Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Ila makobaz kwa fake news mko Safi Sana, hicho kitengo cha propaganda mnakifanyia kazi vzr sana 😂
 
Sasa mkuu palestina aja haki ya kumkataa israel ..? Mbona
Mpango wa Israel kutanua uko katika historia yote ,hawajaanza leo ,tangu mimi na wewe hatujazaliwa ...Kilichotokea pale Iran alitakuwa kuwe na haki ya wapalestina ... Israel mwambie chochote ila sio kulitambua taifa la Palestina.
 
Pakistan alichomoa kivipi?
Pakistan aliweza kumkwepa ,kama unavyoona anavyomchokoa Iran hivyo hivyo ,na kingine Pakistan alijiweka mbali na maslahi ya Israel kwenye mipango yake ,kama pale palastine .
 
Jamaa anapiga mitaa aina watu walishafichwa mda mrefu, anapiga majengo tupu, nimeona kabom kameanguka barabarani kanawaka kama njiti ya kiberiti, kiufupi hana siraha za kutisha kama alizonyolewa nazo asubuhi.
Umetizama maeneo yote na kuthibitisha kuwa silaha hazina nguvu?
Silaha za promise 2 ziliharibu makazi 100 na Nevatim airbase.
Mlisema hivyo hivyo hazina nguvu.
 
Mkiangusha hata ghorofa moja uniamshe 😂


20250613_223112.jpg
 
Majengo yapo pale pale hayana hata mtikisiko, mkumbushen Ayatollah kuchaji hayo makombora 😂
Hayo makombora tunayorusha saa hii ni yale tuliyoyapanga nje, yalikosewa kidogo katika utengenezaji. Tukianza kuchukua vyuma vya store somo litaanza kueleweka taratibu, na tushamuambia Ayatollah azime simu.
 
Pakistan alichomoa kivipi?
Pakistan haitambui taifa la Israel mwanzoni kabisa ya miaka 1947 ,walikuwa na hostility mpaka leo ...Ila Pakistan hakutaka kuingia kwenye vita , Pakistan ana nyunklia ila haguswi ..Kama angekuwa anaingilia ugomvi moja kwa moja basi ingekuwa kama Iran .
 
Hayo makombora tunayorusha saa hii ni yale tuliyoyapanga nje, yalikosewa kidogo katika utengenezaji. Tukianza kuchukua vyuma vya store somo litaanza kueleweka taratibu, na tushamubia Ayatollah azime simu.
Hakikishen mnayachaji vzr Ndo muyarushe mana hizo skrepa mlizotuma hazijasogeza Hata mchanga 😂
 
 
Back
Top Bottom