Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
Kwenye vita inayoendelea kati ya Israel na Iran, Kuna mambo yananishangaza Sana, lakini hili moja limezidi mengine.
Kila Israel ikishambuliwa zinaonekana juhudi za kuficha madhara yanayotokana na kushambuliwa na Iran kwa nchi hiyo.
Lakini Iran ikishambuliwa, unaona juhudi kubwa Sana ya kuionesha Dunia jinsi Israel inavyoishambulia Iran na hata kuonesha jinsi maeneo ya raia yanavyoshambuliwa.
Huu utofauti kati ya Israel na Iran kwenye kuonesha madhara ya vita inayoendelea hivi sasa unatokana na nini hasa?