rallphryder
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 3,630
- 1,444
- Thread starter
- #21
Mtoa mada ungeeleweka ungeuliza na tbc na star tv
Tunajadili hoja hiyo hapo juu, by the way, mbona ch 10 walionyesha ule mtiti wa same jana! Wao eti hawajui!
Mtoa mada ungeeleweka ungeuliza na tbc na star tv
Wanajua sana ila wanapotezea. Ni maelekezo toka kwa bosi waoTunajadili hoja hiyo hapo juu, by the way, mbona ch 10 walionyesha ule mtiti wa same jana! Wao eti hawajui!
Duh haya mahaba ni hatari. Kumbuka hii ni sias, siku kikishindwa chama chako utapata taabu bure...kuwa na hifadhi ya mahaba.Ngojea Magufuli Achukue Nchi Tuone Hiyo Media Kama Itakuwepo Tena Tanzania Kudadadeki. Ngoja Wajidanganye Kuwa Rais Ni Lowassa Wao Wakati Wanamume Jana Tayari Tumeshamaliza Kupanga Safu Nzima Ya Baraza Lake La Kwanza La Mawaziri Na Kesho Tunamalizia Kupanga Wakuu Wake Wapya Wa Mikoa Na Wilaya Na Ijumaa Tunamaliza Na Mabalozi Na Wakurugenzi Mbalimbali Wa Taasisi Zetu Muhimu Na Nyeti Ili Jumapili Tukianza Mziki Pale Jangwani Kila Kitu Kiwe Kipo Tayari. Hakuna Raha Na Utamu Kama Kuipenda CCM. Tuvumiliane Tu Wajameni!
We boya habari leo je na tbc wanandika na kuonyesha vitu gani...hata kusoma magazeti wanashindwaSio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupu
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa chadema na ukawa bila kificho, mfano migogoro ya chadema ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule ccm wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Uwe unaangalia tbc nadhani inakufaa,gazeti uwe unasoma uhuru,mzalendo na habari leo.
Duh haya mahaba ni hatari. Kumbuka hii ni sias, siku kikishindwa chama chako utapata taabu bure...kuwa na hifadhi ya mahaba.
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Acha uroho Angalia TBC na soma magazeti ya UHURU NA HABARI LEO MKUU
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
Sio Itv peke yake hata nipashe ni tatizo wanaandika unazi tupu
Sawa mkuu, ila kumbuka ile ni Independent Television.
Peleka ujinga wako huko,ulitaka waonyeshe ugomvi wa wazazi wako??magamba mmekwishaaa nyinyi
Yaani kuna matukio yanaonyesha wazi kuwa mna upendeleo wa wazi kwa CHADEMA na UKAWA bila kificho, mfano migogoro ya CHADEMA ya wagombea wao kukatwa na kugombana hadharani hamuonyeshi sana sana mnakimbilia kule CCM wanakokatwa na kutangaza kuhama tu! Bakizeni akiba ya maneno ya habari za kishabiki hamuwezi kujua nani ataibuka mshindi na msiamini mnavyoamini tu.
CCM Haijajiandaa Kushindwa Na Tena Utukome Wana CCM Wote Kwani Tokea UHURU Wa Nchi Hii CCM Haijawahi Na Haitakaa Kushindwa Na Itaongoza Tanzania Hii Hii Kwa Miaka Mingine 1000 Ijayo. Tuvumiliane Tu Wajameni!
Pasipo shaka mleta mada utakua na gubu lakobe na hufuatilii taarifa za habari.Siku tatu mfululizo wanaonesha maandamano ya chadema wakipinga kura za maoni na hata habari za Lowassa wanazisoma mwishoni.wew ni mzimu au uko dunia gani??Ni habar za kichonganishi zisizokua na chembe ya ukweli.TBc1 tena ya serikali hujaiona au fikra zako pofu zinafkiria habar za kusadikika tu.Nashangaa mamods wanaacha upotoshwaji wa kijinga namna hii.