 kuna makazi ya wat, abda uende simama barabarani.
Magamba kwa liwaya zisizo na maana bwana.... kauli muipendayo ya tii sheria bila shuruti maana yake ni nini? Mbona hapa mnavunja sheria kwa shuriti??? Acheni double standards zenu bana..... bunge lilikuwa mali yenu na mkulu alilichelewesha kulivunja makusudi, si mgepeleka mswaada fasta mkaifuta hy sheria ya mita 200? Hata mgetaka kufuta vyama vingi kwa wingi wa wabunge wenu simgefanya hivo? Sasa kwa nn mlazimishe watu wanao tii sheria bila shuruti kuivunja?????Wa kushitakiwa ni Mbowe tu hapa sababu yeye ndo anapingana na serikali, pamoja na kwamba sheria itaruhusu watu wakae mita 200, kama kuepuka matatizo serikali inasema hawaruhusu na Mbowe analazimisha watu wakalinde kura wakati yeye atakuwa hom, sioni sisiemu eti wakirudi nyumbani wakati ukawa wanalinda kura. Na wao watabaki ndo kitakaponuka na kuanza kutafuta kiini ni nani aliyeamuru watu wakalinde kura wakati mwanzo walipewa angalizo.
Alafu watu mnazijua mita mia mbili au mnaongea tu? Kwa lugha nyingine muwe mbali na vituo vya kupigia kura urefu wa football pitch mbili. Ni umbali mkubwa sana kwamba mtu hautakuwa na effect yeyote pale na kwa jinsi vituo vyetu vya kupigia kura vilivyo mfano vya sinza, hamna hata kimoja kinachotoa mita 200 na mtu ukawa comfortable maana vituo vingi ndani ya mita 30-50 kuna makazi ya wat, abda uende simama barabarani.
Amesisitiza kua watu wakae mita 200 na sio pungufu ya hapo!hajasema watu walinde kura
Ss unamshtak vp mbowe ambae anasimamia sheria kwa kusema watu wakae kuanzia mita 200 na kumuacha ambae anasema ukikaa mita 200 ushugulikiwe?
Wa kushitakiwa ni Mbowe tu hapa sababu yeye ndo anapingana na serikali, pamoja na kwamba sheria itaruhusu watu wakae mita 200, kama kuepuka matatizo serikali inasema hawaruhusu na Mbowe analazimisha watu wakalinde kura wakati yeye atakuwa hom, sioni sisiemu eti wakirudi nyumbani wakati ukawa wanalinda kura. Na wao watabaki ndo kitakaponuka na kuanza kutafuta kiini ni nani aliyeamuru watu wakalinde kura wakati mwanzo walipewa angalizo.
Alafu watu mnazijua mita mia mbili au mnaongea tu? Kwa lugha nyingine muwe mbali na vituo vya kupigia kura urefu wa football pitch mbili. Ni umbali mkubwa sana kwamba mtu hautakuwa na effect yeyote pale na kwa jinsi vituo vyetu vya kupigia kura vilivyo mfano vya sinza, hamna hata kimoja kinachotoa mita 200 na mtu ukawa comfortable maana vituo vingi ndani ya mita 30-50 kuna makazi ya wat, abda uende simama barabarani.
watakaa hizo mita 200 ambazo kiukweli ni mbali sana na kituon ccm nao watakaanthen panaweza tokea mabishano na hatimae vurugu na watu kukatana mapanga,,,watakufa wawil watatu,,,,,hicho ndo serikali haitaki kitokee
khaswa... basi poteza tu!lkn bado lile la mkulu kutaja idadi feki