Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,045
- 13,483
JF kuna wanafiki sana
Unapta wapi ujasiri wa kutokubadili ID?Kuna machadema walishabadili mpaka ID zao kwa fedheha hii.
Shida ni tumbo mkuu. Tumbo ni kiungo cha ajabu sana na kinaweza kumfanya binadamu aseme na hata kufanya cho chote na lo lote. Uzi huu ni ushahidi tosha kuhusu unafiki wa binadamu!Daaah! Kuna watu kuanzia leo sita wachukulia serious tena!!
Naamini kuna watu mishipa ya aibu ilisha katika si kwa unafiki huu na bado wamo tuu
AhahaaaaaJF kuna wanafiki sana
Naam mkuu,bado u-hai au umefariki..!!??Acha kupotosha umma, Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, ni waziri aliyejihudhuru kwa matumizi mabaya ofisi ya umma, huyo ndiye mzee wa richmundi, kuhusu kwenda Chadema, unaota ndoto za alinacha, hiki ni chama cha watu makini.
Hapana mkuu,hii nyuzi haitaki hasira.Daaa huu uzi unatia sana hasira [emoji2]
Ulisema kweli!hawawezi kumtimua very likely ataamua kutoka mwenyewe kama wasipopitisha jina lake
AiseeLowasa ni zaidi ya ccm,wakimfukuza chama kinakufa!
Basi sawael ndo sisiem yenyewe
Ahsante...Lowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA
Naona Leo mmewapata,watu kwa figisufigisu hawajambo,Na uka bold kabisa
Daaah! Na kweli mkuu nimeonaShida ni tumbo mkuu. Tumbo ni kiungo cha ajabu sana na kinaweza kumfanya binadamu aseme na hata kufanya cho chote na lo lote. Uzi huu ni ushahidi tosha kuhusu unafiki wa binadamu!
Hahaha hili jibu dahLada paka wote nao wageuke wezi.. hilo litawezekana
Shikamoo mkuu upo,umekufa au umefungua account nyingine..!!??Lowasa ni zaidi ya ccm,wakimfukuza chama kinakufa!
Shikamoo mkuu,ila kaingia na hivyohivyo na kandambili zenye kinyesi na kibaya zaidi kapanda nazo kitandani .Lowassa ni mchafu, hapaswi kuingia CHADEMA
Nilishawahi kusikia kuwa jeuri ya EL ni kwamba anawatishia eti wakimtema, ataenda upinzani. Tusije tukawa mbulula tukampokea CCM wakapata credit. Huyu jamaa nadhani ndio katuletea matatizo ya umeme kwa maslahi yake binafsi. Umeme unapanda mara dufu tunahoji tukiwa bar afu tunatulia (tuingie barabara kidogo-tuonyeshe anger). Wenzetu Kenya walipandishiwa bei ya chakula, wakaingia barabarani na mabango, tumekuwa wabinafsi sana.
Lowassa leo anazunguka nchi nzima na gia yake kubwa ni ruswa kwa watanzania maskini na bodaboda. Na matatizo mengi tunayoyapata, kielimu(shule za kata), kiuchumu (ki-umeme) yalikuja akiwa PM, leo aje upinzani tumpokee. Tutakuwa waroho wa madaraka.
Jamaa walitoa nondo za kushibaAkifukuzwa azunguke aeleze namna ilivyoshiriki kuhujumu nchi kwenye richmond na EPA, halafu baada ya hayo astaafu siasa tu akafuge mifugo yake Monduli..