Is it a need or a want? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is it a need or a want?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Oct 1, 2011.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Sex...is it a need or want?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Sometimes a need
  sometimes a want.......
  Before you get a partner it is a want...once you get a partner....it is a need.....lol
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hivi hiyo english yangu hapo niko sahihi? Lol
   
 4. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  It is a need for men a want for women
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhhh how?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Imenyooka Bossman....lol....usiwe na hofu kaka.
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  You took the words right out of my mouth!!
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nyumba kubwa anataka kufungua ile inaitwa 'pandora box'
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mwanamke anaweza kukaa years bila sex; mwanaume hawezi kwani mwili unadai; ndio unasikia watu wanajichua; why??
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nyumba Kubwa,

  Mbona kuna wanawake wengi tu ambao wanajichua pia. Na nilichogundua mimi ni kwamba wanawake wengi hawako tayari kukiri ukweli huu kwa wazi kama ilivyo kwa wanaume.

  Sasa hapo unasemaje? Wewe umewahi kujichua?
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  mbona wapo wamama waume wao wakisafiri miezi tu ni shida?
  Wanaume maaskofu wa rc????
   
 12. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Sex is (supposed to be) pleasure for both a man and woman.
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kujichua kwa wanawake ni kama ulevi; addiction; Kwa wanaume ni inner pressure. Kwa hiyo wanawake kujichua ni want ila kwa wanaume ni need.

  I have been away for so many months na sijajichua; that is not my fantasy. My satisfaction is only with him not fake things.

   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Tena wamama wana anuai ya zana nyingi tu. Kuna mboli bandia za kila aina - zilizonyooka, zilizopindia kushoto, kulia, juu, chini, na kadhalika. Kuna nyeusi, kuna nyeupe, kuna nene, kuna nyembamba, kuna za saizi ya kati, fupi na ndefu.

  Wana vitingishi (vibrators) vya kila aina pia. Yaani hawa watu wana kila aina ya nyenzo. Na ndio maana sijawahi kuona adult emporium yoyote ile iliyofilisika. Jiulize kwa nini?
   
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Na ni wamama wa aina gani ambao ni wateja wa hivyo vitu. Nadhani mostly ni lesbian; why should one look for toys wakati anaweza pata kitu real.

   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sijui nisemeje kuhusu hili....
  But zamani nilipokuwa college....kuna mdada mmoja nilikuwa
  namsumbua sumbua saana.alikuwa married hata hivyo..yeye alikuwa
  secretary wa hapo college....
  Sasa ikatokea mume wake akapa scholarship nje ya nchi......ya mwaka mmoja...

  Kilichonishangaza ni kuwa alikuwa ana rafiki yake msichana
  ambae alikuwa classmate wangu,alikuja moja kwa moja kuniambia
  kuwa 'mume wake kasafiri.sasa kazi kwako...mwaka mmoja ni ngumu kwake kujizuia...

  Hiyo experience na mengi niliyosikia kuhusu waume wanaosafiri safiri
  imenifanya niamini,wanawake pia..wana need sex sometimes...

  P.s...kuhusu huyo dada,nilihama chuo so sikuweza kumfatilia tena..
   
 17. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #17
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Ahahaah!! Mbona unajishtukia The Boss!!
   
 18. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #18
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahah nyumba kubwa bana............. unajua you may need things you do not want (mtu kama anahitaji sex, anawezaihitaji hata kama hataki (want) mf. amekaa muda mrefu bila then akawa maeneo 'hatarishi' akajikuta tu bunduki imekoki na mazingira yanaruhusu akasonga mbele.

  Need comes out of lack.

  Want - you may want something you dont need - tamaa, ametamani akajikuta anam-want kwa sababu tu anaafford au mazingira yanaruhusu lakini si kuwa ame-lack

  Want - comes out of desire

  I think!

  So sex I think is both, a need and a want
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Oct 1, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aah wapi! Wapo wengi tu ambao ni straight lakini wanatumia hizo zana. It's all about the diversification of pleasure Nyumba Kubwa.

  But I'll admit toys are not for everyone. Some may find them to be real spooky. And it is also cultural based.
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  ha haaa kwa kuwa kuna wajuzi wa lugha humu,huwa napenda kuwa right
  hata kwa kiswahili pia....siwezi kusema niko fluent hata kiswahili...lol
   
Loading...