ITV yawaumbua DARUSO kuhusu nyufa za hosteli ya Magufuli

Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.

Labda naye anaogopa kuunganishwa na kijana Kumbusho
 
Nimeiona ITV hiyo news. Wanadai ni expansion joints na waliziziba kimakosa na watazirekebisha. Hofu ni muhimu wadau roho hainaga spea
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Tunafahamu wewe ni mfia Magufuli na Lumumba...zile nyufa si za kawaida
 
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.

Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.

We kiazi kweli.
Nilidhan unasema Hakuna nyufa.
Unapumulia nini? Kata product at work
 
Wewe utakuwa mpumbavu mkubwa

Kinga ni bira kuliko tiba

Umeskani (have you scanned to establish the criticality of the case)

Unataka watu wafe ndipo ufamye nini?

Je kuna spear ya uhai popote pale kwamba mtu akifa tunanunua uhai tumpatie?
Not make sense
 
Majengo ya serikali suala la nyufa linachukuliwa ni la kawaida sana, mnasema nyufa sio kubwa,ila zipo...........hatari sana.
Mnatetea kuwa kodi zenu zimejenga majengo yenye nyufa ila sio kubwa, mnataka ziwe na ukubwa wa kiasi gani?Majengo yana muda gani yale hadi yawe na nyufa mtakazoridhika nazo?
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.

Swala je nyufa zipo?ni kawaida nyumba kuwa na nyufa?baada ya mwaka hali itakuwaje?
Magorofa ya kule mlimani ni ya miaka tele na yako Bomba na kilaza anajua hilo.sasa he hii iko sawa?na unahakika gani hao TVs hawajapunguza zoom ili kumsafisha mapanya buku?
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Hv naomba niulize swali. Kwani majengo yote hapa Tanzania haswa haya makubwa ni lazima yawe na nyufa? Kwa uelewa wangu wa majengo haswa nyufa huja km materials zilizotumika ni dhaifu ama chache, pia ufundi, structure ya jengo na usimamizi.
 
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amatetur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Mtaamtetea sana mtukufu wenu lakini ukweli siasa haifai katika taaluma
 
Back
Top Bottom