Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Vitu vipo njiani kuelekea Israel labda katika saa moja tutanza kuona vikishuka hapo Tela Aviv
Iran ataishambulia Iran!!!😄😄😄😄😄

Screenshot_20250613_213716_Edge.jpg
 
Ohooo uko wapi? Iran hii kwake ni revenge baada ya kuwaacha wavamizi wa kiyahudi, wawatandike usiku kucha. Wameanza wao sasa, mambo yako mubashara. Leo hakulaliki, jamani makobazi mimi nawaunga mkono japo si kobazi 😅😅😅😅😅😅😅
Shem Ila nyie makobazi hamna hamshahamsha, mmepoa sana 😂 tatizo lenu kelele sana
 
Namuaminia Iran ila vyombo viko njiani mda mrefu sana kila nikiangalia updates sioni vimefika afu vinapiga kelele balaa, binafsi nataka israel apigwe achakae

Ila nasikia vikikaribia kufika anaamsha yale madude ya dk 6 to Israel, wakipambana na drones vyuma vinatua
 
Ohooo uko wapi? Iran hii kwake ni revenge baada ya kuwaacha wavamizi wa kiyahudi, wawatandike usiku kucha. Wameanza wao sasa, mambo yako mubashara. Leo hakulaliki, jamani makobazi mimi nawaunga mkono japo si kobazi 😅😅😅😅😅😅😅
Mboni Al Jazeera English anga la Tel Aviv lipo kawaida tu
 
Shem mimi siyo kobazi, ila shabiki yao tu. Mimi kila kwenye haki utanikuta. US anavyomsaidia Israel amtandike Iran, vituko alivyofanyiwa vya kudunguliwa ndege ya Iran, kuwekewa vikwazo aah niko huku sana.
Bc na Iran nae atafute sponsa kama mnaona wivu Israel kusaidiwa 😂
 
Vyuma vimeaanza kushuka Tel Aviv muda huu bila kupingwa.

Iran imetangaza muda huu ame launch awamu ya pili ya makombora kwenda Israel yaani hakuna kupoa usiku huu.

Waisrael wapo mashimoni kama panya kudadadekiii.

Hakuna cha Iron dome wala THAAD inayoweza kuzuia missiles za Iran.
 
Back
Top Bottom