Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,593
- 35,852
Kumekucha huko
Umeongea utadhani Ndo mara ya kwanza Israel kugawa dozi hapo makobazinIsrael ikienda kushambulia tena Iran ijiangalie maana Iran imeshafanya restoration ya Air defense system zote tena usiku huu huu lamamayee😂😂😂😂.
JIoni tu mmechapwa tena restoration imefanyika saa ngapiIsrael ikienda kushambulia tena Iran ijiangalie maana Iran imeshafanya restoration ya Air defense system zote tena usiku huu huu lamamayee😂😂😂😂.
😅😅😅😅 anampenda mwenyewe, hiki kibabu, kitapata mateso zaidi ya Sharon, huyu hatokaa koma ila ataoza kiungo kimoja kimoja anajiona. Kwa kila mtoto wa Gaza, wanawake na wazee wasio na hatia anaowauwa kila sekunde.Babu yake Mbaga safari hii atachina🤒
Ngoja niifatilie hii, mana nyie makobazi kwa fake news ndo makao makuu 😂
Asante sana babu Netanyahu, mitano tena babu😅😅😅😅 anampenda mwenyewe, hiki kibabu, kitapata mateso zaidi ya Sharon, huyu hatokaa koma ila ataoza kiungo kimoja kimoja anajiona. Kwa kila mtoto wa Gaza, wanawake na wazee wasio na hatia anaowauwa kila sekunde.
Fatality ya tel aviv ni ndogo sana ukilinganisha na yaliyotokea tehranShrapnel haitokani na interception peke yake.
Hata kombora likitua na kulipuka linaachia vyuma ambavyo vinaweza kukugonga.
Nimetuma picha zingine huko majengo yanaungua
Pia Pakistan usimchukulie mchumba bro.
JAna mchana ayatollah alikuwa anatwit kwenye bunker huku makamanda wake wanauwawa wakiwa chooniKibabu kioga kufa hiko, last time nyumba yake ilishambuliwa kalikuwa kameshakimbia. Hata sasa ukute kako US, ila ana siku yake tu.
Ila kwa Gaza Yale mateso wanapitia aisee,sijui kama mbinguni tutaingia....😅😅😅😅 anampenda mwenyewe, hiki kibabu, kitapata mateso zaidi ya Sharon, huyu hatokaa koma ila ataoza kiungo kimoja kimoja anajiona. Kwa kila mtoto wa Gaza, wanawake na wazee wasio na hatia anaowauwa kila sekunde.
Kaka mashambulizi yanaendela majibu yatatoka baada ya mashambulizi kuisha.Fatality ya tel aviv ni ndogo sana ukilinganisha na yaliyotokea tehran
Ila nyie makobazi bhana 😂Oya Kuna wasenge wanasema makombora hayana nguvu 😂😂😂😂.
Embu cheki magorofa yanavyoungua hapo.
View attachment 3367352
Mabeberu wenywe wakina syrianlady 🤣Akirudi na kitoto cha kiajemi ndiyo mtaelewa. Siwashi VPN muda huu, niko busy Tehran na Tel Aviv, kwahiyo sijaona ni nini ulichotuma. Nimeipata toka kwa mabeberu wenyewe.
Babu Netanyahu endelea kugawa dozi babu, bado marehemu anapumulia mashine hukuIla kwa Gaza Yale mateso wanapitia aisee,sijui kama mbinguni tutaingia....
Yaan nikila msosi ukabaki,nikiwaza kutupa nakumbuka Gaza,somalia,congo...mateso wanayopitia wenzetu..mh!
Hamna huo uwezo suburi inbreed na alliens wale wa hiroshima wazaliane hapo tehranKipaumbele ni kuwafanya binadamu waliopo Tel Aviv kuwa flat earthers kwanza. Haya mengine tutayazingatia baadae.
Mdomo huo,ngoja kabutuliwe afu urudi tenaBabu Netanyahu endelea kugawa dozi babu, bado marehemu anapumulia mashine huku
View attachment 3367376
Njoo na ww nikutekenye, yangu nmeipaka pilipili Lazima ikupe raha DunianiNenda ukapakwe mafuta huko, Ka mbali haukuhusu naona kinyeo kinakuwahsa ,fuatilia yako acha kujitekenya kama umekalia ukuni.
Acha tu, mimi hata nikiona humu ndani, wanafanya mzaha kwa vita vya Gaza si sawa. Congo nayo mateso yasiyoisha, Sudan, Somalia hawa wameshindikana Ukraine na Russia aah!!!. Dunia si sehemu salama tena kwa kuishi. Wanaokufa bila hatia ni wengi sana. Tuombe mwisho mwema.Ila kwa Gaza Yale mateso wanapitia aisee,sijui kama mbinguni tutaingia....
Yaan nikila msosi ukabaki,nikiwaza kutupa nakumbuka Gaza,somalia,congo...mateso wanayopitia wenzetu..mh!
Hanithi utulie wakati wanaume wanaojadili.Njoo na ww nikutekenye, yangu nmeipaka pilipili Lazima ikupe raha Duniani