Is it a need or a want?

hahahahah nyumba kubwa bana............. Unajua you may need things you do not want (mtu kama anahitaji sex, anawezaihitaji hata kama hataki (want) mf. Amekaa muda mrefu bila then akawa maeneo 'hatarishi' akajikuta tu bunduki imekoki na mazingira yanaruhusu akasonga mbele.

Need comes out of lack.

Want - you may want something you dont need - tamaa, ametamani akajikuta anam-want kwa sababu tu anaafford au mazingira yanaruhusu lakini si kuwa ame-lack

want - comes out of desire

i think!

So sex i think is both, a need and a want

hivi mfano mwanamke anampenda mume wake na yupo kwenye ndoa..
Na watoto wamezaa....but haridhishwi kwenye sex....anatoka nje....
Tutasemaje hapo?out of need,or out of want?????
 
Hahahahah nyumba kubwa bana............. unajua you may need things you do not want

Needing things you don't want or wanting things you don't need. I like that!

As for Nyumba Kubwa, she is just a fuddy-duddy and I like that about her.

Need comes out of lack.

Right on

Want - comes out of desire

Word

So sex I think is both, a need and a want

That's my take too.
 
ha haaa kwa kuwa kuna wajuzi wa lugha humu,huwa napenda kuwa right
hata kwa kiswahili pia....siwezi kusema niko fluent hata kiswahili...lol
Ahahahaah!! Kweli kabisa, unaweza kuanzishiwa thread kisa umeandika ovyo..
 
sijui nisemeje kuhusu hili....
But zamani nilipokuwa college....kuna mdada mmoja nilikuwa
namsumbua sumbua saana.alikuwa married hata hivyo..yeye alikuwa
secretary wa hapo college....
Sasa ikatokea mume wake akapa scholarship nje ya nchi......ya mwaka mmoja...

Kilichonishangaza ni kuwa alikuwa ana rafiki yake msichana
ambae alikuwa classmate wangu,alikuja moja kwa moja kuniambia
kuwa 'mume wake kasafiri.sasa kazi kwako...mwaka mmoja ni ngumu kwake kujizuia...

Hiyo experience na mengi niliyosikia kuhusu waume wanaosafiri safiri
imenifanya niamini,wanawake pia..wana need sex sometimes...

P.s...kuhusu huyo dada,nilihama chuo so sikuweza kumfatilia tena..

Unaona sasa...that's why it is my belief that fidelity is not humanly possible.

Kwa hiyo kwa maneno mengine ni kwamba huyo mke alitafuta mtu wa kumegana naye, sio?
 
Unaona sasa...that's why it is my belief that fidelity is not humanly possible.

Kwa hiyo kwa maneno mengine ni kwamba huyo mke alitafuta mtu wa kumegana naye, sio?

yaani hapa unapata picha wadada inavyokuwa wakiwa hawapati sex na wao..
kwa nini?kwa sababu we huoni mfano mume anaesafiri mda mrefu au kufungwa jela..
akirudi na kukuta mkewe ana mtoto au watoto wengine...akianzisha mgogoro...
jamii hasa wamama wote wanampinga na kumlaani mwanaume..
mwanamke anatetewa saana...jiulize why?
 
hivi mfano mwanamke anampenda mume wake na yupo kwenye ndoa..
Na watoto wamezaa....but haridhishwi kwenye sex....anatoka nje....
Tutasemaje hapo?out of need,or out of want?????

I think its a need hapo The Boss. Kwa sababu analack humo ndani. lol leo nyani kaamua kutukamatisha hapa. Watu tutajikanganya hadi basi

Na hapo kuna tofauti kati ya Want na Preference pia..........sijui in a sexual orientation inakuwaje mwe!
 
hapo kwenye preference hapo ndo nikasema hii ni 'pandora box imefunguka'

mimi naamini.kama wanawake wote,hasa wa tanzania
wakisema wamwage hadharani kwa waume zao.nini hasa wanataka na ni vipi waridhishwe in bed...
majumba yatawaka moto lol
 
Nakubaliana na wewe Boss. Some things are just better left unsaid....
 
The Boss nafikiri watu wote tuna desire and a need for sexual satisfaction. But kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume kwani nafikiri wanaume wanaji-engage kwenye sex primarily kwa ajili ya physical pleasure itokanayo na sex wakati wanawake wengi wana tendency ya kuunganisha emotions zao kwenye sexual relationships (for the most part) kwa sababu ndo nature yetu.

Ni rahisi zaidi kwetu (wanawake) ku "turn off" our desire for sex when we don't feel to have it au pale tunapohisi kuwa our emotional needs are not being met kwenye mahusiano tuliyonayo.

So hili jibu lako la whether sex is a need or want .....mwe!! tukisema tusegregate ki-sex tutakuwa na kazi ya ziada kuielezea.
 
So is it fair to say that men and women are wired differently (for the most part) when it comes to sex?
 
Sex is a want for you can live without being in need of it but that be a food which you can not live in absence of it.

Irrespective of your syntactical error(s), I think I get where you are coming from.
 
The Boss nafikiri watu wote tuna desire and a need for sexual satisfaction. But kuna tofauti kati ya wanawake na wanaume kwani nafikiri wanaume wanaji-engage kwenye sex primarily kwa ajili ya physical pleasure itokanayo na sex wakati wanawake wengi wana tendency ya kuunganisha emotions zao kwenye sexual relationships (for the most part) kwa sababu ndo nature yetu.

Ni rahisi zaidi kwetu (wanawake) ku "turn off" our desire for sex when we don't feel to have it au pale tunapohisi kuwa our emotional needs are not being met kwenye mahusiano tuliyonayo.

So hili jibu lako la whether sex is a need or want .....mwe!! tukisema tusegregate ki-sex tutakuwa na kazi ya ziada kuielezea.

hongera mamaa umeeleza vizur,mweh!
 
it is not fair.....it is fact....

So you are saying that, that is an absolute fact. Then what say you about those women who are proponents of gender equality? Because if we are wired differently then definitely we can't be equal.

So what's up with them? Do they just have penis envy?
 
Sex is a want for you can live without being in need of it but that be a food which you can not live in absence of it.

Yes its true and yet they say kuwa unawezaishi kwa dkk 10 bila oxygen, 10 days bila maji and several weeks bila chakula before succumbing and no one has ever died from not having. Ni kweli lakini bado inasemekana kuwa technically yes hakuna ambaye amekwishawahikufa directly kwa kutopata sexlakini kuna mambo mengi yanayotokea kwa kukosa hiyo sex ambayo yanachangia kukua indirectly kwa kutokuwa na active sexual life mf. hatari ya magonjwa ya moyo (so they say); kuimprove fitness na weight loss (si wanasema ni aina ya mazoezi?); a form of depressant na mengineyo mengi ati!! Hahahaah a safe active sexual life brings a lot to table.
 
So is it fair to say that men and women are wired differently (for the most part) when it comes to sex?
From our physical and emotional make up .......I think so Nyani. Or may be na upbringing inachangia. I believe watoto wa kike wanavyokuzwa hufunzwa kuzisuppress hisia zao za mapenzi kuliko wanaume. All those donts.. usifanye mpaka awe mumeo, dont touch yourself, its dirty and all those things zinajengeka hadi vichwani so inapotokea umekutana na mtu asio mumeo, boyfriend au ambaye una hica naye unawezakujizuia (of course kuna exceptions nyingi tu)

Ni mtazamo wangu tu but sina uhakika
 
No one has ever died due to lack of sex!!,therefore Sex is a Want!!. Ps.............the keyword being "die"!
 
Back
Top Bottom