Is it a need or a want?

nyani sorry nitakuwa nje ya hii post yako, naona joining date yako ni 2006, hebu niambie kipindi hicho unaanza kuwa member wa jf ilikuwakuwaje, ni kama ilivyo sasa? je apperance yake as inavyodisplay(outlook) yake ndivyo ilivyokuwa kama ilivyo sasa au ilikuwa tofauti?
 
Mimi niko hapa tokea siku ya kwanza! Mwanzoni kabisa ilikuwa inaitwa TEF (Tanzania Economic Forum). Na watu walikuwa wanaweza kutundika mabandiko yao bila hata ya kuwa wanachama.

Baadaye ikaja kubadilika na kuja kuitwa Jamboforums. Jamboforums ikazaa JamiiForums.

Design yake pia imebadilika sana. Rangi, kauli mbiu, na vikorombwezo vingine vipo vilivyobadilika, vipo vilivyopunguzwa, na vipo vilivyoongezwa pia.

Kwa kweli wakati huo watu tulikuwa serious zaidi katika kujadili na kuchanganua mustakabali wa taifa letu. Wengi wa wanachama waasisi tulitoka Bcstimes.com na baadhi walitoka YA (Youngafrican.com) na wachache walitoka Tanzatl.org. Ilikuwa ni mwendo wa kukata ishu tu na kumkoma nyani giledi.

Wengi wa wanachama waasisi hawapo tena au huenda wapo lakini hawatumii tena majina yao yale ya awali. Kwa hiyo kwa kifupi JF ya sasa ni tofauti sana na JF ya mwanzoni. Hili jukwaa halikuwepo na majukwaa mengine mengi tu hayakuwepo.

Natumaini nitakuwa nimekupa muhtasari wa kuridhisha. Kama una maswali mengine usisite kuyauliza.

Ahsante kwa kunisoma.
 
inashangaza nyani, mmetoka mbali kiasi hiki, duh! hongera kwa uvumilivu wa kukaa jf, so kwa mtazamo wako mlikotoka na tulipo sasa, je jf ina gain credibility au inaloose?
 
mimi nna swali moja tu but nashindwa kuuliza
kwani i doubt kuna mtu wa kuniambia ukweli
 
Uliza tu Boss...au kama vipi lirushe kwenye PM.

You know me...I'm a no holds barred give it to 'em straight kinda guy. So go ahead and shoot Bossman.
 
inashangaza nyani, mmetoka mbali kiasi hiki, duh! hongera kwa uvumilivu wa kukaa jf, so kwa mtazamo wako mlikotoka na tulipo sasa, je jf ina gain credibility au inaloose?

Kwa mtazamo wango nadhani credibility imeshuka. Ila imeshuka kwa kiwango gani? Hapo ndiyo sijui!

Nakumbuka back and forth ya Mwanakijiji na waziri mkuu mstaafu Lowassa. That was classic man.
 
Mr Man
Needs- that which we cant live without As in it is physiologically impossible for the human body to exist without eg. oxgen, water, food, etc. So whether you are Mr. A , Mrs. A or Mr B, Not having sex will never ever kill you! Granted it may lead to adverse life conditions, and/or interfere with the quality of life you might have, but bottom line is one can exist without it despite the libido levels aforementioned. Hence my earlier point , sex is a mere want!!

Trust me Nemo, to some sex (although the lack of it has never ever kill anyone on this planet) is a want but to others sex is a need

Benefits of sex:

  1. Reduced risk of heart disease
  2. Enhanced sense of smell
  3. Improved fitness and weight loss
  4. Reduced depression
  5. Pain relief
  6. Less-frequent colds and flu
  7. Better bladder control
  8. Better teeth – who knew?
  9. A happier prosta
 
Sex is needed and wanted for both recreation and procreation.
 
people ar hiking snowing mountains bra! if u got enough overcoats and get food to give u energy u will be just cool. a bit uncomfortable only. sleep is the need, far more than shelter!
Try living in outside in a -20 degree celsius weather, for a week and so and then you'll know the difference!!!..............................mind you, when they say shelter, is a need they are not talking about a mere house building!
 
You've just validated my point that there is no clear-cut answer.

Who makes up society if it's not the individuals? Can there be society without individuals?

Aku, I didnt validate anything!!!!! Society cannot be without individuals!, However it can be without an individual!!! Besides whether you Nyani Ngabu,as an individual choose to reproduce, or not has no significant impact in the society as a whole!!In other words society will still exist despite, an individual's lack of sex!
 
hehehe, na usiku ulikuwa mwema haswaa. nna swali la nyongeza ila la kiuanaharakati zaidi. kwa hiyo unasema tunapotumia kinga hatupati tiba ya meno? yaani unaongelea kuongeza binzari kwenye mchuzi ili tupate vitameni (ni mfano tu,lol)
umeaibua maswali manake si unajua meno ndo show nzima bibie?
Hahahahahaa mwali wewe hebu ntue huko. Nkikwambia utaniuliza conection yake na meno mdomoni mie ctaki.
Wanasema, ndio nimesema wanasema kuwa ile malighafi huwa ina madini ya zinc na calcium ambazo zinahu sana katika kuslow down tooth decay....now usiniulize connection wala where does the flash stick been inserted.

Usiku mwema
 
people ar hiking snowing mountains bra! if u got enough overcoats and get food to give u energy u will be just cool. a bit uncomfortable only. sleep is the need, far more than shelter!

King'asti
Come again!! How is having to permanently live in cold harsh weather shelterless and hiking even comparable? Du!!!!!!!!!!!!!!!
 
ar we talking of permanently having no sex? then that is pure suicide and its illegal!
and i ddnt mean permanently shelter-less! bt mostly the weather cant be permanently harsh,or can it?

King'asti
Come again!! How is having to permanently live in cold harsh weather shelterless and hiking even comparable? Du!!!!!!!!!!!!!!!
 
anxiety due to lack of sex can kill due to continuous stress that induces hyperstension. so lack of sex can kill, thus its a need,nt want!
Mmh..am nt sure abt this. whether its a need or want, depends on someone's condition in life.
 
Back
Top Bottom