Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,834
- 14,467
- Thread starter
- #141
Niliwambia hawa wakanisa sa tuone taifa teule wanadai linalindwa na Mungu wa Israel tu atawalinda hahaha. Kwa hio Iran hailindwi na Mungu ni wao tu wana Mungu hahaha ukanisa noma sana.Hii Ndo Iran, Fattahs zaidi ya 1000 ziko njiani, zinatumwa kwa mafungu, hakuna THAAD ya kuzuia