Iran Ataishambulia Israel leo

Iran Ataishambulia Israel leo

Huyu KHUMANEI siku zake zinahesabika huyu ndio anawacost wananchi wa iran...wananchi wenyewe hawataki kuongozwa kidini nchi inaongozwa kipumbavu watu Hawana uhuru na maisha yako..ndio mana hujasikia wakilalamika hapo wanaomba tu huyo KHUMA-NEI auliwe tu mana yeye ndio anawapa kichwa wengine , yeye mwenyewe kajificha
Kwani Netanyahu yupo ndani ya Israel saa hii!?
Au kunya anye kuku tu?
 
Binadamu wanaharibu dunia ,billion of dollar zinatumika kulipuana huku watu wengine wana njaa ya kufa .
1000095111.jpg
 
Wewe unasubiri kusimuliwa?

Watu wapo live kwenye tv channels mbalimbali wanaona vyuma vinavyoshuka ndani ya mji mkuu Tel Aviv na kusababisha majengo kuwaka moto.

Kufikia muda huu Israel anasema watu kadhaa wamejeruhiwa. Kama kawaida yao lazima wafiche vifo tofauti na Iran yupo open kwenye casualties.
Kama wanaficha vifo mbona hawaishi na ni wachache tu
 
Israel mapema sana alikuwa ameshawahisha makamanda wa makobazi kwenda kula Bikra ila mpaka sasa sijaskia hata mwenyekiti wa mtaa hapo Israel ameumia hata mguu 😂
 
Israel mapema sana alikuwa ameshawahisha makamanda wa makobazi kwenda kula Bikra ila mpaka sasa sijaskia hata mwenyekiti wa mtaa hapo Israel ameumia hata mguu 😂
Vikwazo ,Iran anaogopa vikwazo alivyonavyo vinatosha ...Akiuwa Kiongozi wa Israell atapigwa vikwazo .
 
Jerusalem inapigwa mda huu, Fattahs zaidi ya 2000 ziko njiani
washeni THAAD bana
 
Back
Top Bottom