Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Unafuatilia TBC, CLOUDS tv?, vinginevyo uwe mpole sana.
Kweki kabisa
Unafuatilia TBC, CLOUDS tv?, vinginevyo uwe mpole sana.
Unamkumbuka mtangazaji wa Rwanda aliyepelekwa the heague?
Ila wewe ni mwana ccm
Ni kweli kabsa ile kamati ya CCM imejaa watu wa Ukawa wengi mmoja wao ni Kinana ambaye amegutuka kuwa chama kinawafia kaamua kuomba suluhu mapema.
Siyo Rwanda tu sema hata Kenya
ukiangalia tbc ukasoma uhuru lazima udumae kiakili
Kwahiyo Wewe Umejipangaje??
Ni kweli kabsa ile kamati ya CCM imejaa watu wa Ukawa wengi mmoja wao ni Kinana ambaye amegutuka kuwa chama kinawafia kaamua kuomba suluhu mapema.
Ukiambiwa kuwa ni mjinga unakasirika,hivyo kwenye huo uoza wenu mliopanga jana kuna MTU mgani wa kuutetelesha ukawa?sana sana wamejaa watu wa ukawa na kila mtakacho kipanga mchana usiku kinafika ukawa,endelea kujidanganya
Kiongozi wa kuhama nchi ndio anayepeperusha bendera ya chama chako, ukatae ukubali, huo ndio ukweli mchungu.
Kuishi kwa matumaini ni utamaduni wenu ndani ya ccm
ukiangalia tbc ukasoma uhuru lazima udumae kiakili
hatumchagui magufuli sio kwa sababu mchafu ni msafi na hana kashfa yoyote ila mfumo wa chama chake ndio hatuutaki so ndio maana tutampata fisad lowasa kula kwa kua ni mchafu yeye binafsi lakini mfumo yani chama alichonacho sasa ivi fresh na ni system mpya ngoja ije kwanza
Kuna watu kama hawa matusi ni haki yao!..mijitu mingine misenge kweli, yaan umenikera we ------ ww! Kwann usiseme TBC ..TBC tangu ukawa ianze huwa hairipot mikutano ya ukawa, hata magazeti yanapotaja mafuriko ya ukawa hawasomi...yote huoni ...halafu unakuja na nyege za matakoni hapa..pumbaaav
Una lolote la kusema juu ya hawa wapuuzi wa TBC wanaolipwa na kodi zetu, ITV hawatumii kodi zetuYaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Mngekuwa Mna AKILI Na MMEJIZATITI Basi Msingeacha Hadi Simu Zake Zote Lowassa Na Wafuasi Wake Tena Wa Karibu Zipo Monitored 24/7 Na ANASANIFIKA Mno Na Wazee Wa Kazi. au Mnataka Sasa Tutegeshe Kama Alivyotegeshewa Savimbi Kisha Ibaki MIFUPA Na MAFUVU Kisha Ndiyo Muyapigie Kura? au Nikutajie Hapa Hapa Hadharani Watu Wetu Wa Kazi Ambao Wako Penetrated Na Seconded Kwenu CHADEMA / UKAWA?
Hivi TBC wanaonyesha mikutano ya UKAWA? tuanze na hao kwanza maana TBC inaendeshwa kwa kodi za hata wana UKAWA kuliko ITV ambayo ni biashara ya mtu binafsi.