Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Naangalia Al Jazeera hapa, missile Moja ndo imepenya tel Aviv, tena wanasema ni kipande " part of missile"....... Unaangalia wapi huko na mie nihamie

Anyway Moshi nadhani ni madhara ya intercepted missiles!!
Hapo watu wanalegeza ADS kitu chenyewe kipo njiani.
Unadhani mbungi limeisha?
 
Naangalia Al Jazeera hapa, missile Moja ndo imepenya tel Aviv, tena wanasema ni kipande " part of missile"....... Unaangalia wapi huko na mie nihamie

Anyway Moshi nadhani ni madhara ya intercepted missiles!!
🤣🤣

Kobazi wa kike na kiwewe huyo!
 
Back
Top Bottom