Irene Uwoya: Msanii anayenivutia Bongo

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Huyu mtoto mke wa mwanandinga Ndikumana wa kule Cyprus raia wa Rwanda kwa kweli ana mvuto wa kipekee mie huwa naangalia movies zake zote alizoshirikishwa ni kifaa cha ukweli


DSC00486.JPG

DSC00465.JPG

Hebu check hilo tanasamu lenye bashasha

DSC00447.JPG

Hapa kiwa katika one of the movie scene

irene_wedding.jpg


irene+uwoya.jpg


Siku ya harusi yake alipendeza sana


Wenye picha zaidi za huyu staa na wengine kina aunty, wema, johari nk wekeni kwenye thread hii...
 
Huyu demu namkubali sana kama actress , ila na shananaishi wapi, mana namuona kwnye TBC1's Serebuka naye yumo
 
huyu dada ni mrembo sana ..pale angelitambua hilo na kuacha mambo yake ya yanayomuondolea heshima uzuri wake ungeongezeka maradufu
 
Irene very very attractive but obviously not a wifey material. Huyu mnyarwanda nadhani anajuta (au atajuta) kuoa demu wa aina hii.
 
Issue ya Tabia na yenyewe ni kitu kingine lakini tabia ikiwa ni mbaya itaharibu hata urembo wa mtu maana una kuwa sio mfano kwa jamii.
 
Yote tisa ndoa idumu!!! Ni mzuri ila tatizo la visura wetu hawatulii ndani. Je huyu ametulia? Na huyo msukuma ball naye vipi ametulia?? Au ndiyo zile ndoa za maceleb lama kina Tiger woods na wengineo.
 
:DHana uzuri wowote ule...Yani mimi nimemtazama nikaona kama wengi wenu bado vipofu...:D
 
Back
Top Bottom