William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Diplomatically wa-Iran wanaweza wasiichukulie vizuri umesahau the 'AXIS OF EVIL' statement by George W. Bush na ukichukulia Tanzania ina uswahiba na marekani na wakati huo huo unajaribu kujenga uhusiano na Iran. Wakati huo huo wengi wetu tunajua watu huwa wanamu-associate shetani na EVIL (uovu).
Tanzania cares about Iran. Iran itasikitika ikisikia foreign minister wetu kasema wao ni kama shetani ambae humjali ila kwa hela yake tu. Ni sawa na mwanamke mwenye uhusiano na bwana ambaye hampendi isipokuwa kwa kumchuna hela tu. Halafu yule mwanamke anaenda mitaani akijitamba kwamba hampendi jamaa, anamchuna tu. Matamshi kama hayo hayakubaliki kwa sababu ni uchochezi unaoweza kudhoofisha uhusiano wetu na Iran.
Viongozi wetu hawajui ya kusema hadharani. Foreign minister, you don't say that!!! Hususan kwa nchi changa kama yetu inayotegemea misaada.
Is this all? Yaani humu ndani kuna mnaojua uhusiano wa Mtandao na Iran kuliko Membe? Matamshi hayakubaliki na nani? I still do not get it and I am out!
I mean najua kua Membe is working very hard kuja kua rais na at this point he has the backing ya Muungwana, lakini again sina uhakika na qualifications, lakini uhusiano wa Mtandao na Iran ni usiku wa giza sisi wananchi hatuna clue! Wao wanajuana sana hasa Rostam ambaye ndiye kiungo, kama kuna ubaya wa hayo maneno ya Membe lazima anayo sababu tena nzito kuliko hoja ninazoziona hapa,
Rostam ndiye aliyewaunganisha na misaada ya huko, yaani Mtandao leo Rostam na muungwana wako kushoto, membe ni favored wa muungwana sasa hivi, sasa unafikrii haya maneno ya membe ni bahati mbaya? Au kwamba hayo maswali ya waandishi ni ya bahati mbaya? Wakuu tuwe tunaenda nje ya mabox yetu ya kufikiri na kuelewa siasa yetu ya bongo ambayo ni ndogo sana!