Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Vyuma vimeaanza kushuka Tel Aviv muda huu bila kupingwa.

Iran imetangaza muda huu ame launch awamu ya pili ya makombora kwenda Israel yaani hakuna kupoa usiku huu.

Waisrael wapo mashimoni kama panya kudadadekiii.

Hakuna cha Iron dome wala THAAD inayoweza kuzuia missiles za Iran.
Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
 
Kama hakuna kamanda yyote wa israel au mwanasayansi wa israel ambae amekufa leo baada ya mashambulizi ya leo basi
Naamini kabisa iran wanaiogopa israel maisha yao yote
Acha na makombora kulenga majengo
 
Kumbe msikitini kuna pombe na shisha
IMG_1656.jpeg
 
Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia
Aise kwakweli Israel na mabwana zake wana haki ya kuhaha kumhofia Iran maana hakuna mfumo wa anga wa Israel uliofanikiwa kuzuia mzigo kutua.

Sio Iron dome, THAAD wala Arrows 3 iliyoweza kuzuia.

Naona safari hii Iran anakung'uta hadi miundombinu ya kiraia hachahui pakupiga mamaee.
 
Back
Top Bottom