Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

hivi hamjasoma maneno aliyoyasema Jaji Mkuu wa Iran kwa Jaji wetu au watu mnapinga tu alimradi mnapinga?

May be the thread was too long to read and for some too long to understand. Just may be! But for some of us who have read and understood, we feel that we have every right to question the relationship between Tanzania and Iran as far as Uranium is concerned. Its a scary relationship given the fact that there is worldwide campaign against nuclear proliferation. And our association with a nation that has been labelled the "axis of evil" by the western nations is not healthy at all. Iran can not and will never assist us the way western nations can do.
 
Game Theory Mkuu,

Naona kama umeanzisha hii thread inayojibu hoja au maswali fulani ya thread nyingine ambayo iko active sasa hivi kuhusu uhusiano na Iran.

Jitose kule kule mtu wangu, useme nao kwenye jukwaa lile lile.

Au mechi za ugenini huchezi ?
 
Mie binafsi sioni ubaya wowote wa wao kuwa superpower. Hakuna nchi yeyote hapa duniani inayostahili kuamua ni nchi zipi duniani ziruhusiwe kuwa/kutokuwa nayo silaha ya aina fulani. Kama Wayahudi ni superpower basi hakuna ubaya wowote wa hao jirani zao kufuata nyayo labda itasaidia kupunguza ubabe unaonyeshwa na Marekani dhidi ya nchi nyingine duniani hasa za kiarabu.
 
Game Theory Mkuu,

Naona kama umeanzisha hii thread inayojibu hoja au maswali fulani ya thread nyingine ambayo iko active sasa hivi kuhusu uhusiano na Iran.

Jitose kule kule mtu wangu, useme nao kwenye jukwaa lile lile.

Au mechi za ugenini huchezi ?

LOL! hapo nimetoka kapa!!! Kuhani, Mechi za ugenini hapa JF ndiyo zipi?
 
Duh! i give up

narudi kwenye LURKER MODE then au nitakuwa kule kwenye entertainment

hii constituency nishajua inchokitaka na i wont be part of this punch and judy politics

watu naona wana argue for the sake of arguing tuuu
 
Uranium Destined for Iran (2006) (TimesOnline)
Yawezekana kuna kitu ambacho Watanzania wanahitaji kukijua of strategic importance kwa Tanzania kuwa karibu na Iran? Kwanini isiwe Libya, Lebanon, Syria, Morocco n.k iwe ni Iran kulia na kushoto? Irani wana kitu gani cha kutupatia ambacho hakiwezekani kutoka nchi nyingine kiasi cha kumpeleka Makamu wa Rais, Waziri wa Mambo ya Nje, na sasa Jaji Mkuu?

Kitu kipo.Mafaili ya siri zote yapo.Kila kitu kinafuatiliwa kwa karibu.Kuna siku mtu fulani asiyeitakia mema nchi hii atajambishwa cheche mchana kweupe jua likiwa linawaka.
 
Kitu kipo.Mafaili ya siri zote yapo.Kila kitu kinafuatiliwa kwa karibu.Kuna siku mtu fulani asiyeitakia mema nchi hii atajambishwa cheche mchana kweupe jua likiwa linawaka.


Aaah wapi, imeshindikana wa Rich na Epa, sasa hizo cheche zitatoka wapi na lini ........waiting forever.
 
Acheni siasa mbovu,kama Tanzania inashiriki kusafirisha madini ya Uranium kwenda Iran,hilo sio tatizo lenu,Kikwete sio wa kwanza kutumiwa katika deal ya Congo,Lawama zote mpeni Ben Mkapa ndiye aliyeanzisha mchezo huo baada ya kuhongwa na akina M7 na P/Kagame ambao invasion ya Congo ni kwa ajili ya madini ,Be Mkapa anafahamu hilo na hakuchukua hatua yeyote ile kusitisha mauaji yaCongo,kumbukeni kabla ya uchaguzi P/Kagame na M7 wote walikuja kutambulishwa kwa Jakaya na aliyewaita hapa alikuwa ni Mkapa ambaye awamu yake ndiyo iliyokuwa ikifanya clearance ya madini ya congo kupitia central bank ,hayo tunayafahamu na msijaribu kumuingiza au kumtupia lawama JK,ni Mkapa ndiye aliyeanza yote hayo kupitia US ,kama mnakumubkumbu nzuri Hilalry Clinton alikuja hapa na hata Laura Bush naye alikuja hapa kuhahakikisha mamboyote nisawa.alikuja hapa kusahakikisha deal zote zinzkwenda sawa.Kama wao wanaitumia congo kujipatia madini bure na kujenga silaha na bombs za kuua watu ulimwenguni na Iran nao wana uwezo kama wao na sioni sababu ya kumlaumu JK kwa suala dogo kama hili .Hebu angalieni jews wanavyoua watuLebanon,hao ndio wa kulaumiwa kwa kutumia madini ya kongokufanyia uuaji wa waziwazi,bila ya UN kuchukuwa hatua yeyote ile.
Kuweni wa kweli punguzeni udini.
peace
Willo

....mwaka 2006 wakati haya yakitokea tayari kikwete alishaingia madarakani.............kuna watu wanapenda kumtumia mkapa kama defensive mechanism kwa kikwete....tukifanya hivi hata mkapa atakuwa akipeleka lawama kwa mwinyi ...na mwinyi kwa nyerere..

what we know ..the incumbant now is kikwete na is supposed to do his dues........sifa na lawama zitakuwa juu yake ....hatuna rais mwingine!!
yeye anatakiwa atudhibitishie kuwa the fact kuwa iran funded heavyily his ascendent to power.....haitufanyi tucheze muziki wao...or whoever..
 
Nadhani hapa tatizo ni kuibwa haya madini kwa ndugu zetu wakongo bila wao kufaidika nayo.Nimewahi kusikia kuwa ROSTAM AZIZ ndiyo alikuwa anacontrol hiyo business kuunganisha serikali ya TZ,CONGO na IRAN kwa issue ya URANIUM.
SUala jingine ni uwepo wa hayo madini hapa kwetu.Kuna mahalli mkoani Songea yanaibiwa kila siku kwa kisingizio cha utafiti.
Wadau mnasemaje??????????????
 
Tanzania Iran tried to import uranium from DR Congo
(AFP)

6 August 2006


LONDON - Iran tried to import uranium for its nuclear programme from the Democratic Republic of Congo, but the shipment was intercepted in Tanzania, The Sunday Times reported, citing a senior Tanzanian customs officer.

A huge shipment of uranium 238 bound for the Iranian port of Bandar Abbas was intercepted on October 22, 2005, by customs officials in Tanzania making a routine check, the officer told the newspaper.

The British weekly also cited a United Nations report, due to be considered by the Security Council, which said there was “no doubt” that a large shipment of uranium 238 was transported from the Lubumbashi mines in the DR Congo.

The customs official said the uranium shipment was found hidden in a consignment of coltan, a rare mineral, which was destined for smelting in Kazakhstan after being transported through Bandar Abbas.

“There were several containers due to be shipped and they were all routinely scanned with a Geiger counter,” he said.

“This one was very radioactive. When we opened the container it was full of drums of coltan. Each drum contains about 50 kilogrammes (xx pounds) of ore. When the first and second rows were removed the ones after that were found to be drums of uranium,” he said.

“The container was put in a secure part of the port and it was later taken away, by the Americans, I think, or at least with their help. We have all been told not to talk to anyone about this.”

The Sunday Times also quoted a source with access to security service assessments as saying that there was “great concern” about Iranian sleeper cells in Britain conducting reconnaissance at nuclear power plants in preparation for a possible attack.

Iran’s top nuclear negotiator Ali Larijani said Sunday his country would not suspend uranium enrichment, in a clear rejection of a UN resolution calling for a freeze of the sensitive nuclear work.

Iran insists it wants to enrich uranium only to make reactor fuel for power stations but the United States and other countries suspect Teheran wants the capacity to make weapons-grade uranium.

The UN resolution requires Iran to halt uranium enrichment and other sensitive nuclear fuel work by August 31 or face the prospect of sanctions.

X X X

Now I knw why the Iranians are trying to be so nice to the Tanzanians... this could be our own case of Iran connection!!! Rais aulizwe!! Miye nilifikiri ni Warusi peke yao wanajaribu kupitisha silaha.. Mr. President kanusha hilo....

Linganisha na move to join OIC , Objective of OIC na kauli ya Mh Membe na other pro OIC juu ya kupata misaada ya kiuchumi na pesa za shetani then you will get the answer about whats behind Tanzania move to join the OIC.
 
Hakuna lolote hapa Mwanakijiji na conspiracy yake tu
 
Hivi mtanzania akipewa deal na serikali yetu aende nje kununua uranium au teknologia kwa ajiri ya mikakati ya nchi na inayopatikana kwa magendo, hizo pesa si zitaishia kwenye ma-bank yalio nje?
 
Jamaa wali-cook stori.

ahaaaa

end of story na nadhani unajua yule mama ambaye akina Karl Rove walileak jina lake alisema nini

lakini hiii yetu na Iran inayoendelea humu ni nothing but another soga barazani

imejaa innuendos and nothing else
 
ahaaaa

end of story na nadhani unajua yule mama ambaye akina Karl Rove walileak jina lake alisema nini

lakini hiii yetu na Iran inayoendelea humu ni nothing but another soga barazani

imejaa innuendos and nothing else

Wavivu wa kutafuta habari wapo wengi humu. Hivyo wanategemea sana analysis za JF. Kwa taarifa zilizopo Iran inayo reserve kubwa ya keki ya njano.

Na vilevile waIran wanaweza kutupa ukurasa mmoja wa kuiga kuhusu utaifa. Program zao zote za nuki zilianza wakati wa Shah. Na wanatofauti kubwa za kiitikadi baina yao lakini ifikia kwenye nuki wanaacha tofauti zao.

Na mwisho wanashindwa kutofautisha kuwa waiRan na waarabu ni watu wenye utamaduni, lugha na mila tofauti.

Hivyo ukitaka ku-spin kwa waIran ni lazima ujue historia ama utakuwa unalinganisha mapapai na maboga.
 
duh! I give up

narudi kwenye lurker mode then au nitakuwa kule kwenye entertainment

hii constituency nishajua inchokitaka na i wont be part of this punch and judy politics






watu naona wana argue for the sake of arguing tuuu

wewe wa ajabu kila kitu unabisha na hauji na hata kitu cha maana naamini hujui kama mimi ndo maana kila saa unasema siyosiyo lakini unatusaidia kuchambua mambo gud day
 
Mimi nashangaa sana. Hivi India na Pakstani zina tofauti gani na Iran au North Korea.
Au simply because Iran and North Korea are not ready to KISS America's ass?
Mimi nawaheshimu sana viongozi wa Iran na North Korea. Wanalinda heshima na maslahi ya nchi zao. Tunataka JK agangamale kama viongozi wa Iran na North Kore.

...the difference is simply that IRANIANS have mad eyes
 
Back
Top Bottom