Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Anao washirika wake naye mfano Russia. Ila Israel abako yeye kama yeye, atachapika. Ila Iran tuna vimdomo 🤭🤭🤭🤭🤭🤭
Iran kwa mdomo nawapa 100% Ila vita nyie n sisimizi tuu.

Asante sana babu Netanyahu, mitano tena babu

download.jpeg
 
Mfumo wa Israel upo thabiti.Majibu ya Israel mtaomboleza
 
tuwashe ile THAAD basi, raundi ya tatu hiyoo yaja
😅😅 Leo naona phase za kurusha makombora zitakuwa hata sita maana nasikia hapa awamu ya nne imetumwa ni mwendo wa kuwasha kiberiti pale Tel Aviv usiku kucha.

Naona maghorofa ya Tel Aviv yanawaka moto. Hii inaitwa ngadu kwa ngadu.
 
BREAKING:

The U.S. starts moving its naval assets to the Middle East.

The USS Thomas Hudner and another destroyer have been sent toward the region.

They are expected to shoot down any Iranian ballistic missiles fired toward Israel or U.S. forces in the region.
 
Haya ngoja na Israel aanze haribu majengo yenu kama alivyofanya Gaza
Hahaha yeye si ndio mchezo wake kupiga majumba hujaona Tehran kapiga majumba mimi nataka aendelea kupiga majumba Iran ili Tela Aviv igeuzwe desert
 
😅😅 Leo naona phase za kurusha makombora zitakuwa hata sita maana nasikia hapa awamu ya nne imetumwa ni mwendo wa kuwasha kiberiti pale Tel Aviv usiku kucha.

Naona maghorofa ya Tel Aviv yanawaka moto. Hii inaitwa ngadu kwa ngadu.
Fattahs zaidi ya 3000 ziko store hazijui wapi pa kwenda
 
BREAKING:

The U.S. starts moving its naval assets to the Middle East.

The USS Thomas Hudner and another destroyer have been sent toward the region.

They are expected to shoot down any Iranian ballistic missiles fired toward Israel or U.S. forces in the region.
USA baby 🇺🇸🇺🇸
 
Mfumo wa Israel upo thabiti.Majibu ya Israel mtaomboleza
Mfumo upi mkuu? Watu wapo live hapa wanasema mifumo yote mitatu mikubwa ya Israel imeshindwa kuzuia makombora.

Hakuna cha THAAD, Iron dome wala Arrow 3 zote zimelemazwa vyuma vinaanguka na kulipuka kwenye target.
 
Kuna makombora yaliyozuiliwa na kuna yaliyopita. Na ndiyo wameanza, hii itakuwa usiku kucha.
Nikiripoti tokea kwa kamanda mpya wa usalama Iran 😁
Mm nataka hayo maghorofa ya Tel Aviv yadondoke Yote, bila hvy Iran n kama paka shume tuu
 
Back
Top Bottom