Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 857
- 2,054
Kwenye bunker Leo hawaonekani maana walicho kipata hawaamini.Team israel wako wap
Kwenye bunker Leo hawaonekani maana walicho kipata hawaamini.Team israel wako wap
Watakwambia Leo sabatoWalokole wote wamekimbia Uzi IRAN Baba wa technology Israel ni kijibwa tu kwa IRAN wapo wapiiii wataifa teule sasa Jehova anapigwa vitasa na Ayatollah!!!!!!!
We sifia ujinga umeona shughuli ya mchana huu, vinu vya nyuklia vinatekenywa vibaya, tehran apakaliki watu wanakimbia ovyoWee si ulikua unaimba twaarab kama Isha Mashauzi😂😂😂?
Nimetuma picha ona vigorofa nyevu vinavyopapaswa mpapaso sumu.
Mlisema oooh Iran imeharibiwa Kila kitu.
Kidume usiku huu huu kaenda machimboni kachomoa Air defense system mpya kazileta juu.
Lamamayeee jichokonoeni tena muoneeni mtavyokunwaa mkuno sumu😂😂😂😂.
40 injuries tehran iko 80 deadView attachment 3367397
Ongoing >>
Kama unafatilia mpak jioni ii nambie kitu gan kimebaki uko iran, tehran inawaka moto tangia asubuhiWamefumuliwa mpaa kwenye mahandaki yao hahaha Iran ni Baba lao pale Middle East Israel ni chui kwenye picture tu
Ebu tuambie uk gaza kimebaki niniHamas hajashinda
Hezbollah hajashinda
Houth haijashinda
Hi aibu Israel ataificha wapi oneni Missiles za Iran zinashuka kama mvua.
View: https://youtube.com/shorts/icQgpGvDFYY?si=StkPC_y6TMVvI9eY
Lete ushahidi hapa.We sifia ujinga umeona shughuli ya mchana huu, vinu vya nyuklia vinatekenywa vibaya, tehran apakaliki watu wanakimbia ovyo
Lete ushahidi hapa.
Ikithibitika ni Israel Iran italipiza.
Soma mpaka mwishoIkithibitika ni Israel Iran italipiza.
Nimesoma litalipwa tu.Soma mpaka mwisho
Lengo la Israel lilikuwa kuwaondoa Hamas, Hezbollah na Houth wasiwepo kabisa duniani na wameshindwa kufanya hivyo.Ebu tuambie uk gaza kimebaki nini
Kuwafutilia mbali inawezekana tatizo ni kelele za watu wa haki za binadam na huruma ndo maana anawala mdogo mdogo, mf. Kule gaza amewaacha wafe kwa njaa. (Japo si jambo zuri kibinadam)Lengo la Israel lilikuwa kuwaondoa Hamas, Hezbollah na Houth wasiwepo kabisa duniani na wameshindwa kufanya hivyo.
Hamas, Hezbollah na houth bado wapo na mapigano yanaendelea..
Kuweka malengo na usiyafikie huko ni kushindwa
Nimesoma litalipwa tu.
Ila ripoti zinaonesha vinu vya nuclear vya Iran viko salama na hakuna leakage ya radiation yeyote.![]()