Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Thank you for your eloquency Mwanakijiji......but do you think that this is linked with the rumuors we heard during the last election, that the Iranian Government partly sponsored Kikwete in his campaign? I honestly think that the Iranians are or will give us 'tied-aid' meaninig they expect something in return, possibly exploiting our natural resources? or since they are championing 'nuclear power' perhaps they have an interest in this countries' Uranium deposits? The Asian countries will only exploit and diminish this country, nothing else. This is a very serious issue and it need reasoning and weighing of both the Positive and Negative aspects of Tanzania's relationship with the Asian countries!
 
Tumeona Mpiga kura!,Lakini huu Uongozi wa Nchi sio kuwa na muscles za kusema kila mahali,kuna sehemu nyingine inabidi uwe makini kwenye kutoa comments,usipoangalia tu!utaongeza maadui na kupoteza hata wale marafiki wachache ulionao.Ule Ubabe wa Mwalimu wa kutokujali wenye nguvu nafikiri umepitwa na wakati!Nchi yetu ni tegemezi,kwa maana hiyo tuendelee na tabia hii hii ya Umalaya ya kubalance mabwana zetu.Tuwasifu na kuwakumbatia wale wanaotupa pesa ya kujenga visima na Barabara,na tuwanyenyekee wale wanaotujengea Bandari na kutupa pesa za Campaign.
Kuna Mtaalamu mmoja ameandika huko nyuma nini "Foreign policy ya Tanzania"? suala hilo linabidi lijadiliwe kwa kina,vinginevyo tutajikuta tunaburutwa bila kujua tunataka ku-advocate nini!Hii nafikiri Mh.Membe ataifanyia kazi,lakini kama ameanza kutumwa Iran napata wasiwasi kuwa westerners watatuangalia kwa miwani yenye lens kali na ukizingatia Rais wetu anaitwa "Hussein".Ndio kabisaaaa!

Sioni mantiki ya mkanganyiko wa mawazo. Kwa upande mmoja unataka tuwe wanyenyekevu (eti kwa Wazungu) na upande mwengine tuwe waangalifu na uhusiano na nchi nyengine (Waarabu). Siasa zetu za Mambo ya nje ni kutofungamana na nchi yoyote na hivyo tuko sahihi kabisa kuwa waamuzi wa uhusiano wetu wa nje.
Aidha sioni jambo la kutisha na maneno ya Kikwete kwani alichosema ni matumizi ya AMANI na wala hakushabikia matumizi ya silaha. Si kweli kuwa hao mabwana zetu wazungu ndio wanatufadhili kwa kila kitu na wanapotowa huambatanisha na msururu mrefu wa masharti na pia huchukuwa Proccess ndefu na kujilabu kwingi. Rais wetu si mjinga na yeye na hata hao Mabwana wanajua wapi pakupata pesa za haraka na zisizo na masharti pale tu haja (emergence) inapotokea.
Tupo katika dunia ya ujanja ujanja na watu wote hata hao mabwana wanajua kuwa kelele za chura hazimfanyi tembo kutokunywa maji. na kauli ya Kikwete si chochote katika ugomvi wa Marekani na Iran,hatuna sauti wala ubavu aidha hakuna anaeyepoteza usingizi wake eti Tanzania ina msimamo fulani kwa jambo fulani,
 
Thank you for your eloquency Mwanakijiji......but do you think that this is linked with the rumuors we heard during the last election, that the Iranian Government partly sponsored Kikwete in his campaign? I honestly think that the Iranians are or will give us 'tied-aid' meaninig they expect something in return, possibly exploiting our natural resources? or since they are championing 'nuclear power' perhaps they have an interest in this countries' Uranium deposits? The Asian countries will only exploit and diminish this country, nothing else. This is a very serious issue and it need reasoning and weighing of both the Positive and Negative aspects of Tanzania's relationship with the Asian countries!

Well well well ! One's say always reveals one's ighorance. Of all complained exploitation of Tanzania's resources, to mention the Asians countries as the exploiters is a highly ignorance.
 
Aliyoongea Waziri Membe na vyombo vya habari jana, 10-22-2008, ni uchochezi dhidi ya Iran

%5Cmembeoic.jpg

"Jamani twende wapi kutafuta misaada, nikienda Marekani mnapiga kelele kuna jambo, tumeenda Iran unatoa hoja zao, twende wapi, Yemen? "Naomba sasa wewe mwandishi unayepinga tusiwe na uhusiano na Tehran niletee nchi mbili ambazo unaona hazina matatizo ndizo tushirikiane nazo kiuchumi,"

"Sasa mtu anapohoji urafiki wetu na Iran, ana maana gani, anataka hizi fedha tuzilepeje, kama taifa lina matatizo yake sisi hayatuhusu, tunasimamia maslahi ya taifa,"

"Kama kuna shetani ana fedha zake kwa nini tusiende kuzichukua? Hata kama wewe ni Mwislamu una njaa na kuna nyumba ambako kuna nyama ya nguruwe na ng'ombe, iweje ugome kuingia, kwa nini usiingie uchukue nyama ya ng'ombe na kuondoka?"

"Woga wa Watanzania unatoka wapi kujiunga na OIC? Mbona tunaaminiwa duniani, iweje leo tuogope kitu hiki?"

"Watanzania wana uchaguzi wa kufanya, kujiunga ama la, lakini nashangazwa na hoja hizi zinatoka wapi wakati tunaaminiwa duniani kwa jeuri yetu…jamani hakuna haja ya kuogopa,"

"Nimekuwa kimya, kuachia na kusikiliza watu waseme, jamani, Tanzania haijajiunga na OIC wala sijasema lazima ijiunge,"

"Uamuzi wa kujiunga au kutojiunga utakuwa chini ya wananchi, wasomi, NGOs na ninyi waandishi wa habari, ndiyo mtakaoamua."

"Sasa jamani, msitake kunichinganisha na watu wangu, nawaambieni tena na tena, Tanzania haijajiunga na OIC na haitaweza kujiunga uamuzi huo ni ridhaa ya wananchi,"
 
.....lakini kuna jambo, nafikiri ni jambo kubwa: hivi waziri mzima ndivyo hivyo anavyoongea?... duuh! Naamini yaliyowekwa kwenye nukuhu yote ni yake....nikiyasoma kwa kweli yanakatisha tamaa. I am sorry to say, but i think some of his examples are quite revolting....
 
Wewe ndiye unaleta uchochezi
Wapi Membe aliposema Iran ni shetani?Kuna misaada kutoka Marekani,Scandinavia nk,Kwanini hao wasiwe ndiyo shetani anaomaanisha Membe?
 
Wapi Membe aliposema Iran ni shetani?

Kuna misaada kutoka Marekani,Scandinavia nk,Kwanini hao wasiwe ndiyo shetani anaomaanisha Membe?

Membe amefananisha Irani na shetani. Na alikuwa haongelei nchi nyingine bali Irani. Hebu angalia haya matamko ya foreign minister wetu:

"Sasa mtu anapohoji urafiki wetu na Iran, ana maana gani, anataka hizi fedha tuzilepeje, kama taifa lina matatizo yake sisi hayatuhusu, tunasimamia maslahi ya taifa,"

"Kama kuna shetani ana fedha zake kwa nini tusiende kuzichukua? Hata kama wewe ni Mwislamu una njaa na kuna nyumba ambako kuna nyama ya nguruwe na ng'ombe, iweje ugome kuingia, kwa nini usiingie uchukue nyama ya ng'ombe na kuondoka?"
 
Membe amefananisha Irani na shetani. Na alikuwa haongelei nchi nyingine bali Irani. Hebu angalia haya matamko ya foreign minister wetu:

"Sasa mtu anapohoji urafiki wetu na Iran, ana maana gani, anataka hizi fedha tuzilepeje, kama taifa lina matatizo yake sisi hayatuhusu, tunasimamia maslahi ya taifa,"

"Kama kuna shetani ana fedha zake kwa nini tusiende kuzichukua? Hata kama wewe ni Mwislamu una njaa na kuna nyumba ambako kuna nyama ya nguruwe na ng'ombe, iweje ugome kuingia, kwa nini usiingie uchukue nyama ya ng'ombe na kuondoka?"

But who cares about Iran? Yaani nani analeta chuki na nani exactly? Eti what is the point hapa I do not get it? what is a big deal hapa?
 
But who cares about Iran? Yaani nani analeta chuki na nani exactly? Eti what is the point hapa I do not get it? what is a big deal hapa?

Diplomatically wa-Iran wanaweza wasiichukulie vizuri umesahau the 'AXIS OF EVIL' statement by George W. Bush na ukichukulia Tanzania ina uswahiba na marekani na wakati huo huo unajaribu kujenga uhusiano na Iran. Wakati huo huo wengi wetu tunajua watu huwa wanamu-associate shetani na EVIL (uovu).

"...'Axis of evil' is a term coined by United States President George W. Bush in his State of the Union Address on January 29, 2002 in order to describe governments that he accused of helping terrorism and seeking weapons of mass destruction. President Bush named Iran, Iraq, and North Korea in his speech. President Bush's presidency has been marked by this notion as a justification for the War on Terror." - Wikipedia
 
But who cares about Iran? Yaani nani analeta chuki na nani exactly? Eti what is the point hapa I do not get it? what is a big deal hapa?

normal_DSC_3678.JPG

Waziri Membe, na kabla ya hapo, Vice president Shein ametoka Iran kuomba misaada, watufutie madeni. Tanzania cares about Iran. Iran itasikitika ikisikia foreign minister wetu kasema wao ni kama shetani ambae humjali ila kwa hela yake tu.

Ni sawa na mwanamke mwenye uhusiano na bwana ambaye hampendi isipokuwa kwa kumchuna hela tu. Halafu yule mwanamke anaenda mitaani akijitamba kwamba hampendi jamaa, anamchuna tu. Matamshi kama hayo hayakubaliki kwa sababu ni uchochezi unaoweza kudhoofisha uhusiano wetu na Iran.

Viongozi wetu hawajui ya kusema hadharani. Foreign minister, you don't say that!!! Hususan kwa nchi changa kama yetu inayotegemea misaada.

normal_DSC_3424.JPG
 
Wamejisahau mno viongozi wetu.... it's a shame. Foreign ministers must be outspoken and be internationally ettiquetted. Kwa kweli maongezi kama hayo mbele ya vyombo vya habari na waandishi yana reflect mengi. Kwanza ile dharau kwa maprofessional wa pale pale nyumbani (kule kuonesha waandishi wa habari nyumbani ni kama hawaheshimiki vile), kwani angelikuwa nje ya nchi nalazimika kuamini kuwa asingeongea hivyo. Hapo ndipo utakapoona kule kudharauliana kwetu, siye kwa siye. Kwa vile 'hamna wazungu pale,' basi ataongea vile ajuavyo. Halikadhalika, kule kujisahau kuwa, kila kile atakachoongea yeye katika position yake kama waziri, kinaenda kwenye record moja kwa moja, popote pale alipo.

Kingine ni kule kujisahau na kutupa kila mti unyanyuliao jongoo na kuongea negatively dhidi ya wanaokusaidia. Seriously, they ought to be aware of their statements, they constitute a lot to the overall image of our nation.
 
I think it doesn't live up to the image of ministerial standards.. I do

SteveD,

It's more than just image ya Waziri. Yani, Irani inaweza ku question dhamira ya uhusiano wetu na wao. We mwenyewe una watu ambao unadhani na unawachukulia kama rafiki wa karibu, wamekusaidia na umewasaidia
katika maisha ya kila siku. Lakini siku ukisikia wanasema pembeni kwamba hawa ku-mind, ila wakati wakiwa na shida na wewe, utajisikiaje ? Tena wanakufananisha na shetani, the worst "metaphor" you can use. By the way, mwanzoni uli wonder kama hii ni "innocent metaphor." Well, metaphor kwa Kiswahili maana yake "fumbo." Na unajua fumbo anafumbwa nani. Sentensi zile za Membe zimepinda any way you cut them.

Halafu, umegusia suala la Membe akiwa na waandishi wa kibongo kujisikia "hapa hakuna Wazungu" na anaweza kusema lolote. Lakini siku hizi hakuna kitu private statements anymore. Watu wanaweza kutuma e-mail ubalozi wa Irani na tafsiri ya alichosema. Trust me, SteveD, Wairani hawatafurahi. Membe kachemsha big time.
 
Wewe ndiye unaleta uchochezi
Wapi Membe aliposema Iran ni shetani?Kuna misaada kutoka Marekani,Scandinavia nk,Kwanini hao wasiwe ndiyo shetani anaomaanisha Membe?

mkuu,
sijui kwa nini huwa sikuelewi.Hivi wewe huwa upo ili kupinga tuuuu au mimi ndo sikuelewi???Nafikiri nianze elimu ya memkwa huku kwetu majita ili nianze kuelewa watu.

Poor Membe.Eti nae Waziri na NCHI ZA NJE.Kazi kuvaa mikufu ya dhahabu utafikiri......................
 
Pamoja na kupokea misaada kila kukicha hakuna nchi ambayo imetukanwa hapa nchini kama Marekani, lakini hakuna anayekoseshwa usingizi. Rais Bush ameitwa majina ambayo hata siwezi kuyarudia humu (mods will not allow) lakini mapesa yake tunayapokea kwa mikono miwili. Sijawahi kusikia hata ubalozi wa marekani ukitoa malalamiko ama kutishia kukata misaada kwa sababu ya kutukanwa. Kama Iran itaona imetukanwa ingawa sikubaliani na hilo natumaini na wao watatumia busara na si kukurupuka kama mtoa mada anavyotaka tuamini na isije ikawa hii hoja ina lake jambo na si bure.
 
Hujaelewa. Au, huelewi.

Nitajie ni lini kiongozi (msemaji wa nchi) wa Tanzania aliwahi kumtukana Rais Bush ?

Marekani na Iran can care less Mag3 na Kuhani wakiwatukana Bushi na Ahmadinejan. Foreign minister Membe ni kitu kingine. Ni mmoja wa wasemaji wa Nchi.
 
Halafu nchi zote zitusaidiazo ni 'shetani', huo ndio ukweli wenyewe. Hivyo kama tuna utaratibu wa kupokea misaada, basi msaada wowote toka kwa shetani yeyote ni halali yetu. Membe yupo sawa, makosa ni utegemezi wetu na kupenda dezo na laini.
 
Back
Top Bottom