29Oct2025
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,976
- 8,267
Headless chicken hao wanaokota vihabari huko 🤣Mmemkamata pilot Bila ndege 🔥
Source: Trust me guys 😂
Headless chicken hao wanaokota vihabari huko 🤣Mmemkamata pilot Bila ndege 🔥
Source: Trust me guys 😂
Hata Mimi sijamuelewa,Iran kuishambulia Iran!Iran ataishambulia Iran?
Itakuwa ni kiwewe cha mabomu ya Netanyahu…
Aisee wauane huko huko kwao sisi watuavlche tuna mashida zetuUnajua zile Iron dome na mifumo mingine yote ni geresha kwa vikombora vidogo ,ila Israel na iran wakiamua kutumia nyuklia zote zitapita ni madhara tu ...
Shida ni kutaka israel ifutike sema kobazi maandaz sanaIla hao wote ni wajinga ,hamna cha maana ...Watatulia ila watakuja kupigana tena ...Huwaga haya mambo ni ya kipumbavu san.
Kuna bases za kijeshi zitapigwa hapo middle east kmaliza nguvu za Israel kufanya retaliation ikiwemo bases za USA..Israel USA anatusaidia kuangusha Missiles hahaha sa mbona zinapita kama kawaida
FakeIran wamemkamata Pilot wa kike wa Israel, huyu ataeleza yote namuonea huruma huyo mrembo.
Lini hawa walikubali ngojea wataonyeshwa pilot wao aliye shikwa
Sisi lengo letu ni watu wakatiane upya viwanja hapo Tel Aviv, hiyo habari ya kuua viongozi sisi hatuna mpango nayo.Israel mapema sana alikuwa ameshawahisha makamanda wa makobazi kwenda kula Bikra ila mpaka sasa sijaskia hata mwenyekiti wa mtaa hapo Israel ameumia hata mguu 😂
Jana iran aliwasha s400?ile THAAD iko wapi ? wawashe basi
Majengo yapo pale pale hayana hata mtikisiko, mkumbushen Ayatollah kuchaji hayo makombora 😂Sisi lengo letu ni watu wakatiane upya viwanja hapo Tel Aviv, hiyo habari ya kuua viongozi sisi hatuna mpango nayo.