Mimi nachotaka kuona ni raia wakiishi kama digidigi hapo Tel Aviv.Lakini wamechelewa sana na madhara hayatakuwa makubwa!
Makamanda karibu wote wa Iran wameliwa vichwa.
So far Israel is 10-1.
Huyo Kanjibhai kanjanja
Hamna kitu hapoView attachment 3367232
Wamejikaza kidogo,maana wamezidi kelele kuliko vitendo
Na hapo bado huo mwanzo.Mambo tayari, hii ndiyo Iran tunayoijua. Angalau sasa kafanya kitu na kimekita huko.
Kweli?Mambo tayari, hii ndiyo Iran tunayoijua. Angalau sasa kafanya kitu na kimekita huko.
Ilikuwa ni lazima warushe hata fatakiView attachment 3367232
Wamejikaza kidogo,maana wamezidi kelele kuliko vitendo
Naangalia Al Jazeera hapa, missile Moja ndo imepenya tel Aviv, tena wanasema ni kipande " part of missile"....... Unaangalia wapi huko na mie nihamieTayari, Tel Aviv inafuka moshi 😂
Hii source wapi mkuu?Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Lazima waonyesha walirusha rusha nawao 😀Hamna kitu hapo
We jamaa acha basi! Unanitoa kwenye reliMlipuko wa tel aviv umeua watu milion moja muda huu😡