ITV bakizeni akiba ya ushabiki

ITV bakizeni akiba ya ushabiki

Na vijana wa ccm wengi wamesha dumaa

Hakuna waliodumaa kama nyinyi ukawa ambao wajanja kama Dr slaa na Lipumba wamewapuuza, kwa kubadilishiwa misamiati kila uchao na huku mnakenua meno tu! Eti fisadi anaitwa "Mfumo" ha ha ha ha think big bro!
 
Stupid acha kuiingiza Rwanda kwa ujinga wenu wa CCM
Independent Television For Chaggas And Northerners Only au ITCN. Na Isipokuwa Makini Kwa Content Zake Itakuwa Haiko Mbali Kama Ile Media Ya Kichochezi Iliyokuwepo Kwetu Nchi Ya Asali Na Maziwa Rwanda Iitwayo RTLM.
 
Aagh! Tena unarudia yale maneno ya kisanii! Eti "mfumo" Kwani mfumo ni jengo au miti? Mfumo ni watu, na watu wenyewe wanaolalamikiwa ndio hao waliohamia chadema! Sasa huo mfumo umebaki wapi, ccm au chadema iliyonunuliwa? Be raelistic!

Naona mulugo kawamaliza vijana hata kujua nini maana ya mfumo unashindwa?
 
Hakuna waliodumaa kama nyinyi ukawa ambao wajanja kama Dr slaa na Lipumba wamewapuuza, kwa kubadilishiwa misamiati kila uchao na huku mnakenua meno tu! Eti fisadi anaitwa "Mfumo" ha ha ha ha think big bro!

Ndio maana nakwambia kwa mara nyingine kuwa umeshadumaa,huoni hiyo post yako tayari umekiumbua chama chako na viongozi wako wakuu?
 
Stupid acha kuiingiza Rwanda kwa ujinga wenu wa CCM

Wewe Idiot Leo Rwanda Mliyokuwa Mnaipiga Majungu Na Hasa Mkinipiga Mimi Madongo Humu Ya Kila Aina Imekuwa Nzuri Kwenu? Kweli Ukitaka Kumjua MNAFIKI Ni Kazi Rahisi Sana.
 
Ukawa kumbukeni mlikuja na uzi wenu mkiisema clouds kisa tangazo lakini hamkuangalia pia itv ilikua haipo fair,watu wakisema mnawatukana na kuwakashfu..hv hamuwez kuwacrush kwa hoja bila kutukana?
 
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.

Tv ya wachaga imejidharilisha sana ktk zoezi la siasa zinazoendelea.

Kama ni.kununuliwa yaani naona mpaka wamekuwa mdebwedo
 
Back
Top Bottom