Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

huyu nae yupo juu pia ila hamfikii irene

dsc01856.jpg

wewe hii ngoma baraa ni very sexyyyy
 
Hivi "UZURI" ni nini?

Irene Uwoya anavutia kwa kufanya ngono (sexy) na SIYO MZURI. Pia kumbuka wanawake walio wengi (including HouseG) wanapovaa NUSU-UCHI wananakuwa SEXY! Huwa nakutana na Irene several times akiwa amevaa kama mwanamke kamili - trust me huwezi hata kum-notice mpaka asogee kaunta kuchukua tissues kwenda sehemu sehemu (Baba_Enock ukaa kaunta TU kila baa anayokuwapo).
 
Nafikiri uzuri wa mwanamke una vigezo na kwa sababu huyo ni celebrite basi na tuzingatie vigezo vya urembo vya dunia,naomba utupatie ni vitu gani vinavyomthibitisha kwamba huyo binti ni beautiful
 
Ata yeye alishawai kusema kama mngekuwa hamnipendi msinge nidiscuss.
Ni mzuri ila kitabia ola laaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Huyu mtoto mke wa mwanandinga Ndikumana wa kule Cyprus raia wa Rwanda kwa kweli ana mvuto wa kipekee mie huwa naangalia movies zake zote alizoshirikishwa ni kifaa cha ukweli


DSC00486.JPG

DSC00465.JPG

Hebu check hilo tanasamu lenye bashasha

DSC00447.JPG

Hapa kiwa katika one of the movie scene

irene_wedding.jpg


irene+uwoya.jpg


Siku ya harusi yake alipendeza sana


Wenye picha zaidi za huyu staa na wengine kina aunty, wema, johari nk wekeni kwenye thread hii...

Mbona mimi namuona huyu Star wa kibongo mwanamke tu wa kawaida hanivutii chochote kile kwanza asipoangalia atakuwa mnene na akiwa mnene atakuwa amekwisha Chakachuwa hehehehehehehh Wabongo acheni nyege hizooo yupo Normal huyu msichana
 
Back
Top Bottom