Duh! Inaonekana imekuuma sana.Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Mngekuwa Mna AKILI Na MMEJIZATITI Basi Msingeacha Hadi Simu Zake Zote Lowassa Na Wafuasi Wake Tena Wa Karibu Zipo Monitored 24/7 Na ANASANIFIKA Mno Na Wazee Wa Kazi. au Mnataka Sasa Tutegeshe Kama Alivyotegeshewa Savimbi Kisha Ibaki MIFUPA Na MAFUVU Kisha Ndiyo Muyapigie Kura? au Nikutajie Hapa Hapa Hadharani Watu Wetu Wa Kazi Ambao Wako Penetrated Na Seconded Kwenu CHADEMA / UKAWA?
antony komu kamtishia silaha lema sababu kashindwa kura za maoni kilimanjaro aliyeshinda ni lucy owenya. itv kimyaaaaa! me hawa watu naona wamekaa kidaku daku juzi nilicheka hadi mbavu zikakatika mbavu mbili nilipoona picha ya mengi na lawrence masha nikakumbuka habari za kutaka kuuwawa zilizowahi kurushwa itv yaani kuna unafiki mwingi kwenye hii nchi
Mkuu kama CCM hamtaki kutangazwa kwa mabaya acheni kufanya mabaya.
Kwahiyo Wewe Umejipangaje??
Kwa hiyo kura zisipotosha mnafanyaje kwa vile hamjajiandaa? Kumbuka kuna chaguo na ni wanananchi ndiyo wanaamua! Nafikiri muanze pia kujiandaa kushindwa la sivyo muandae watu wa kwenda the Hague.CCM Haijajiandaa Kushindwa Na Tena Utukome Wana CCM Wote Kwani Tokea UHURU Wa Nchi Hii CCM Haijawahi Na Haitakaa Kushindwa Na Itaongoza Tanzania Hii Hii Kwa Miaka Mingine 1000 Ijayo. Tuvumiliane Tu Wajameni!
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
TBC nao wabadilike. Ubaguzi sio mzuri. Onyesha taarifa za pande zote.
Kwa hiyo unafurahia ITV kufanya makosa yanayofanywa na TBC?
Two wrongs do not make it right.
Basi usilalamike habari pale zinazokuhusu zisipotangazwa.
Haki ya kupata habari ni haki ya muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya jamii bila kujali inamnufaisha nani moja kwa moja.
Yaani kuambiwa mjinga ni tusi? Ujinga ni hali ya kutokujua mambo, kuwa mbumbumbu. Hujui kuendesha gari wewe ni mjinga wa eneo hilo. Acha ujinga, sawa?
Kila anayesema ukweli kwenu ni ccm tu! Hivi lini mtakubali kushauriwa?