Naona kunawatu humu washa acha Id zao,Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
Kimewezekana kijana!Umefikiri sana kitu ambacho hakipo wala hakiwezekani!!!
Pole kijana kwa kuacha Id yako,hope utakuwa na nyingine.Akifukuzwa azunguke aeleze namna ilivyoshiriki kuhujumu nchi kwenye richmond na EPA, halafu baada ya hayo astaafu siasa tu akafuge mifugo yake Monduli..
Hahaha!!!!Nani anataka hilo zigo
Kisha...Nguvu ya Lowassa inatisha sana.
Wenyeviti wa CCM Mikoa...wengi kawapachika walipo.
Wenyeviti wa CCM wilaya...kawapachika.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu...kawapachika.
TISS wengi...wanaripoti pia kwake.
Karume na kundi lake...wapo nyuma ya EL.
Wilson Mukama anamjua EL ni nani, naye Nape Nnauye anamjua fika Lowassa ni nani nchini.
AkakatwaKisha...
Hii thread chungu kwa makamanda!
Wanachungulia kiaina alafu wanakula kona.......
Vipi mzee baba alishakuja?Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Ningefurahi kupata maoni ya baadhi ya "makamanda" walio mstari wa mbele hapa jf kama mmawia, musaallen, mwanahabari huru, godlisten malissa, yerico nyenyere
Makamanda vigeugeu kweli kweli.Wana kamsemo kao eti hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwny Siasa[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Eti unasemanani ampokee fisadi?