ITV bakizeni akiba ya ushabiki

ITV bakizeni akiba ya ushabiki

Sio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupu

Mbona hutaki kuisema RAIA Tanzania,tazama,mkakati?wanavyo andika habari za kuipendelea ccm?hata hivyo hayo magazeti tumesha amua kuyapa adhabu ya kutopoteza fedha zetu
 
Hivi TBC wanaonyesha mikutano ya UKAWA? tuanze na hao kwanza maana TBC inaendeshwa kwa kodi za hata wana UKAWA kuliko ITV ambayo ni biashara ya mtu binafsi.

Kwa hiyo unafurahia ITV kufanya makosa yanayofanywa na TBC?

Two wrongs do not make it right.

Basi usilalamike habari pale zinazokuhusu zisipotangazwa.

Haki ya kupata habari ni haki ya muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya jamii bila kujali inamnufaisha nani moja kwa moja.
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Sijui ksma ni mmiliki au ni watangazaji wake in short hats magazetivwanadoma hovyo kuiliko tbc1!wamechagua upande wenginebtumeanza kuwapuuza
 
ITV ni super brand no 1. uache ushabiki mwenyewe,kama unafikiri maendeleo ya mtanzaia mmoja ni ahadi za kunguru kuwa kunasiku atakunyea mkate imefika mwisho.Itv nawapongeza sana na watanzania tunatambua mchango wenu,asante kama nimekukera MCCM.
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
[/QUOTE
Haifikii TBC na upendeleo kwa ccm
 
Ngojea Magufuli Achukue Nchi Tuone Hiyo Media Kama Itakuwepo Tena Tanzania Kudadadeki. Ngoja Wajidanganye Kuwa Rais Ni Lowassa Wao Wakati Wanamume Jana Tayari Tumeshamaliza Kupanga Safu Nzima Ya Baraza Lake La Kwanza La Mawaziri Na Kesho Tunamalizia Kupanga Wakuu Wake Wapya Wa Mikoa Na Wilaya Na Ijumaa Tunamaliza Na Mabalozi Na Wakurugenzi Mbalimbali Wa Taasisi Zetu Muhimu Na Nyeti Ili Jumapili Tukianza Mziki Pale Jangwani Kila Kitu Kiwe Kipo Tayari. Hakuna Raha Na Utamu Kama Kuipenda CCM. Tuvumiliane Tu Wajameni!

Teeeeeeh,teeeeeeh,teeeeeh,endelea kujidanganya kama nyani anavyo jidanganya kwa kujidai anachoma Hindi kwa kulionyesha Hindi kunako tokea moshi,mwaka huu ndio mtaijua nguvu ya umma na mjiandae kwa kuwa wapinzani
 
Sijui ksma ni mmiliki au ni watangazaji wake in short hats magazetivwanadoma hovyo kuiliko tbc1!wamechagua upande wenginebtumeanza kuwapuuza

Nadhani wengi ni makada wa chadema, eg yule dada wa Morogoro sijui naninani Minja ni mgombea sasa hivi wa chadema.
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.

chief, nionyeshe mahala ambapo wewe mwenyewe umewahi kutoa lawama kama hizi dhidi ya TBC na Habari Leo then nitakuunga mkono kwa 100% kwenye hili la ITV!
 
Kaka mi sio mjinga. Hivi kwa nini nyie chadema mna matusi namna hii!? Huko Sikonge chadema toka asubuhi wanapasuana wao wanaongelea habari za mabibo tu!

Unatuletea mawazo ya kijinga,huwezi kujiona wewe ni bora kuliko wenzako
 
Shida hoja bwana mdogo unafikikiri mabavu ya ccm yanaweza kuvisumbua vyombo vingine TBC hawana hadhi wanayopewa.TBC ni sawa na uhuru kama ivyo yaani,mi nikushauri,be gentlemen na zungumza ukweli panapo bidi
 
Teeeeeeh,teeeeeeh,teeeeeh,endelea kujidanganya kama nyani anavyo jidanganya kwa kujidai anachoma Hindi kwa kulionyesha Hindi kunako tokea moshi,mwaka huu ndio mtaijua nguvu ya umma na mjiandae kwa kuwa wapinzani

Umma upi sasa? Usijepata presure buree, kuna mtu amemiliki chama kwa mipango na dhamira yake, we chekelea tu!
 
Shida hoja bwana mdogo unafikikiri mabavu ya ccm yanaweza kuvisumbua vyombo vingine TBC hawana hadhi wanayopewa.TBC ni sawa na uhuru kama ivyo yaani,mi nikushauri,be gentlemen na zungumza ukweli panapo bidi

Mbona mi niko fair!!
 
Teeeeeeh,teeeeeeh,teeeeeh,endelea kujidanganya kama nyani anavyo jidanganya kwa kujidai anachoma Hindi kwa kulionyesha Hindi kunako tokea moshi,mwaka huu ndio mtaijua nguvu ya umma na mjiandae kwa kuwa wapinzani

Kikosi Chetu CCM Cha Ushindi Cha Watu 32 Umekiona Lakini? Nina Uhakika Tayari Kisaikolijia Mmeshaathirika Na Hicho Kikosi Cha Maangamizi Na Hapo Bado Ule Utabiri Wa Kinajimu Kuwa Kuna Mgombea Mmoja Mbishi Na Mzee Ataanguka Ghafla Na Kuresti Ini Pisi.
 
Back
Top Bottom