Irena Wangu

Nimeipenda sana ingaa ina makosa mengi madogomadogo. Aidha nimekukubali kwamba u mtunzi mzuri wa hadithi keep it up, man!
 
katika ulimwengu wa kufikirika, kitu chochote kinawezekana...nguruwe wanaweza kuwa na mbawa, miti yaweza kuimba, na waliokufa wanaweza kufufuka na kuanza kuua walio hai!
Ahaaaaaa! Hapo nimeelewa. Nikidhani mwanakijiji mnyakyusa kutoka Marekani na connection ya KLM-Lufthansa ya Dar .....Du! uliniacha hoi.

Lakini Nimeiadmire story yako. Ukikusanya vipande vya aina hii you can make a very wonderful book vijana wajue intertainement zenye tija, sio marapurapu ya Bongo fleva ambamo ukisikiliza ni kitu kimoja tu unachoweza kujifunza kwa kujirudiarudia - Love. Wewe umejaza vitu kede kede vya anayetaka kujifunza atumie akili pia kama sinema ambamo usipofikiri kwa makini unaweza kudhani kila kitu ni halisia kumbe vingi haviwezekani kuwa hivyo.

Congrats!!!
 
Mwanakijiji...truly inspirational! i nearly believed it. kama sio wajamvi kusema hakuna KLM-Lufhansa from States to Dar!??
 
-Duh nimecheka hapo ulipoweka gap kati ya Idd amin na Halle Berry!

Hadithi Nzuri mkuu
 
hahahaa,nilikuwa wapi kuisoma hii kitu?
budrani murua,aisee basi tu wee hujui!!
 
Tuliochelewa kuingia jamvini tulikosa mengi! hadithi nzuri hii mwanakijiji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom