ITV yatumika kumpigia kampeni Lowassa kabla ya muda

Kituo cha Televisheni cha ITV leo kimeonyeshwa wazee wa Mwanza wakidai kuwa wanamshawishi Lowasa agombee, huu ni mtiririko wa habari za Lowasa katika kituo hicho ukiwa ni muelekeo wa Kampeni kabla ya wakati
Anzisheni TV zenu halafu mumpe promo huyo Mkakongoro! Lakini mjue tu. IKULU SI YA BABAKO.
Kweli kabisa, nimeona kwenye taarifa ya habari, ITV saa mbili, This is not fair!!!

ni kweli nami nimeliona mda mwingine huwa halihusiani kabisa Lowassa lakini utakuta wanakwepesha kimakusudi ili Lowassa ili mada ya Lowassa iingie
 
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.
 
Hapa ni mwendo wa uhakika mpk ikulu, kama munataka habari za kuwafurahisha angalieni tbc..........someni habari leo,uhuru, jambo leo, daily news na mengine ya mfano huo.
 
Ningefurahi kama ungeanza na tbc wanao tumia kodi zetu kunadi habari za ccm tu kanakwamba watanzania wote ni ccm

Shame on you na ccm yako
 
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.
Ninyi watu wa ajabu kweli, mbona wakiwa wanapendelea chama chenu hatusikii mkilalamika hivi!
 
Mwambie huyo. Kama anataka kubalansi mambo, act&chichiem aende tbccm.
 
Hivi inakuwaje mtu akupangie nini cha kufanya nyumbani kwako mwenyewe?

Yaani mshangao wa ajabu,wanashangaza sana hawa wa kijani
Yao tu ndio mema
Wamebeba pesa kwenye sandarusi na mabox na nyingine wamewagawia hadi watumishi wa Mungu ila kwao sawa tu
 
Ni vizur hizi media hata kama kuna maslah binafsi basi jitahidini kujificha kidogo lakini hili mmeshindwa kabisa,
Ni kweli mnaweza mkawa mmepatiwa mtonyo na jamaa,lakini kama chombo binafsi msiwadhihirishie wananchi kwamba mnapendelea upande flani,
Najua hiki ndio kipindi cha bingo kama jamaa amekaa kwenye reli,kampuni inaweza ikapiga hatua kwani jamaa tangu yupo Kijani mkono wake kwenye hii isue ya yeye kwenda Ikulu anazitoa tu,hivyo kama wafanyabiashara nyie kamueni tu lakini jitahidini kujificha kidogo,
Tatizo lenu mnaonesha kama mna bifu na zambarau na kijani za wazi wazi,hapa kwa wengine mnakosa mashiko,
Yani hata siku moja hamuwezi onesha isue ambazo zina negative impact kwa Gwanda,hivi ni kweli hazipo?
Zambarau akizomewa tayari mnaongeza na chumvi lakini gwanda likizomewa kimyaaa,
Poa huu ni ushaur tu kwenu kwani raia wakiwastukia watawapotezea na maana au dhamira yenu itakwama.

hawa jamaa
ITV,
CHENEL TEN,
GAZETI LA MWANANCHI,
MTANZANIA,
wote nyerere alipotoa taifa HILI UTUMWANI WAO NA MABOSI WAO WALIBAKI UTUMWANI,WANATUMIKA KAMA TOILET P,HAWANA JIPYA HATA KAMA MENGI NDO ANAWATU MNUNULIWE USIKU NA MCHAN HAITASAIDI MPANGO WA MUNGU NI WAMUNGU TU HILA MWISHO NI AIBU TU,

Back
Top Bottom