😀😀 ni kwereChaliangu hapo chuga ni gani🤣
Sahivi wana Mbingu dunianiHahaha na geo devie mkuu wa manabii
Hahahahahaaaaa 😆😅🤣😂😁Safi kabisa bwashee, wewe vuta tu mabangi yako , sisi tuna waka 🔥
Yele mzee ni smart sana , kile kichwa 😅Sahivi wana Mbingu duniani
Anajaza kijiji huyo 😀
Wakimaliza Ibada Njiro road haipitiki hiyo foleni yake
Yawezekana wallahSidhani kama wanaipenda. Ni vile wadada wa mjini wanataka kuonekana matawi flani😃
Laki 5 haijengi, vijana wanaoweza hivyo ni wapumbavu na wale wasioelewa chochote kuhusu maishaVijana wengi wana mawazo ya kimaskini, mtu anaanza kazi leo kesho anawaza kuzeeka na mafao, sisi enzi zetu ukifika miaka 55 ndio unakumbuka bei ya tofali, kujenga ujanani ni woga wa maisha.
😂😂😂 Na kama unaweza unamkemea kabisa ili hilo pepo limtokeKwanza tukiwa bar ulileta habari za tunamaliza pesa ,sijui kujenga, nakunasa kofi
Ulanzi vp?Kwenye kilabu cha kijijini kwetu hapa.Wanzuki nyingi na bandama choma.Come karibu!
Dah ila pombe tamu sana , hii kitu walitengeneza wakiwa uchi🤔😂😂😂 Na kama unaweza unamkemea kabisa ili hilo pepo limtoke
Hizi nilikunywa magoti ya kakosa nguvu😅Ulanzi vp?View attachment 3585686
😂😂😂😂 Hii nayo kali sana, sijui hata hiyo idara waliitoa wapi aiseeDah ila pombe tamu sana , hii kitu walitengeneza wakiwa uchi🤔
Zipo kama zile chubuku za kipindi kile😅kwaio ulitambaa kimtindo 🤣
Kuna lile li Jack Daniel , yani ukiweka mezani linawaka kama gold😋😂😂😂😂 Hii nayo kali sana, sijui hata hiyo idara waliitoa wapi aisee
Utakuta ni moja ya zile innovations kubwa za kidunia zinazosemekana zililetwa na viumbe wa nje ya dunia. Sidhani kama binadamu wa kawaida anaweza kubuni kitu kizuri na kitamu kama pombe