patrick80
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 737
- 608
Kiboooooo bwanaJengo linapumua msiwe na wasiwasi laleni unono.Ni kawaida kitaalam jengo kupumua kupitia nyufa
Kiboooooo bwanaJengo linapumua msiwe na wasiwasi laleni unono.Ni kawaida kitaalam jengo kupumua kupitia nyufa
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amateur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Stella bwana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nyufa ni nyufa akuna kudogorisha neno nyufa.
...Yes ni kweli, jamaa wa TBA alisema waliacha hizo nyufa ili jengo lipumue!!Hakuna nyufa..huo ni uchochezi...ile ni aina mpya ya ujenzi
Mashine ya ku inject expansion joint materials
Huo msumali sasa, sio mashine tena.Hizo nyufa kubwa sana hata mashine yangu inapita, nikiipaka mafuta
ukweli ni kuwa kitu kilicho sawa kwenye hayo majengo ni jina , naomba msilibadilishe tuweke kumbukumbuKwani ufa ukiuzoom unabadilika jina?
Sawa endeleeni hivyo hivyo ku-assume! Akili zingine matope kabisa!Hi kitu iliyotokea kwenye hostel ilishawahi tokea hata kwenye gorofa la appartments la Richomond towers kule sea view kwenye miaka ya 2010! Maungio yanayounganisha tower mbili yalipishana pale ambapo tower moja ilititia kidogo kwenye aridhi ikiwa ni sehemu ya kawaida ya aridhi ku adjust uzito wa jengo. Japo wapangaji walipiga kelele kwenye vyombo vya habari, mpaka leo lile ghorofa la ghorofa zaidi ya kumi halijawahi kudondoka baada ya nyufa zile na liko stable kabisa. So its safe to assume kuwa jengo la hostel linapumua.
![]()
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.
Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
Mimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amateur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.
Dawa ya uchocheziCentro wenyewe wamemkana.
Maybe atakua ndani ya white Nisan/Lendi Cruza anahojiwa na watu wasiojulikana
Picha walizoonyesha muda huu huwezi kusema picha zilizoko mitandaoni ni picha ambazo zimekuwa "zoomed" hata kidogo.
Mlioangalia taarifa ya habari ya ITV muda huu mtakuwa mashahidi.
TBA ni tawi la CCMAla!kumbe ni mashindano kati ya CHADEMA na CCM? CCM wana kitengo cha ujenzi eeee.. Wacha hizo. TBA ni ST sio chama
Expansion joint ya CCM.Wana ccm husema ukweli chadema ni waongo na wazushi
Hakuna nyufa kabisa hata hao Azam ni wachochezi tuuMimi nimeangalia Azam, nyufa sio kubwa kiasi hicho. Mtangazaji ametangaza akiwa kasimama mbele ya hizo nyufa na kamera wakaisogeza karibu na nyufa, nyufa ni nyufa ila sio kubwa kama zinavyoonekana ktk mitandao ya kijamii.
Sitetei maelezo ya TBA ambayo kwa akili yangu ya amateur ktk masuala ya uhandisi, akili yangu haijakubaliana na utetezi wao ila nyufa sio kubwa kama zionekanavyo ktk social media.