CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.
Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
Sio mtu kubezwa kabisa sijui hii ramli aliipigia wapiPasco sio Mtu wa Mchezo mchezo! Alimjua Mgombea Urais wa Chadema 2015 kabla ya Mwenye Chama Freeman Mbowe!
akikujibu nidipuMzee sahizi yuko huko CHADEMA. What's your opinion?
Halafu wanapita kimya kimya.watu wanachungulia
Tena mengi sana.huu uzi unatufundisha mengi
Hawa jamaa sijui wanangoja nini kwenda kupimwa akili zao.Mh, kuna watu akili inabidi zipimwe, ongera kkwa kutureshea huu huzi ili waliobado kuwaelewa "vijana makamanda" watawaelewa, japo kwa kiwango fulani
Duhhawawezi kumtimua very likely ataamua kutoka mwenyewe kama wasipopitisha jina lake
Siasa ni mchezo hatari sana. Leo tena hao hao wako na Maalim Seif, kipindi cha nyuma waliita CUF ni CCM- 'B' na Maalim Seif ni pandikizi!Dah hatari sana ama kweli dunia ni mzunguko leo hawa watu ndo wamekua mstari wa mbele kumkingia kifua Lowasa , unafiki mtupu watu wa ndimi mbili ni zaidi ya ujinga.
Hahaha tetete mhmhmhNaam mkuu,bado u-hai au umefariki..!!??
Ndiyo hivyo mama wewe amini 2duh siamini
Nadhani alishabadilisha IDakikujibu nidipu
Tutapokezana kuu'update' naomba uni'alert kila mara mkuuDuuh haya makaburi mnayoyafukua kuna watu wanaumia sana
Naahidi huu uzi ntakua nau update ili wayaone matapishi yao
Vilaz aaaaaa wa mwendokasi waio kuwa na msimamo hawa