Is it a need or a want?

waulize watu waliowahi kuwa na bosi wa kike ambae ana matatizo kwenye ndoa yake
watakwambia......au mama ambae baba amesafiri mda mrefu uone jinsi walivyo
wakali na hasira za ajabu...sex ni dawa aisee

Hahahahahahahah,

Boss kweli umenikumbusha mbali...Kuna jamaa aliataka kupasuliwa kwa mtutu wa mguu wa kuku (pistol) na boss wake wa kike kwa sababu aliingia ofisini kwa boss asubuhi wakati boss alikuwa anauguza majeraha ya kuachwa soremba siku ya Valentine's Day!!!

Kazi ipo!!
 
waulize watu waliowahi kuwa na bosi wa kike ambae ana matatizo kwenye ndoa yake
watakwambia......au mama ambae baba amesafiri mda mrefu uone jinsi walivyo
wakali na hasira za ajabu...sex ni dawa aisee


Asante!!!
 
Stress releaser .........................and helps to have better teeth!!!

anxiety due to lack of sex can kill due to continuous stress that induces hyperstension. so lack of sex can kill, thus its a need,nt want!


Huu uzi umenikumbusha Salt n' Peppeer

Lets talk about SEX baby...
Lets talk about you and me...
Lets talk about all the good things
and all the bad things that may be
Lets talk about SEX... Lets talk about!
 
Mie nashindwa elewa hapa ubishani upo wapi.... Kuna ambae anaweza sema hajawahi kua na zote mbili yaani "Need" na "Want"??
 
He!Mi simo!Kwangu majibu yote a na b ni sawa halafu sio sawa,coz nina miaka sijapata hiyo kitu halafu niko poa!
 
hahhaa,sasa wenye mapengo unamaanisha nn mwali wewe una mambo!

Hahahahahaa mwali wewe hebu ntue huko. Nkikwambia utaniuliza conection yake na meno mdomoni mie ctaki.
Wanasema, ndio nimesema wanasema kuwa ile malighafi huwa ina madini ya zinc na calcium ambazo zinahu sana katika kuslow down tooth decay....now usiniulize connection wala where does the flash stick been inserted. [FONT=arial, helvetica, sans-serif]

Usiku mwema
[/FONT]
 
Sex...is it a need or want?

kwa wanyama (except dolphins na certain species za sokwe) sex is a need kwa maana ya kuzaaana na kuongezeka,so they do it only when they are on heat, kwa binadamu certainly it is for both pleasure na 'zaeni mkaongezeke'.
 
I beg to differ. Need as I know it,is what we can't live without. If we can live without sex, then by induction sex is not a Need!!!!
As far as reproduction goes , it depends from which vantage point we are looking at it. At individual level it's a want, where as at a society level its a need. We, as part of our species need to reproduce, so as to not become extinct!

You've just validated my point that there is no clear-cut answer.

Who makes up society if it's not the individuals? Can there be society without individuals?
 
Back
Top Bottom