hewizet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 2,494
- 1,632
hatumchagui magufuli sio kwa sababu mchafu ni msafi na hana kashfa yoyote ila mfumo wa chama chake ndio hatuutaki so ndio maana tutampata fisad lowasa kula kwa kua ni mchafu yeye binafsi lakini mfumo yani chama alichonacho sasa ivi fresh na ni system mpya ngoja ije kwanza