Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
24,848
34,931
Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.

======

At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.

The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.

Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.

Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.

Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.

On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.

The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.

"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
22,046
29,488
Wapo karibu sana na mashamba ya madawa ya kulevya.Bila shaka walimuua huyo mwanamke baada ya kubwia madawa ya kulevya mwili na akili.Halafu,waliogopa nywele zitaungua na jua?Waache ujingaujinga.
 
Agera 1

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
3,720
3,433
Huwa nashangaa sana nikimuona a proudly Islamic woman, kuna mambo mengi sana najiuliza sema kwavile ndo maswala ya imani basi naacha
Mataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo...

At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.
The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.

Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.

Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.

Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.

On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.

The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.

"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.
Na hao wanaofunika kichwa ndo mmoja wao kanipa gonno hapa naugulia
 
KING KIGODA

JF-Expert Member
Dec 28, 2018
2,049
1,160
Hivi kweli Mungu aache kufanya shughuli zake za msingi afuatilie kwanini fulani hajafunika kichwa? Kweli? Embu tumpe Mungu heshima na utukufu wake.
Iran ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya DINI ya kiislamu.Katiba ya nchi ya Iran imeundwa kwa misingi ya DINI ya kiislamu,sasa msitake kuleta matakwa yenu kwa nchi yenye sheria na kanuni zake.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
24,848
34,931
Uislamu ulitambulishwa rasmi miaka 600 baada ya Ukristo na huku Uislamu ukiwa 0% ya watu duniani dhidi ya Ukristo.Leo hii Uislamu umeukaribia kwa karibu sana Ukristo.
Kifupi kusema kwenu ndiyo kuutangaza zaidi Uislamu na kuufanya uzidi kukua zaidi.

Haijalishi hata mkiendelea kuzaliana, lazima tuwakumbushe na kuwasema na kuwaambia muache uzombi ili muishi kama binadamu wengine.
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
8,327
19,465
Iran ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya DINI ya kiislamu.Katiba ya nchi ya Iran imeundwa kwa misingi ya DINI ya kiislamu,sasa msitake kuleta matakwa yenu kwa nchi yenye sheria na kanuni zake.
Mungu anetuumba kwa mfano wake maana yakekatupa uwezo wa ku-reason
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

5 Reactions
Reply
Top Bottom