mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,235
- 5,915
siku hizi uko wapi uje uone mambo yalivyo!!! msemo umebadilika sasa hivi ni hakuna chadema bila LOWASA.hakuna ccm bila lowasa na hitakuja kuwa ccm bila lowasa milele.
Bado unaamini hivo mkuu!!!akuna mwenye ubavu wa kumtimuwa lowassa ndani ya ccm.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwizi Lowassa, aje chadema kufanya nini?
Acha hizo mkuu!Unaweza kumtimua Lowasa mmiliki wa CCM, muulize Nape ilibidi ile tamthilia yake ya kujivua gamba iwe diluted.
Wakati huo mkuu kilikuwa cha watu makini, sijui sasa hivi ni jina gani linawafaa!!!Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
siku hizi sijui ni waroho wa nini!!!Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Maisha bila unafiki hayawezekani[emoji1]Mbowe alishasema kuwa kama EL akiamua kuja CDM bac lazima arudishe mali zote za umma alizotuibia na kukiri kwa nini alifanya hivyo na kwa sababu zipi. Na hapo hata wananchi watampima na kumruhusu kuwa angalau mwanachama na si kupewa nafasi ya uongozi wala kugombea post yoyote.
:cool2:
Haka kajamaaa ndio kaongo number moja HUMU JF......afu hata aibu hauoni......Tokalini ndoto ikajibiwa
Natamani uje useme chochote mkuu, uko wapi?CDM ipi ya kulipokea jizi lililokataliwa na Baba wa Taifa?
Alishakufa tangu siku amemuona Lowassa anachukua fomu kugombea uraisBado unaamini hivo mkuu!!!
Ha ha ha haaaaa!!! sasa hivi mnalo hamna cha kujibu.Hatuwezi kujadili vitu visivyowezekana,rejea LIST OF SHAME pale Mwembeyanga!
Njoo ukane kauli yako.Umefikiri sana kitu ambacho hakipo wala hakiwezekani!!!
Una uhakika!!!kikwete atahakikisha lowassa anapitishwa,ana siri nyingi za jk huyu mamvi
Bado sana mkuu, unaweza kutabiri mwisho wa cdm!!!Kama watamfukuza Lowasa ccm mwisho wake itakuwa 2015.
Kwamba chadema hawawezi kumpokea LOWASA!!! wakati mwingine akiba ya maneno inasaidia sana.Chadema hawawezi hata kidogo kumpokea EL. Sumaye kwa haiba yake kwa jamii ya wana mageuzi anaweza pokelewa Chadema.
Mkuu huyo jamaa nina mashaka naye si tu maneno yake ya kuandika hata Elimu yake!!! Kuna siku nilisoma comment yake anadai eti serikali ingetoa taarifa kabla ya tetemeko kule kagera, nikajua hapa hamna kitu.Haka kajamaaa ndio kaongo number moja HUMU JF......afu hata aibu hauoni......
Mkuu umeona hili hata wewe.......HAKA KAJAMAA hakapo humu kwa nia njema KABSA yupo kwa ajili ya kupotosha tu ili mradi ajaze tumbo lakeMkuu huyo jamaa nina mashaka naye si tu maneno yake ya kuandika hata Elimu yake!!! Kuna siku nilisoma comment yake anadai eti serikali ingetoa taarifa kabla ya tetemeko kule kagera, nikajua hapa hamna kitu.