same to me,sijawahi penda kuwa kwenye kampani ya wapenzi wawili ilhali mi niko singo,iwe ni dada rafiki au nani. Likewise sipendi kuwa acompanied na mtu singo nikiwa na mpenzi wa mine,sijui ndo uchoyo.
It does not make sense.
Kwanza utakosa hata la kuongea
Unakosa pozi kabisa
Hivi kunawatu waweza simulia mambo yao wanayofanya private na waume/wake zao mwanzo mwisho kwa rafiki zao??? Mbona ngumu kuamini!!!
Tupo karibu wote watatu. Kwanza kabisa nimekumbuka mi nilimjua huyu mpenzi wake hata kabla yake, na nilifurahi kuona wamejenga relation. Mi sina hisia za kimapenzi nae. Najua kinga ni bora kuliko tiba na ndio maana nilisema siwezi kufanya nae mautani ya kimahaba, lakini ule urafiki wa kuongea na kuspend quality time sioni kwa nini niache, so long as mpenzi wake anakua na sisi, au anajua tuko pamoja.
Hapo kwenye red the earlier the better. Nitakutambulisha kwa ndugu na marafiki at ealierst possible to make sure that you're the right person. If you're not and if it happens you fall to one of them, then nitatafuta line nyingine mapemaaa. LOL. .
On the contrary, I think trust is very underrated. People talk about love and friendship with great enthusiasm but tend to forget trust and loyalty are the elements that keep them alive in the long run. Seriously, you cant fully say you have a relationship when these are missing..
Trust me. LOL. Trust is one of the best qualities a person can have. It is extremely important to any kind of relationship. I kind believe that most people who say trust is overrated are the ones who got hurt by trusting people when they shouldn't have.They think it is better to have a gaurd up then to get hurt so they say trust is overrated.
AshaDii, baada ya kufikiria upya nimeona sipo tayari kuutupilia urafiki wangu na mpenzi wa rafiki yangu just because ni mpenzi wa rafiki yangu. hakuna chochote kibaya tunacho kifanya, tuna furahia mutual company tu. na hatuna yale ya kushikana mikono au kukumbatiana hovyo. hatuchezi kwa karibu nkk. tunaongea tu kama ninavoongea na wewe hapa kuhusu kila kitu, hatuongei vya kuhamshiana hisia za kimahaba. alafu mi na yeye ni allies katika kumtakia rafiki yangu furaha!
Nikianza kuhisi kua nampenda (au yeye ananipenda) kimahaba ndio nitaacha. ila kwa sasa mi naendelea na urafiki bwana!
....wow, BJ raha kukusoma tena kwenye ulimwengu huu wa mahaba...lol
karibu bana, usipotee kihivyo 😛hoto:
...dahhh, mbona yeshakuwa kawaida tu haya tena mengine mpaka magazetini?
lakini nikikwambia kwa mtazamo wangu, wanawake wengi wapo mstari wa mbele
kuyaanika ya wenzao...
mfano, mke anamhadithia mumewe kuhusu shoga yake anavaa thongs, kafanyiwa bikini wax,
anashanga nyingi, na mengi mengineyo kuhusu huyo shoga yake kiasi cha kumuweka mumewe
kwenye fantasy world kwa huyo shoga mtu.. (hapa NN aligusia kuhusu own morals)
...unaweza sema mume anatakiwa kumzuia mkewe asimwambie upuuzi huo, lakini katika jamii
ya kisasa haya yanatokea sana.
lkn big sisy unatakiwa ujiamin 2 uko kuwa insecure ndio kunaharibu kbs.
hawa wa2 nao wakiamua wameamua 2, yanajua sana yanayokuwa yanafanya bs 2.
Ni kweli kamanda. Kutokuwa na mipaka ni dalili ya immaturity. Mtu mzima mwenye common sense hawezi kuongelea intimacy details za love life yake.
Sikumaanisha hata kidogo kuwa mtu azungumzie sijui nyonyo za mkewe zimeumbika hivi, mihemo yake iko vile, sijui akifika kilele huwa ananikwaruza, sijui ni mtaalamu wa microphone...hapana...si hivyo hata kidogo. To me that's just TMI.
...immaturity mnh? nadhani ni attention seeker wanaojaribu ku boost self esteem zao,...psychological disorder...
We angalia hata baadhi ya thread humu mtu anakuja na maandiko oooh, kala tigo, sijui chumvini, mara idadi ya aliowafunua..inahusu nini kama sio lower self esteem...?
...kwenye ndoa mke/mume akishaanza kuhadithia hapati haki yake inavyostahili, hatosheki au amezidiwa...katika hao wanaosimuliwa kuna mmoja atavutika kutoa msaada.
Hahaahahahaahaaaaa! Mbu duuu umeniacha hoi na bahati nzuri nimeshindwa kuhighlight hayo maneno yaliyonigusa kwa sababu huyu mchina kwenye hiki kitochi hajaweka hizo facility.
Lakini sidhani kama kuna mwanamke mwenye akili timamu aweza msimulia mumewe ati shoga yake sijui ana hizo thongs sijui shanga lukuki.....ili iweje? Hata hivyo kama alivyosema NN mwisho wa siku ni wewe mwenyewe ndio unatakiwa kuwajibika kwa kutokuwa mwaminifu kwa mwenza wako bila kuleta visingizio vya kujustify ubazazi wako.
Sikuwaunganisha, waliungana wenyewe mimi nikiwepo.Mwali,
Sasa ushawaunganisha si uwaache tena waendelee wenyewe :lol: au wewe upo single so unakosa kosa company?
Watu wengine wanataka kulimit urafiki na wapenzi wao sababu ya wivu usio na msingi (sorry AshaDii, sija maanisha wewe. lol).EMT said thank you to this useful post.
AJ katika mahusiano yangu ya kimapenzi I am always careful.... maybe too careful. Napenda mahusiano yangu ya Mapenzi hata yakivunjika, yasivunjike kwa uzembe wangu ama from my careless ness.... Hio hali ikinikuta (i believe nitai notice mara moja) kuna mawili:-
If I still Love the guy na he is worth it...
Taratibu naanza kuwaachanisha kwa kuwaweka mbali. Namfuata rafiki/ndugu yangu na kumuambia mimi na Mpenzi wangu we are on the rough kuna kitu tunaweka sawa hivo we need some "US" time na kumuomba kua sasa akae mbali kwa mda. Nitahakikisha naweka stand kwa Mpenzi wangu kua kuna mambo huyo ndugu/rafiki yamekaa vibaya hivo nitakua nae mbali na I expect him as my Man to support me kwa kuhakikisha kua ukaribu ule wa kua pamoja ama kutoka pamoja uishe. Both sides sitawapa sababu za msingi for hiii hali ni hatarishi kui disclose kwa wahusika.... If ilikua wanablend na they have feelings bila wao kunotice unakua umewaha moto OR ile kitendo cha kuwambia hutaki wawe pamoja because you don't trust them.... Pia utakua umewasha moto maana itawafanya wawe karibu for they will have one thing in common against me.... Which would be more dangerous....
Kama he is not worth it....
I wouldn't care..... Nitaangalia upepo unavoenda....
Take note AJ kua hiii kazi saana kutokea kwangu for mimi nishajiwekea kuna mipaka ya mazoea ya Mpenzi na rafiki yangu.
Hii inanikumbusha kitu kimoja nisichokipenda kwa brother angu huwa anapenda sana kuwa-hug wake wa wadogo zake, ila binafsi nilimuambia kwamba sipendi na asirudie tena.
Najua kwamba haijakaa vizuri, ila pamoja na mambo yote huwa nachukua tahadhari. Lakini kama kuna urafiki ambao hauna dalili ya kimahaba nadhani hamna tatizo. Sometimes unaweza ukaleta mashaka ambayo si ya lazima halafu yakakuletea matatizo.